Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

Kalindwa na nchi ngapi huyo Israel? Unaanzisha ugomvi unaenda kujificha nyuma ya mwenyekiti wa kikao chenu cha ukoo, na bado unapigwa makofi kama kumi, kisha unaenda kulalamika UN, Kumaamaae mna bahati, bila msaada wa US, UK, Fr, na Jordan israel wangekuwa wanakusanya vipande vya rofali mda huu. Huwezi kujisifia kwa hilo
mtu anatoka ulaya ila mabom hayajafika ila bado unashangilia tu
 
Kabinti kadogo 14 yrs kalijeruhiwa na mabaki ya drone iliyotunguliwa. Kalipata huduma za kiafya muda ule ule na kurudi mtaani kucheza "rede" na wenzie as if nothing happened!
Yaani Iran inatia huruma makombora yote 300 yanaishia tu kujeruhi katoto kadogo kalikokuwa kanacheza kombolela uani
 
Iran amerusha makombora kwenda Israel huku akitoa taarifa. Ushawahi kuona vita inatolewa taarifa siku kadhaa kabla.

Hao walikua wanatuliza hasira tu za wananchi.
Taarifa ilikuwa lazima itolewe kwa kuwa mataifa ya Jordan,Iraq Saudi Arabia anga lao lilitumika kupitisha makombaora na drones , lolote linaweza kutokea wakati kombora likiwa safarini na usipotoa taarifa linakuwa shambulizi dhidi ya nchi husika.Hoja ni je yasingedunguliwa ingekuwaje?
 
Dharau ni kupewa taarifa in next 72hrs nakushambulia na nitapiga air base jiandae wewe na marafiki zako na pia wakati nakupiga natumia drone za mwendo wa polepole ili dunia nzima na vyombo vyote duniani vionyeshe na wananchi wako wajue wanakuja kupigwa ,hii stress na psychological war imemtesa zaidi muisrael kuliko hata mlipuko wa hizo missile kwenye psychological warfare wairan ni magrand master .
Mkuu, kupigwa kwenyewe ndio huko?
 
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani

Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele

Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba, ikitokea mechi ya USA na yeye, angalau hata jasho laweza kumtoka

Wakati akiendelea kuamini hicho, Anayeaminigi kuwa ni mnyonge wake, alichomfanyia juzi, ni masikitiko

Maandalizi ya kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya balozi zake pale SYRIA yaliyofanywa na Majeshi ya Israel na kuuwa makamanda wengi wa Ki Irani, yamefanyika kwa wiki nzima na siku

Bila ya shaka maandalizi hayo, Irani aliyaandaa na akiamini atakapo fyatua mabomu, Lengo ni kuisambaratisha kabisa Tela Aviv

Kilichotokea, ndio hiki nimekiita kuwa, unayekuwa ukiamini ni mnyonge wako unapotupa ngumi kali halafu akaikwepa, inabidi ujiulize mara mbili mbili

Gharama yote ile iliyotumika na Irani halafu haijaleta dhara lolote, halafu Israel kamdharaaau na hata hana shida naye huku akiendelea kuwatwanga Gaza, ujue hizo ni dharau kubwa sana dhidi ya Irani

IRAN Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi mengine kwa Israel ili angalau ashituke
Eti unatamani kabisa warudie strikes.. shame
 
Back
Top Bottom