OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #101
Injinia anatafuta kura za Wana Yanga kijanja Sana awe m/kiti ili waiteke timu jumlajumla na bosi wake GSM .
ni kweli hanijui. najulikana na kuamini na akili kubwa pekee. akili zikiwarudia itakuwa too lateHaaaaaahaaaaaa tatzo ujuaji huyu jamaa mm nilimtahadharisha mapemaaaa hakutaka nisikia uzi anauona mchungu sasa!
YessHiyo ni Offer sio mkataba.
Atakuwa ni mpumbavu wa kufikiria endapo itakuwa ni uongo, kwsababu itamshusha vibaya mno heshima yake na usomi wake.View attachment 2258923
View attachment 2258924Toka lini mashabiki wa Yanga mkapata akili. Mlitapeliwa kwa picha za Morison na Shishimbi hamkushtuka. Leo mnarudia upuuzi ule ule
unajua kwa nini yeye hasemi badala yake wameachiwa kazi machawa?! wakati unasemea Aucho na Djuma usisahau Shishimbi na Morison au Chama ambao mpaka Jarida lao liliweka pichaAtakuwa ni mpumbavu wa kufikiria endapo itakuwa ni uongo, kwsababu itamshusha vibaya mno heshima yake na usomi wake.
Lakini nakumbuka msimu uliopita ilikuwa hivi hivi kwa Aucho na Djuma Shaban watu wakasema ni uongo lakini mwisho wa siku tuliona kimetokea nini
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mimi sioni sababu ya yeye kuongopa juu ya usajili wa Stephane Aziz K maana hata ugombea urais yuko peke yake. Labda wangekuwa wengi tungesema lengo ni kujifanyia kampeni. Sioni maana ya yeye kudanganyia mashabiki wa Yanga.unajua kwa nini yeye hasemi badala yake wameachiwa kazi machawa?! wakati unasemea Aucho na Djuma usisahau Shishimbi na Morison au Chama ambao mpaka Jarida lao liliweka picha
kwani kuongopa kumetokea lini na ugombea peke yake umetokea lini?Mimi sioni sababu ya yeye kuongopa juu ya usajili wa Stephane Aziz K maana hata ugombea urais yuko peke yake. Labda wangekuwa wengi tungesema lengo ni kujifanyia kampeni. Sioni maana ya yeye kudanganyia mashabiki wa Yanga.
Na kingine labda picha ziwe za ku editiwa sio zenyewe
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mimi sijui kaanza lini kuongopa kwasababu sijajua kama ameongopa ama lahkwani kuongopa kumetokea lini na ugombea peke yake umetokea lini?
Wewe chawa Bosi wako Mwamedi alivishwa khanga kipindi kile cha Bashite,jiandae kuvalishwa Kijora cha Kisomali.View attachment 2258923
View attachment 2258924Toka lini mashabiki wa Yanga mkapata akili. Mlitapeliwa kwa picha za Morison na Shishimbi hamkushtuka. Leo mnarudia upuuzi ule ule
We uliyekuwa na akili ukapost kitu ambacho klabu yako imekanusha kwamba haihusiki nayo?View attachment 2258923
View attachment 2258924Toka lini mashabiki wa Yanga mkapata akili. Mlitapeliwa kwa picha za Morison na Shishimbi hamkushtuka. Leo mnarudia upuuzi ule ule
Nani asiyemjua huyu choko wa kighana? Km source yako ndio hii utakimbia nyuzi zako kila siku humu huyo kula yake anaipata kwa kuipamba simba km una account twitter utanielewa vzr unakumbuka sakata la Djuma Shaban aliwaaminisha simba ishamalizana nae? Aucho je? subiri na hii ndio utakapoacha kumfatilia huyo mpuuziView attachment 2258923
View attachment 2258924Toka lini mashabiki wa Yanga mkapata akili. Mlitapeliwa kwa picha za Morison na Shishimbi hamkushtuka. Leo mnarudia upuuzi ule ule
Huu uzi utaukimbia km kawaida yako ntakukumbusha hapahapa lini uliwahi kupatia?View attachment 2259036
sijui atawaambia nini mwisho wa siku! afanye kila jinsi amsajili apandilie dau la Simba,sijui atainya wapi US$ 150,000! kinyume chake watamla nyama. kana ujanja wa kishamba ndio maana picha zimeanzia kutolewa na oya oya ili mwisho wa siku kazikane.
Waandishi wa hovyo nao wameingia mkenge [emoji1787][emoji1787]
Wewe tuliaaaaaa ntaufufua huu uziAtakuwa ni mpumbavu wa kufikiria endapo itakuwa ni uongo, kwsababu itamshusha vibaya mno heshima yake na usomi wake.
Lakini nakumbuka msimu uliopita ilikuwa hivi hivi kwa Aucho na Djuma Shaban watu wakasema ni uongo lakini mwisho wa siku tuliona kimetokea nini
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
View attachment 2257244
View attachment 2257246
Mchezaji alitetwe na wengine adakwe na wengine π€£π€£π€£π€£π€£π¦π¦π¦π¦π¦π¦
Atakuwa ni mpumbavu wa kufikiria endapo itakuwa ni uongo, kwsababu itamshusha vibaya mno heshima yake na usomi wake.