Alichokifanya Irene Uwoya kwenye utambulisho wa Swahiliflix ni ushamba na urimbukeni wa pesa

Wajinga sana hao waandishi na wamekubali kugeuzwa wapumbavu.
 
Wajinga sana hao waandishi na wamekubali kugeuzwa wapumbavu.

Ila wacha wadhalilishwe mpaka akili ziwaingie. Wamezoea kutupiwa hizo bahasha na MaCCM hadi wamekuwa sehemu ya ufisadi wa nchi hii. Wakiitwa badala ya kuhoji maswali yenye akili wanamwachia mgeni uwanja.
Irene Uwoya naye si ni mwana CCM kashazoea hizo
 
Amemaliza kuongea akaanza kumwaga pesa mbele ya Cameramen wakaanza kugombania mpaka wanataka kuvunja camera zao
Ni swala la muda tu hicho kichaa chake kitatibiwa bila shida. Wema si alikuwa anagawa hivyo hivyo..... Ngoja tu
 
Pamoja na yote,Hapo kuna watu watakuwa wamenufaika na huo mgao.Assume mtu alikuwa anabuku 2 mfukoni halafu akaokota buku 10.Labda Uwoya angefanya kwa utaratibu mzuri kuweka kwenye bahasha halafu kuwagawia hao waandishi wa habari wakati wakitoka mlangoni.
 
Waandishi waliohusika kushiriki huo upuuzi wa kugombania vihela mbele ya kamera ni hovyo sana.

Yaani wanajenga taswira kuwa ukiwapa hela waende nje ya taratibu za kazi zao watakubali.
 
Hata angefanya hivo bado watu wangeongea. Wangesema anatoa rushwa kwa waandishi wa habari ili wampaishe.
 
Kama sio mbwa koko kwanini waokote kwa kugombania? Wamejishusha hadhi wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…