Israel iko kwenye readiness ya hali ya juu ndio maana ndegevita hazikauki angani zinafanya patrol, likizo za marubani wa kijeshi zote zimefutwa, missile defense forces zipo kwenye attention. Baada ya kushambulia ubalozi Israel ilijua kutakuwepo na majibu ikajipanga. Iran haikuwahi sema itapiga wapi na wapi na itapiga lini. Kama una ushahidi leta. Iran ilisema italipa kisasi, haikusema kivipi.
Ni intelligence ya Israel iliyoonyesha watarusha maana maandalizi yanaonekana, na missile warning systems zilionyesha tangu makombora yanafyatuliwa Iran hayajatoka kwenye anga lao. Engagement ikafanywa na jets za Israel, AD mbalimbali, melivita kama Saar 6, Patriot na kidogo silaha za washirika.
Yemen kuna makombora uchwara ya Iran. Zile cruise missiles zinadondoshwa hata na Apache helicopter. Silaha nzito za Iran hazipo Yemen wala Syria, na hata uko Yemen zimerushwa kutokea ila zimedondoshwa. Si ndio hizo zimepita Saudi Arabia.
Almost makombora yote ya Iran ni supersonic. Unataka supersonic yapi tena?
Kwahiyo hayo aliyorusha sio kitu kwa Israel, unataka mengine tena. Kumbe Iran ana makombora ya kinyonge hivyo. Omba Israel isirushe makombora uone precision na Iran haambulii kudungua kombora. Ngoja waamue hawa majamaa
View attachment 2964610