Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Yes, Samia Suluhu Hassan, the current President of Tanzania, worked at the United Nations earlier in her career. Before entering politics, she was employed by the United Nations World Food Programme (WFP), a key UN agency focused on global hunger relief and food security. This role was part of her early professional experience after completing her secondary education in 1977 and before she began her political career in the 1990s. She also worked as an administrator for Tanzania’s Ministry of Planning and Development during this period.
 
Allegedly, with her secondary school education, she was netting over $1,000,000/year. With such salary I don’t find Mange’s allegations of substance. 😎
 
Mabwege ndiyo wanamfuatilia MangeKimambi na kumuamini
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Kenge maji wewe, acha uongo.

Angekuwa na pesa angeangaika kwenda Morogoro kulala mashambani kulima mpunga
 
Huu ndio uthibitisho wa Samia kufanya kazi United Nations?
Huoni hicho ni ki-NGO?

Huu ndio ujinga uliowajaa waTanzania vichwani siku hizi.
Maelezo yenyewe yanaonyesha hata sifa za kutosha hana, halafu awe mwajiriwa wa taasisi hiyo ya UN?
 
Inasema alifanya kazi baada ya kumaliza secondary. Kazi gani UN kwa mwenye elimu ya sekondari? Labda ilikuwa ni kupika chai 🤷🏾‍♂️
 
Alivomaliza secondary alifanya kazi kama mtunza kumbukumbu masjala huko znz
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Hebu kamuulize Anna Tibaijuka ambaye bila ya shaka yoyote alikuwa kwenye shirika la kimataifa, tena kiongozi wa juu. Muulize kama hiyo bilioni mbili anayo toka kwenye ajira hiyo.
Usijifanye mjinga wa kutisha sana hapa, na kudhani kuna wajinga zaidi yako.

Samia hata siku moja hajawahi kuwa mwajiriwa wa taasii yoyote ndani ya UN.
Unacho zungumzia wewe ni kishirika binafsi kilichokuwa kikipata mafao yake toka kwenye taasisi hiyo uliyoitaja.
Bilioni mbili kwenye ki-NGO hicho haiwezekani. hata kama angetumia miaka yake yote huko.
 
Wewe ni mpumbavu. Mtumishi wa UN shirika gani? Alilipwa kiasi gani?

Mshahara wake ni kiasi gani? Kijana wake kapata wapi Bil 2 za kufanya manunuzi?
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Kabla ya urais wa Mama yake,huyo Abdul si alikuwa muuza matairi tu pale Kariakoo!!

Kwa nini hizi fujo hakuzifanya wakati ule kama pesa ilikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…