Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

Nimeumia nilitaka angalau Israel wafe watu kama 20 hivi wa kutolewa kafara. Jamii ikasirike ishinikize serikali ilipe mashambulizi. Sikuwa na wasiwasi nilijua kipigo kikali kutafuata vinu vya kinyuklia vya Iran viangamizwe. Sasa ona makombora zaidi ya 300 hayajaua hata mbwa, unaanzaje kuwashawishi raia wa Israel kipigo kikali kiifuate Iran?

Yani Iran ina makombora uchwara namna hii.
Ni huzuni kwa kweli.
 
Iran katumia hadi Emad medium range ballistic missile ambazo ni liquid fueled. Nazo zimedunguliwa wakati ndio hizo anaficha kwenye underground facilities maana yake ni silaha ya ubora mkubwa kati ya walizonazoView attachment 2964666

Kama unaamini Hezbollah ndio ana makombora ya uwezo mkubwa kuliko Iran mwenyewe unakuwa kama hujielewi. Iran anayo mazuri zaidi, ila makombora 300 iliyorusha hayajaua wala kuharibu zaidi ya minor damage. Israel haiwezi rusha makombora 300 msihesabu maiti na uharibifu mkubwa.

Tofauti ni kwamba Israel ikirusha Iran inaweza isiambulie kudungua hata kombora moja tu. Na hayo mazuri zaidi ya Iran mengi yake yanazuilika.
Ona ulivyo umedata.
Nani kasema kuwa Hizbollah ana makombora bora kuliko Iran!?
Nimekwambia miongoni mwa makombora bora ya Iran ni yale aliyoyatumia Hizbollah dhidi ya Israel kulipua Galilee.
Soma kwa umakini.
Una uhakika kuwa Iran hatoweza ku intercept hayo makombora ya Israel!?
Khordak-3 na khordak-15 zinafanya kazi gani Iran kama sio airdefence!?
Usisahau kuwa hayo makombora ya ujazo wa kati na pia US navy na RAF ya UK ilisaidia kuya intercept,au hilo umesahau mkuu!?
Je yangeenda mazima pasi na baadhi kudunguliwa na US navy na RAF na Jordan army Israel je ingekua na uwezo wa kuyadungua yote!?

Kama unadhani hizo ndio missile kubwa Iran alizo nazo basi pole sana.
Iran ana shehena ya makombora makubwa kuliko hayo alorusha.

Pia usijisahaulishe Iran alilenga Negev kambi ya jeshi hakulenga eneo la raia.
Tofautisha na Israel ambae yeye akirusha kombora hupiga shuleni,sokoni,majumbani hata mahospitalini,yani akiamua anapiga popote.
Iran alilenga sehem ya kambi ya jeshi.
Usijisahaulishe hilo.
 
Ona hii nguruwe pori

Kwanza nilikuwa na-quote, niliyemquote kataja supersonic na ndio nimejibu, kwakuwa wewe ni ngumbaru hujui unabishana nini.

Pili, Iran hana hypersonic missile. Najua hujui maana ya hypersonic missile ila unadhani unajua. Taja hypersonic missile ya Iran unayoijua wewe.

Tatu, range sio kitu kwenye madhara, unacholenga kumaanisha ni kwamba kombora la range kubwa ni la kisasa zaidi si ndio? Israel imeua makamanda wa Iran kwa mabomu hata 100km hayaendi. Kama Iran haiwezi lenga shabaha kwa 2500 miles, kwa 4000 miles je?

Nenda Russia tazama Iskander-M ina range ya 500km tu ila ina accuracy na speed inaheshimika. Ukileta hayo makombora uchwara ya Iran yenye 2500 miles na yanalipua rami utachekwa.

Tena kombora lenye range ndogo linatakuwa liwe na shabaha kubwa na CEP ndogo. Sasa Iran inatumia kombora la range ya 2500 alafu inaambulia kujeruhi binti na kupiga rami uwanjani huo si ni upumbavu?

Military target gani Israel imepigwa. Israel ikipiga military target inaua wahusika na kuharibu zana. Nyinyi mnajeruhi binti na kuharibu rami ya airbase. Eti mnashambulia airbase ya Negev alafu makombora yanaisha ndege zinaruka kawaida, bulldozer zinafukia vishimo eti hapo mmeshambulia military target😂

Waulize Egypt mwaka 1967 Israel iliposhambulia airbases zao zote kama kuna ndege iliamka pale.
Unamaanisha Iran hana makombora yenye ufanisi!?
Je yale makombora anayotumia Hizbollah yaliyoteketeza kambi ya Galilee Kaskazini mwa Israel kayaunda nani kama sio Iran!?
Kwahiyo unaamini makombora ya jana ndio ya kiwango cha juu ya Iran!?
Ushasahau kama JORDAN,USA,UK wame play part kubwa kudungua hayo makombora na drones!?
Au hilo unajisahaulisha!?
 
Order zimeanza huko

BREAKING: Lockheed Martin wins $17 billion US missile defense contract
 
Israel katumia Dola BILION 1.3 kujilinda.

Iran katumia Dola Million Mia Thelathini.

Mashambulizi ya Iran hayakua na lengo la Kuumiza Israel, yalikua na Lengo la Kupima Ulinzi wa Anga wa Israel.

Israel kalindwa zaidi na US, UK ,Franc na Jordan.

Huu mzozo, msiuchukulie kawaida.

Iran karuhusiwa kuishambulia Israel Toka Kwa haohao URUSI NA UCHINA.

Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja.
Mlisema wako peke yao leo hii eti karuhusiwa na Urusi na Uchina? Hamkawii kuomba msaada mtakapoanza kutwangwa kama njugu
 
Ona ulivyo umedata.
Nani kasema kuwa Hizbollah ana makombora bora kuliko Iran!?
Nimekwambia miongoni mwa makombora bora ya Iran ni yale aliyoyatumia Hizbollah dhidi ya Israel kulipua Galilee.
Soma kwa umakini.
Una uhakika kuwa Iran hatoweza ku intercept hayo makombora ya Israel!?
Khordak-3 na khordak-15 zinafanya kazi gani Iran kama sio airdefence!?
Usisahau kuwa hayo makombora ya ujazo wa kati na pia US navy na RAF ya UK ilisaidia kuya intercept,au hilo umesahau mkuu!?
Je yangeenda mazima pasi na baadhi kudunguliwa na US navy na RAF na Jordan army Israel je ingekua na uwezo wa kuyadungua yote!?

Kama unadhani hizo ndio missile kubwa Iran alizo nazo basi pole sana.
Iran ana shehena ya makombora makubwa kuliko hayo alorusha.

Pia usijisahaulishe Iran alilenga Negev kambi ya jeshi hakulenga eneo la raia.
Tofautisha na Israel ambae yeye akirusha kombora hupiga shuleni,sokoni,majumbani hata mahospitalini,yani akiamua anapiga popote.
Iran alilenga sehem ya kambi ya jeshi.
Usijisahaulishe hilo.
Asikupotezee muda huyo kipindi urusi inaanza kuishambulia Ukraine alimwaga mashudu mpaka baadae akaona aibu akakimbilia kijijini kwao kulima mpunga huyo ndie alie sema urusi wanatumia washing mashine kama silaha baada ya Ukraine hali kuzidi kua mbaya kakimbia uzi wenyewe
 
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani

Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele

Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba, ikitokea mechi ya USA na yeye, angalau hata jasho laweza kumtoka

Wakati akiendelea kuamini hicho, Anayeaminigi kuwa ni mnyonge wake, alichomfanyia juzi, ni masikitiko

Maandalizi ya kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya balozi zake pale SYRIA yaliyofanywa na Majeshi ya Israel na kuuwa makamanda wengi wa Ki Irani, yamefanyika kwa wiki nzima na siku

Bila ya shaka maandalizi hayo, Irani aliyaandaa na akiamini atakapo fyatua mabomu, Lengo ni kuisambaratisha kabisa Tela Aviv

Kilichotokea, ndio hiki nimekiita kuwa, unayekuwa ukiamini ni mnyonge wako unapotupa ngumi kali halafu akaikwepa, inabidi ujiulize mara mbili mbili

Gharama yote ile iliyotumika na Irani halafu haijaleta dhara lolote, halafu Israel kamdharaaau na hata hana shida naye huku akiendelea kuwatwanga Gaza, ujue hizo ni dharau kubwa sana dhidi ya Irani

IRAN Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi mengine kwa Israel ili angalau ashituke
Hivi unajitambua wewe??
Tusishabikie vita ndugu zangu Watanzania.

Supply ikikata huko duniani shida ni kwetu, maana Kwa utegemezi HATUJAMBO!
Mwambie huyo pimbi hapo juu.
 
Mlisema wako peke yao leo hii eti karuhusiwa na Urusi na Uchina? Hamkawii kuomba msaada mtakapoanza kutwangwa kama njugu
Iran ni one man army.
Ila kama escalation itakua kubwa proxy wa Iran watakinukisha wa hapo hapo middle east,na Russia huwenda akatumia hiyo fursa pia kwa kumsapoti Iran.
 
Israel katumia Dola BILION 1.3 kujilinda.

Iran katumia Dola Million Mia Thelathini.

Mashambulizi ya Iran hayakua na lengo la Kuumiza Israel, yalikua na Lengo la Kupima Ulinzi wa Anga wa Israel.

Israel kalindwa zaidi na US, UK ,Franc na Jordan.

Huu mzozo, msiuchukulie kawaida.

Iran karuhusiwa kuishambulia Israel Toka Kwa haohao URUSI NA UCHINA.

Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja.
Du leo umeongea point umetumia vizuri akiliyako kushinda ushabiki wa hao wanaoishi bongo known as wavaa miwani ya mbao ..Denmark imekufumbua macho.
 
Khordak-3 na khordak-15 zinafanya kazi gani Iran kama sio airdefence!?
Ni lini air defense system yoyote ya Iran iliwahi dungua kombora la Israel popote pale?
Tunao ushahidi wa mamia ya makombora ya Iran yakidunguliwa na Israel.
Khordak 15 inaishia kwenye kuzuia cruise missiles na sio ballistic missiles, hiyo system inazidiwa ubora hata na S-300. Lini S-300 iliwahi zuia aerial targets za Israel, hata ndege tu achana na makombora.

Hiyo Khordak 3 ungekuwa karibu yangu ningekuzaba kofi. System inayoiga BUK, yenye kubebwa na 6×6 truck na haizidi range ya 200km na altitude ya 30km izuie ballistic missiles za Israel?

Usisahau kuwa hayo makombora ya ujazo wa kati na pia US navy na RAF ya UK ilisaidia kuya intercept,au hilo umesahau mkuu!?
US Navy na RAF wamezuia makombora mangapi? Makombora mengi yametokea Iran yakapita nchi kavu kuja Israel, yaliyozuiliwa na US Navy ni yaliyopita mwambao wa bahari ni machache mno nadhani yametokea Yemen. RAF nayo imezuia machache sana. Labda useme US na UK wamezuia mangapi tuone.
Je yangeenda mazima pasi na baadhi kudunguliwa na US navy na RAF na Jordan army Israel je ingekua na uwezo wa kuyadungua yote!?
Hayo yaliyoenda Israel hayajaua hata mbwa koko. Kwamba Jordan iweze kuyadungua alafu Israel ishindwe? Direction ni hii, mengi Iran imeyapitisha route fupi ambayo haina air defense mpaka ukifika Israel
1000342911.jpg

Kama unadhani hizo ndio missile kubwa Iran alizo nazo basi pole sana.
Iran ana shehena ya makombora makubwa kuliko hayo alorusha.
Makombora 300 ya uwezo wa kati hayajaambulia kitu, mlisema mnalipiza kisasi. Mara leo mnadai mna makombora makubwa kuliko, si mgetumia hayo sasa. Hamna kitu makelele tu
 
Israel iko kwenye readiness ya hali ya juu ndio maana ndegevita hazikauki angani zinafanya patrol, likizo za marubani wa kijeshi zote zimefutwa, missile defense forces zipo kwenye attention. Baada ya kushambulia ubalozi Israel ilijua kutakuwepo na majibu ikajipanga. Iran haikuwahi sema itapiga wapi na wapi na itapiga lini. Kama una ushahidi leta. Iran ilisema italipa kisasi, haikusema kivipi.

Ni intelligence ya Israel iliyoonyesha watarusha maana maandalizi yanaonekana, na missile warning systems zilionyesha tangu makombora yanafyatuliwa Iran hayajatoka kwenye anga lao. Engagement ikafanywa na jets za Israel, AD mbalimbali, melivita kama Saar 6, Patriot na kidogo silaha za washirika.

Yemen kuna makombora uchwara ya Iran. Zile cruise missiles zinadondoshwa hata na Apache helicopter. Silaha nzito za Iran hazipo Yemen wala Syria, na hata uko Yemen zimerushwa kutokea ila zimedondoshwa. Si ndio hizo zimepita Saudi Arabia.

Almost makombora yote ya Iran ni supersonic. Unataka supersonic yapi tena?
Kwahiyo hayo aliyorusha sio kitu kwa Israel, unataka mengine tena. Kumbe Iran ana makombora ya kinyonge hivyo. Omba Israel isirushe makombora uone precision na Iran haambulii kudungua kombora. Ngoja waamue hawa majamaaView attachment 2964610
Kwanza ni kukosoe aliye italifu Israel kuwa Iran inajiandaa kuishambulia ni Marekani na si Israel yenyewe kugundua, nadhani viongozi wa Israel walivichukulia vitisho vya Iran kama vya siku zote tu mpaka walipo kuja kushutuliwa na Marekani kuwa Iran yuko siliasi.

Pia Iran iliitarifu Marekani na nchi za Kiarabu kuwa itatekeleza shambulizi dhidi ya Israel masaa 72 kabla ya kushambulia na mpaka saa Iran anaanza mashambulizi Marekani na Iran walikuwa na mazungumzo Marekani akijaribu kiushawishi Iran isifanye mashambulizi.
Kwa aina ya hili shambulizi baadhi ya wachambuzi wanasema wenda hili shambulizi Iran alitaka kuonesha ya kuwa ana uwezo wa kufanya kitu chenye madhara dhidi ya Israel na sio kuiumiza Israel.

Hao walio kaa hapo ni kama wanawake ambao wao wanaanzisha ugomvi alafu wanakimbilia kujificha nyuma ya Waume zao ili wawalinde, na hicho chumba walicho kaa kiko kwenye handaki walikuwa wamejificha kuogopa makombora ambayo ww upo hapa unayadharau.
 
Ni lini air defense system yoyote ya Iran iliwahi dungua kombora la Israel popote pale?
Tunao ushahidi wa mamia ya makombora ya Iran yakidunguliwa na Israel.
Khordak 15 inaishia kwenye kuzuia cruise missiles na sio ballistic missiles, hiyo system inazidiwa ubora hata na S-300. Lini S-300 iliwahi zuia aerial targets za Israel, hata ndege tu achana na makombora.

Hiyo Khordak 3 ungekuwa karibu yangu ningekuzaba kofi. System inayoiga BUK, yenye kubebwa na 6×6 truck na haizidi range ya 200km na altitude ya 30km izuie ballistic missiles za Israel?

US Navy na RAF wamezuia makombora mangapi? Makombora mengi yametokea Iran yakapita nchi kavu kuja Israel, yaliyozuiliwa na US Navy ni yaliyopita mwambao wa bahari ni machache mno nadhani yametokea Yemen. RAF nayo imezuia machache sana. Labda useme US na UK wamezuia mangapi tuone.

Hayo yaliyoenda Israel hayajaua hata mbwa koko. Kwamba Jordan iweze kuyadungua alafu Israel ishindwe? Direction ni hii, mengi Iran imeyapitisha route fupi ambayo haina air defense mpaka ukifika Israel View attachment 2964692

Makombora 300 ya uwezo wa kati hayajaambulia kitu, mlisema mnalipiza kisasi. Mara leo mnadai mna makombora makubwa kuliko, si mgetumia hayo sasa. Hamna kitu makelele tu
Ona unavyoongea utumbo.
Ksifuatilie BAVAR 373 NI LONG RANGE ANTI BALLISTIC MISSILE.
Bado haujasema wewe.
Kwani kuna siku Israel amewahi kurusha makombora Iran!?
Embu nitajie hiyo siku.
Iran ina mifumo mingi tu ya air defence system sio Khordak peke yake kuna Bavar pia ambayo hutumika kudungua ballistic missiles.
Naona Israel iliweza kudungua makombora ya Hizbollah yalilolipua kambi za kaskazini mwa Israel.
Na usisahau nakusisitiza yale guided missiles zimeundwa na Iran.

RAF ilidungua zaidi ya drones na makombora ya cruise 70.
USA ilidungua idadi zaidi ama inayofanana na hiyo.
Jordan naye alidungua baadhi ya missiles na drones za Iran.
Israel ali intercept 120 drones + ballistic missiles na 7 zikapenya.

Nimekuuliza swali,je kama hayo mataifa yasingesaidia kudungua je Israel angeweza kudungua drones+missiles zote 300?
Kama tu 120+ zilizofika zimepenya saba je kama mzigo ungefika wote 300+ Israel angedungua zote!?
Sijui unasoma kwa uelewa we jamaa!?

Kama unataka tukuletee makombora yenye nguvu ya Iran tutakuletea.
Pia usisahau Iran alilenga kambi hakulenga eneo la raia.
 
Figure za Iran kutumia dola millioni Mia thelathini umezitoa wapi? !

Marekani imesema wapi meli zao zilitungua ballistic missiles 6 zilizobaki zilitunguliwa air defenses za Israel.
Drone na Cruise missile ndio zilitunguliwa kwa ndege za US, UK, France, Jordan na Israel yenyewe.

Official statement 👇

Senior U.S. Defense Officials have now revealed that the Arleigh Burke-Class Guided-Missile Destroyers, USS Carney (DDG-64) and USS Arleigh Burke (DDG-51) were the Two Ships of the U.S. Navy that were in the Eastern Mediterranean and launched Standard Missile-3s (SM-3s) to Down between 4 and 6 Iranian Medium-Range Ballistic Missiles last night over Israel.

View: https://twitter.com/sentdefender/status/1779574395473723430?t=q2cTzSHjXYZcZ2jEjMSYDA&s=19

Ww jamaa bwana unatapatapa sana ww siulikuwa unasema kuwa hakuna kombora lililo vuka mipaka na kuingia Israel sasa hiyo mifumo ya Israel iliyadungua saa ngapi hali ya kuwa hayakuingia kwenye anga yake?
 
Hizo drone za Iran na nyinginezo mbn speed zake zinajulikana hayo masaa 8 hata wasingesema hata wewe kama ni mwelewa ungejua.
Wangetaka kufanya shambulizi la kushutukiza wala wasinge tumia hizo drone bali wangetumia makombora moja kwa moja.
 
Iran amerusha makombora kwenda Israel huku akitoa taarifa. Ushawahi kuona vita inatolewa taarifa siku kadhaa kabla.

Hao walikua wanatuliza hasira tu za wananchi.
Endelea na uhandisi, hii kada iko juu yako saaaana ya issue za diplomacy. Alafu inaoneka history uliisoma ujaze mitihani tu. Mbona vitu vinajieleza tu hvo
 
Ni lini air defense system yoyote ya Iran iliwahi dungua kombora la Israel popote pale?
Tunao ushahidi wa mamia ya makombora ya Iran yakidunguliwa na Israel.
Khordak 15 inaishia kwenye kuzuia cruise missiles na sio ballistic missiles, hiyo system inazidiwa ubora hata na S-300. Lini S-300 iliwahi zuia aerial targets za Israel, hata ndege tu achana na makombora.

Hiyo Khordak 3 ungekuwa karibu yangu ningekuzaba kofi. System inayoiga BUK, yenye kubebwa na 6×6 truck na haizidi range ya 200km na altitude ya 30km izuie ballistic missiles za Israel?

US Navy na RAF wamezuia makombora mangapi? Makombora mengi yametokea Iran yakapita nchi kavu kuja Israel, yaliyozuiliwa na US Navy ni yaliyopita mwambao wa bahari ni machache mno nadhani yametokea Yemen. RAF nayo imezuia machache sana. Labda useme US na UK wamezuia mangapi tuone.

Hayo yaliyoenda Israel hayajaua hata mbwa koko. Kwamba Jordan iweze kuyadungua alafu Israel ishindwe? Direction ni hii, mengi Iran imeyapitisha route fupi ambayo haina air defense mpaka ukifika Israel View attachment 2964692

Makombora 300 ya uwezo wa kati hayajaambulia kitu, mlisema mnalipiza kisasi. Mara leo mnadai mna makombora makubwa kuliko, si mgetumia hayo sasa. Hamna kitu makelele tu
Ni lini air defense system yoyote ya Iran iliwahi dungua kombora la Israel popote pale?
Tunao ushahidi wa mamia ya makombora ya Iran yakidunguliwa na Israel.
Khordak 15 inaishia kwenye kuzuia cruise missiles na sio ballistic missiles, hiyo system inazidiwa ubora hata na S-300. Lini S-300 iliwahi zuia aerial targets za Israel, hata ndege tu achana na makombora.

Hiyo Khordak 3 ungekuwa karibu yangu ningekuzaba kofi. System inayoiga BUK, yenye kubebwa na 6×6 truck na haizidi range ya 200km na altitude ya 30km izuie ballistic missiles za Israel?

US Navy na RAF wamezuia makombora mangapi? Makombora mengi yametokea Iran yakapita nchi kavu kuja Israel, yaliyozuiliwa na US Navy ni yaliyopita mwambao wa bahari ni machache mno nadhani yametokea Yemen. RAF nayo imezuia machache sana. Labda useme US na UK wamezuia mangapi tuone.

Hayo yaliyoenda Israel hayajaua hata mbwa koko. Kwamba Jordan iweze kuyadungua alafu Israel ishindwe? Direction ni hii, mengi Iran imeyapitisha route fupi ambayo haina air defense mpaka ukifika Israel View attachment 2964692

Makombora 300 ya uwezo wa kati hayajaambulia kitu, mlisema mnalipiza kisasi. Mara leo mnadai mna makombora makubwa kuliko, si mgetumia hayo sasa. Hamna kitu makelele tu
Basi tunasubiri hiyo Israel yako ijibu ili tuone kama hayo unayo sema ni Kweli au utaumbuka kama ulivyo umbuliwa na akina Chui 2 na Abraham kwenye offense huko Ukraine mpaka ukaukimbia uzi, hapa upo una atupigia kelele tu.
Ww unadhani Marekani na washirika wake ni wajinga na wana mawazo ya kinyeto kama ww kuionya Israel isithubutu kuishambulia Iran ?
 
Kilichojitokeza ni hiki, Israel ilipoishambulia Iran, alijua fika kuwa Iran lipiza Kwa Ukali.
Kwahiyo Israel alichofanya ni kulinda Kwa Nguvu zote anga lake na kuweka Mfumo wa ulinzi standby.
Hata Sasa ulinzi umeimarishwa sana
Mkuu naomba kukuuliza, kutokana na shambulizi la Iran, Israel imelindwa au imejilinda!?
 
Siku si nyingi tutasikia "pray for Iran and children of Iran”
Kama wanahangaika na hezbollah kwa miaka zaidi ya 70 atamuweza iran??? Be serious my friend hujaona raisi wa israel kajishusha kasema walishambulia nyumba jirani na ubalozi wa iran na sio ubalozi wa iran, mambo siyo rahisi kama unavyoona kwenye movie
 
Attachments

  • Screenshot_20240414-183330_Instagram.jpg
    Screenshot_20240414-183330_Instagram.jpg
    277.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240415-122615_Facebook.jpg
    Screenshot_20240415-122615_Facebook.jpg
    318.3 KB · Views: 1
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani

Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele

Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba, ikitokea mechi ya USA na yeye, angalau hata jasho laweza kumtoka

Wakati akiendelea kuamini hicho, Anayeaminigi kuwa ni mnyonge wake, alichomfanyia juzi, ni masikitiko

Maandalizi ya kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya balozi zake pale SYRIA yaliyofanywa na Majeshi ya Israel na kuuwa makamanda wengi wa Ki Irani, yamefanyika kwa wiki nzima na siku

Bila ya shaka maandalizi hayo, Irani aliyaandaa na akiamini atakapo fyatua mabomu, Lengo ni kuisambaratisha kabisa Tela Aviv

Kilichotokea, ndio hiki nimekiita kuwa, unayekuwa ukiamini ni mnyonge wako unapotupa ngumi kali halafu akaikwepa, inabidi ujiulize mara mbili mbili

Gharama yote ile iliyotumika na Irani halafu haijaleta dhara lolote, halafu Israel kamdharaaau na hata hana shida naye huku akiendelea kuwatwanga Gaza, ujue hizo ni dharau kubwa sana dhidi ya Irani

IRAN Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi mengine kwa Israel ili angalau ashituke
Mkuu hebu tuekane sawa kwanza,hivi hayo yanayoitwa mafanikio ya Esrael kutokana na shambulizi la Iran yamepatikana baada ya kulindwa vyema na washirika wake au kujilinda yenyewe!? Maana naona sifa kubwa mno inapewa mifumo ya ulinzi wa Israel wakati kazi kubwa zaidi imefanywa na mifumo ya ulinzi wa anga ya mataifa mengine!
 
Back
Top Bottom