Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani kila mara hili limekuwa likijirudia kwa kijana mwenzetu Paul Makonda “Hekima ya uongozi “
Kwa mfano unaweza kuwa na mzazi asiye na mvuto wa sura na hata jamii yako ikampachika majina na kumtambua hivyo lakini si hekima wewe kwenda mbele za watu na kusema yale majina anayoitwa mama yako si kwakuwa si ukweli la hasha ila si hekima.
View attachment 1058907
Pierre leo alikuwepo pale kama wahamasishaji wengine walioalikwa hekima tu angetumia ndugu Makonda na kwa maneno machache kwa walengwa bila kumuhusisha moja kwa moja Pierre .
Yawezekana amepata umaarufu kwa tabia isiyo nzuri ila matokeo yake amefanya mambo machache mazuri mpaka hili la hamasa ya tokomeza zero akahusishwa.
Hakumtendea vyema ndugu Pierre leo
Video ya Makonda akimdhalilisha Pierre
Habari zaidi, soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...wake-kama-katiba-inavyoelekeza.1567031/unread
Sent using Jamii Forums mobile app
Campaign Tokomeza zero. Mtoa hotuba zero brain. Very Sad.

Hahaha ...umemnyooshaNasi tunalialia huku kwenye mitandao iliyosheheni wasomi lakini Pierre hawezi pata msaada wa wanasheria ili ikajulikane kati yake Pierre na mwizi wa vyeti nani mtu wa hovyo kwenye jamii!
Majinga yamedampo habari zote zitazowapeleka ikulu sasa wako na piere
Makonda was probably RIGHT but NOT WISE. He lacks the qualities of a good leader.
Unamtenganishaje makonda na hayo majinga!Majinga yamedampo habari zote zitazowapeleka ikulu sasa wako na piere
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ni Kilaza sijawahi ona.Anatokomezaje zerooooo kwa mfano..... yaani hata kiswahili kafeli?View attachment 1059343
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda hana moral authority ya kusema chochote kwa Pierre Liquid.Tuache kulea ujinga na kusifu ujinga.Mitaani sasa hivi mjinga huyu anajiita supa staa/mtu maarufu na ujinga ujinga mwingi kama wajinga wa humu wanaomtetea na kumtangaza mjinga huyu kwa wajinga kuhusu ujinga wa huyu mjinga.
Eti mamaaaa,fayaaaaa,konkiii,likwidi na kujibenua benua kijinga kijnga.
Makonda was right to say what have said at Mlimani City recently.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaa Mkuu. Kuwa na amani.Makonda hana moral authority ya kusema chochote kwa Pierre Liquid.
Sent using Jamii Forums mobile app