Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

Kalindwa na nchi ngapi huyo Israel? Unaanzisha ugomvi unaenda kujificha nyuma ya mwenyekiti wa kikao chenu cha ukoo, na bado unapigwa makofi kama kumi, kisha unaenda kulalamika UN, Kumaamaae mna bahati, bila msaada wa US, UK, Fr, na Jordan israel wangekuwa wanakusanya vipande vya rofali mda huu. Huwezi kujisifia kwa hilo
Aongeze moto zaidi mkuu, maana bado ni dharau
 
Tukumbushane tu kwamba, baada ya vita ya 1973, hakuna nchi nikimmanisha (Sovereign state) imejaribu kuishambulia Israel. Again, hapa tunaondoa (Hamas na Hizbollah) ambao wamekuwa wakikabiliana na Israel mara kwa mara.

Kwa hiyo, hili shambulizi la Iran kwa Israel, limeondoa ile dhana iliyojengeka miongoni mwa Waisrael kwamba hawagusiki (ndio wababe) peke yao pale Ghuba ya Uajemi. Ile dhana kwamba hakuna wa kujaribu imeishaondoka. Kazi imebaki kwa U. S kuendelea kuilinda Israel kwa gharama yoyote.

Mimi namuonea huruma yule mzee Baiden. Sidhani kama anapata usingizi. Na uchaguzi wa raisi unakuja, ni dhahiri kwamba hatapita. Afadhali mwehu Trump aingie labda anaweza ku- control mambo. Hakuna anaemsikiliza Joe Biden, haswa Netanyahu.
 
Aongeze moto zaidi mkuu, maana bado ni dharau
Dharau gani sasa hapo, wewe kwa akili yako one on one, Israel anamuweza Iran?

Hint moja tuu, Israel hamna anachoweza kufanya bila kumtumia US kama shield na financier, Iran akimchapa Israel, ujue kamchapa US, UK, Fr. na wengineo
 
Mkuu, Iran kafanya mashambulizi Israel..... au yameishia njiani?
 
Ungesema walichokifanya "Israel, Jordan, UK, Saudia, USA ni dharau kwa Iran"

Kwasababu hao ndio waliomsaidia Israel kupangua hayo madude 300

Na umejiuliza matokeo ambayo angeyapata Israel kama hayo madude 300 yote yangefanikiwa kutua kwenye ardhi ya Israel kwa angalau 80%
Mnapoambiwa Mungu wa Yakobo ndiye Mungu huwa hata hamuelewi! Hutenda kwa namna ya ajabu sana!
 
Dharau gani sasa hapo, wewe kwa akili yako one on one, Israel anamuweza Iran?

Hint moja tuu, Israel hamna anachoweza kufanya bila kumtumia US kama shield na financier, Iran akimchapa Israel, ujue kamchapa US, UK, Fr. na wengineo
Umeona hapo nimeandika anamuweza au yeye Iran ndo anajiuliza ikiwa anamuweza, maana si kwa kudharirika huko
 
Israel katumia Dola BILION 1.3 kujilinda.

Iran katumia Dola Million Mia Thelathini.

Mashambulizi ya Iran hayakua na lengo la Kuumiza Israel, yalikua na Lengo la Kupima Ulinzi wa Anga wa Israel.

Israel kalindwa zaidi na US, UK ,Franc na Jordan.

Huuu mzozo, msiuchukulie kawaida.

Iran karuhusiwa kuishambulia Israel Toka Kwa haohao URUSI NA UCHINA.

Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja.
Hayo mataifa wanajipendekeza tu, maana hawakuombwa msaada wowote na Israel...
 
Kalindwa na nchi ngapi huyo Israel? Unaanzisha ugomvi unaenda kujificha nyuma ya mwenyekiti wa kikao chenu cha ukoo, na bado unapigwa makofi kama kumi, kisha unaenda kulalamika UN, Kumaamaae mna bahati, bila msaada wa US, UK, Fr, na Jordan israel wangekuwa wanakusanya vipande vya rofali mda huu. Huwezi kujisifia kwa hilo
Waliombwa wakalinde?
 
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani

Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele

Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba, ikitokea mechi ya USA na yeye, angalau hata jasho laweza kumtoka

Wakati akiendelea kuamini hicho, Anayeaminigi kuwa ni mnyonge wake, alichomfanyia juzi, ni masikitiko

Maandalizi ya kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya balozi zake pale SYRIA yaliyofanywa na Majeshi ya Israel na kuuwa makamanda wengi wa Ki Irani, yamefanyika kwa wiki nzima na siku

Bila ya shaka maandalizi hayo, Irani aliyaandaa na akiamini atakapo fyatua mabomu, Lengo ni kuisambaratisha kabisa Tela Aviv

Kilichotokea, ndio hiki nimekiita kuwa, unayekuwa ukiamini ni mnyonge wako unapotupa ngumi kali halafu akaikwepa, inabidi ujiulize mara mbili mbili

Gharama yote ile iliyotumika na Irani halafu haijaleta dhara lolote, halafu Israel kamdharaaau na hata hana shida naye huku akiendelea kuwatwanga Gaza, ujue hizo ni dharau kubwa sana dhidi ya Irani

IRAN Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi mengine kwa Israel ili angalau ashituke
Naunga mkono hoja
 
Humu wengi ni wajinga wajinga yaani MTU Yuko kimbiji au nyamadoke na mingine kolomije sasa anavyoeleze utafikiri ndo msemaji WA majeshi kumbe na yeye kasoma au kasikia kijiweni
 
Na china?

Yule mjanja mjanja sana hawezi kutia jeshi lake yule kushambulia nchi yoyote zaidi ya vitisho tu
China ni Kekundu keusi.
China inayoweza kupigana vita ni ile China kwenye movies tu.
 
Back
Top Bottom