Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Nadhani kila mara hili limekuwa likijirudia kwa kijana mwenzetu Paul Makonda “Hekima ya uongozi “

Kwa mfano unaweza kuwa na mzazi asiye na mvuto wa sura na hata jamii yako ikampachika majina na kumtambua hivyo lakini si hekima wewe kwenda mbele za watu na kusema yale majina anayoitwa mama yako si kwakuwa si ukweli la hasha ila si hekima.
View attachment 1058907

Pierre leo alikuwepo pale kama wahamasishaji wengine walioalikwa hekima tu angetumia ndugu Makonda na kwa maneno machache kwa walengwa bila kumuhusisha moja kwa moja Pierre .

Yawezekana amepata umaarufu kwa tabia isiyo nzuri ila matokeo yake amefanya mambo machache mazuri mpaka hili la hamasa ya tokomeza zero akahusishwa.

Hakumtendea vyema ndugu Pierre leo

Video ya Makonda akimdhalilisha Pierre

Habari zaidi, soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...wake-kama-katiba-inavyoelekeza.1567031/unread

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani kiongozi halafu unazungumza maneno kama haya kwa unao waongoza, hivi ni sahihi kweli? Wapiga kura ambao wamemchagua raisi, na kutokana na kura zao ndio raisi akakuteua wewe, halafu wanakua watu wa hovyo?Tena unawataja kwa majina? Hata kama mtu uko katika nafasi flani lakini busara na kuheshimiana ndio msingi wa uongozi bora
 
Anatokomezaje zerooooo kwa mfano..... yaani hata kiswahili kafeli?
FB_IMG_1554036922052.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kufanya upelelezi makini kwa kumtumia mpelelezi binafsi.
Imegundulika kuwa tatizo halikuwa kwa Piere.
Tatizo ni
Kwanini Jokate awe karibu na Mzee Piere.
Kwanini amwalike kama hawafahamiani kiundani cha ndani...!
Yaani Jokate unashindwa kunikubalia mimi unamkubali Piere Konki,
Wakati mimi ni mkuu wa Jimbo la Amasia.
Na shahazarde wa Sultani Suleiman Khan.
Nimezungumza fasihi nyepesi sana.
Hata watu wa Hovyo wamenielewa.
Kama huyo Piere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kila mara hili limekuwa likijirudia kwa kijana mwenzetu Paul Makonda “Hekima ya uongozi “

Kwa mfano unaweza kuwa na mzazi asiye na mvuto wa sura na hata jamii yako ikampachika majina na kumtambua hivyo lakini si hekima wewe kwenda mbele za watu na kusema yale majina anayoitwa mama yako si kwakuwa si ukweli la hasha ila si hekima.
View attachment 1058907

Pierre leo alikuwepo pale kama wahamasishaji wengine walioalikwa hekima tu angetumia ndugu Makonda na kwa maneno machache kwa walengwa bila kumuhusisha moja kwa moja Pierre .

Yawezekana amepata umaarufu kwa tabia isiyo nzuri ila matokeo yake amefanya mambo machache mazuri mpaka hili la hamasa ya tokomeza zero akahusishwa.

Hakumtendea vyema ndugu Pierre leo

Video ya Makonda akimdhalilisha Pierre

Habari zaidi, soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...wake-kama-katiba-inavyoelekeza.1567031/unread

Sent using Jamii Forums mobile app

Makonda siyo tu ni mjinga bali ni mpumbavu, bwege na ms....e.
Alipotangaza nusu bei alikuwa na maana gani?
 
Kampeni tokomeza Ziro inayomuhusisha jamaa aliyepata ziro primary na sekondari hadi ikambidi atumie majina na vyeti vya mtu mwingine ili kuficha ziro zake. Kampeni imekosa credibilities.
 
Makonda was probably RIGHT but NOT WISE. He lacks the qualities of a good leader.

Ni kweli....He is right lakini approach yake siyo nzuri...lugha yake ina tatizo...""watu waovyo ovyo.." siyo lugha nzuri...
 
Tuache kulea ujinga na kusifu ujinga.Mitaani sasa hivi mjinga huyu anajiita supa staa/mtu maarufu na ujinga ujinga mwingi kama wajinga wa humu wanaomtetea na kumtangaza mjinga huyu kwa wajinga kuhusu ujinga wa huyu mjinga.

Eti mamaaaa,fayaaaaa,konkiii,likwidi na kujibenua benua kijinga kijnga.

Makonda was right to say what have said at Mlimani City recently.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda hana moral authority ya kusema chochote kwa Pierre Liquid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu hii hatari. Joketi na Makonda wakutane waombane msamaha. Maana Joketi kakwazika huko twitter. Halafu mh Makonda nikupage ushauri siyo kila siku ukweli unasemwaga kweupeee mengine unamezea!! Walevi hao hao ndiyo wanawapigia kura wanasiasa na pia wanachangia pato LA taifa kwA kunywa bia hovyooo.. Hapo sasa!!
 
Back
Top Bottom