Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Nilikua natafuta RC akimsema Dudubaya kipindi kile media zinampromote lakin sijaona ndipo.nikakumbuka kumbe Dudubaya alikua upande wa WASAFI nikaconnect dots. RIP Ruge
 
Ni Kweli Kabisa,
Hapo Mheshimiwa Rais Amechagua Mtu Makini Sana.
Na Sio Mtu Wa Hovyo Kama Piere.
Makofi Kwake Tafadhali. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]


Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu Makini sio
D297_AAWwAAQsGI.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini umeamua kuwachokonoa watanzania ambao sifa yao kubwa ni kusahau.sasa ona hili la liquid limeamsha mengi mpaka sasa umu forum kila uzi ni wewe tu eeeh kwanini waga uchutami hata kidogo ukaacha mambo yaendelee. Lakini nikushauri ebu rejea zile seven effective quality of a good communication itakusaidia katika uzungumzaji wako. Maana sio kwa haya niyaonayo mitandaoni .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajisahaulisha kuwa Pierre anatusahaulisha stress wanazotuletea #Gopierre
 
Endelea kunywa ghahawa hapo kijiweni ikifika ya elfu 6 unishtue nije nikulipie,

Eti una data, data za walevi labla
Nilipokuwa mm hutakaaa kufika mpaka unakufa.alafu upeo wako ni mdogo mno kuweza kucheza na akili za watu.wew subir buku 7 tz mpigie debe mzee baba tu buku 7 ipande
 
Kwa kipindi kirefu jamii ya kitanzania hasa uwanja wa siasa na dini zilibugukiwa na sintofahamu ya mtu anayeitwa Daudi Albert Bashite. Tuhuma nyingi na nzito zilielekezwa kwa mkuu wa Mkoa Dar-es-Salaam aka Paul Maonda akituhumiwa kuwa alitumia majina na vyeti vya kugushi (Criminal offence) huku majina yake kamili yakiwa ni Daudi Albert Bashite

Jana akiwa Kisarawe, Bwana Makonda alifanya kitendo cha ajabu sana kwa kumuita mlevi wetu wa Taifa, Pierre Gambo “Perre Konki Liquid” kuwa mtu wa hovyo. Ilhali Pierre anatumia umaharufu alioupata kujipatia riziki yake kihalali. Huku Makonda ambaye anatuhumiwa kugushi vyeti kujipatia ajira kwa udanganyifu. Kati ya hawa watu wawili, nani ni mtu wa hovyo? Makonda ni mtu wa kukaa jela siyo mtu wa kunyoosha kidole kwa mwingine na kujiona malaika

Hakuna binadamu wa hovyo mbele za muumba. Ndugu Makonda hana haki ya kumuita mtu yeyote kuwa wa hovyo. Nadhani jamii; wanasiasa, viongozi wa kidini na kijamii wafike sehemu wakemee hii tabia aina ya Makonda. Yeye mwenye tuhuma nzito ambazo ni criminal in nature, anamhukumu mtu anayetumia jasho lake kujipatia rizki. Makonda must be condemned by every sane minded human being.

Makonda asiwe kama nyumbu. Anasahau vitu kirahisi hivyo.......Unamcheka mwenzio kuwa na kengeza wakati una jicho moja? Huu udhalilishaji usiruhusiwe katika jamii ya kitanzania
Bashite ni hovyo kupita chochote. Ni kwa sababu anabebwa tu lakini angekuwa kwenye hali mbaya sana. Likwidi anajitafutia maisha mwenyewe na siyo kama huyo Bashite anayeishi kwa jasho la wengine.
 
Sasa mtu kama aliambiwa aonyeshe vyeti akatembea analia ma kanisani Na misikitini utasema ana Akili timamu huyo?
Nadhani yeye ni mtu wa hovyo kuliko huyo pierre
 
Ni kawaida sana ya watu wapumbavu kama wewe kujibu kwa matusi.inchi hii ina watu dizaini yako wengi sana,hipenda kuongea yasiyo wahusu na wakiambiwa huishia kutoa kashifa na matisi.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
wewe nawe mpumbavu tu. Na mumeo bashite mpumbavu kama wewe.
 
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.

Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.

Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.

Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend

Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda

Dumelang
 
Huyu konki liquid anaonekana alikuwa MTU duni sana na sidhani kama kuna kiongozi yoyote aliwahi kumpa hela ya kula. Sasa leo hii anajipatia vihela vya kubadilisha mboga watu wanamuita Wa ovyo, duuu kweli tutarudi mavumbini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mjamaa sikuwahi kumdharau ktk maisha yangu, nilimwona kuwa ni mtafutaji kama wengine na binadamu hakosi mapungufu.
Lakini kwa hii Dharau na Kejeli aliyoinoesha kwa mtu asiye na hatia, nimegundua kuwa watu wanomchukia wapo sahii kabisa kabisa.
Inabidi amwombe radhi Piere,
Na mara zote watu wanaojikweza huwa kamwe hawaombi msamaha hata kama wanagundua walikosea.
Wanajina wapo juu na wana kila haki ya kuabudiwa.
Ni lazima atalipa ghalama ya hii kejeri kama hataomba msamaha wa dhati.
Na ibada zake zitageuka kejeri kama atamwomba Mungu aliye muumba Piere.
Hadi apatane na Piere. Kama hataki basi na afanye maombi kwa Muumbaji Mwingine, aliyewaumba hao watu anawaona ni wa maana.
Kama Bosi wake Makamu wa Raisi alimheshimu Piere yeye anajionaje ?
Kama ka miungu fulani hivi, kwa hicho cheo cha
Asante Kwasi.
Na
Baba Kabwela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom