Aongeze moto zaidi mkuu, maana bado ni dharauKalindwa na nchi ngapi huyo Israel? Unaanzisha ugomvi unaenda kujificha nyuma ya mwenyekiti wa kikao chenu cha ukoo, na bado unapigwa makofi kama kumi, kisha unaenda kulalamika UN, Kumaamaae mna bahati, bila msaada wa US, UK, Fr, na Jordan israel wangekuwa wanakusanya vipande vya rofali mda huu. Huwezi kujisifia kwa hilo
Kabinti kadogo 14 yrs kalijeruhiwa na mabaki ya drone iliyotunguliwa. Kalipata huduma za kiafya muda ule ule na kurudi mtaani kucheza "rede" na wenzie as if nothing happened!Ni binti tu? Bado ni dharau mkuu
Mchina anacheza chess kwa makini sanaNa china?
Yule mjanja mjanja sana hawezi kutia jeshi lake yule kushambulia nchi yoyote zaidi ya vitisho tu
Dharau gani sasa hapo, wewe kwa akili yako one on one, Israel anamuweza Iran?Aongeze moto zaidi mkuu, maana bado ni dharau
Mkuu, Iran kafanya mashambulizi Israel..... au yameishia njiani?Tukumbushane tu kwamba, baada ya vita ya 1973, hakuna nchi nikimmanisha (Sovereign state) imejaribu kuishambulia Israel. Again, hapa tunaondoa (Hamas na Hizbollah) ambao wamekuwa wakikabiliana na Israel mara kwa mara.
Kwa hiyo, hili shambulizi la Iran kwa Israel, limeondoa ile dhana iliyojengeka miongoni mwa Waisrael kwamba hawagusiki (ndio wababe) peke yao pale Ghuba ya Uajemi. Ile dhana kwamba hakuna wa kujaribu imeishaondoka. Kazi imebaki kwa U. S kuendelea kuilinda Israel kwa gharama yoyote.
Mimi namuonea huruma yule mzee Baiden. Sidhani kama anapata usingizi. Na uchaguzi wa raisi unakuja, ni dhahiri kwamba hatapita. Afadhali mwehu Trump aingie labda anaweza ku- control mambo. Hakuna anaemsikiliza Joe Biden, haswa Netanyahu.
Mnapoambiwa Mungu wa Yakobo ndiye Mungu huwa hata hamuelewi! Hutenda kwa namna ya ajabu sana!Ungesema walichokifanya "Israel, Jordan, UK, Saudia, USA ni dharau kwa Iran"
Kwasababu hao ndio waliomsaidia Israel kupangua hayo madude 300
Na umejiuliza matokeo ambayo angeyapata Israel kama hayo madude 300 yote yangefanikiwa kutua kwenye ardhi ya Israel kwa angalau 80%
jikite kwe hoja sheikhUsivute bangi chooni haswa jua kali na choo kisipokua na bati.
Umeona hapo nimeandika anamuweza au yeye Iran ndo anajiuliza ikiwa anamuweza, maana si kwa kudharirika hukoDharau gani sasa hapo, wewe kwa akili yako one on one, Israel anamuweza Iran?
Hint moja tuu, Israel hamna anachoweza kufanya bila kumtumia US kama shield na financier, Iran akimchapa Israel, ujue kamchapa US, UK, Fr. na wengineo
Usijibizane na mpumbavu!Israel kafunga mdomo kimya baada ya kutumiwa salam
Mkuu we jikite tu kwenye KitimotoSiku si nyingi tutasikia "pray for Iran and children of Iran”
Hayo mataifa wanajipendekeza tu, maana hawakuombwa msaada wowote na Israel...Israel katumia Dola BILION 1.3 kujilinda.
Iran katumia Dola Million Mia Thelathini.
Mashambulizi ya Iran hayakua na lengo la Kuumiza Israel, yalikua na Lengo la Kupima Ulinzi wa Anga wa Israel.
Israel kalindwa zaidi na US, UK ,Franc na Jordan.
Huuu mzozo, msiuchukulie kawaida.
Iran karuhusiwa kuishambulia Israel Toka Kwa haohao URUSI NA UCHINA.
Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja.
Waliombwa wakalinde?Kalindwa na nchi ngapi huyo Israel? Unaanzisha ugomvi unaenda kujificha nyuma ya mwenyekiti wa kikao chenu cha ukoo, na bado unapigwa makofi kama kumi, kisha unaenda kulalamika UN, Kumaamaae mna bahati, bila msaada wa US, UK, Fr, na Jordan israel wangekuwa wanakusanya vipande vya rofali mda huu. Huwezi kujisifia kwa hilo
Nimekupa tu ushauri mkuu mie hakuna cha kunitesa kati ya hivyo ulivyosema ama kupost.Mkuu, unateseka ukiwa wapi? Irani au Gaza?
Naunga mkono hojaKwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani
Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele
Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba, ikitokea mechi ya USA na yeye, angalau hata jasho laweza kumtoka
Wakati akiendelea kuamini hicho, Anayeaminigi kuwa ni mnyonge wake, alichomfanyia juzi, ni masikitiko
Maandalizi ya kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya balozi zake pale SYRIA yaliyofanywa na Majeshi ya Israel na kuuwa makamanda wengi wa Ki Irani, yamefanyika kwa wiki nzima na siku
Bila ya shaka maandalizi hayo, Irani aliyaandaa na akiamini atakapo fyatua mabomu, Lengo ni kuisambaratisha kabisa Tela Aviv
Kilichotokea, ndio hiki nimekiita kuwa, unayekuwa ukiamini ni mnyonge wako unapotupa ngumi kali halafu akaikwepa, inabidi ujiulize mara mbili mbili
Gharama yote ile iliyotumika na Irani halafu haijaleta dhara lolote, halafu Israel kamdharaaau na hata hana shida naye huku akiendelea kuwatwanga Gaza, ujue hizo ni dharau kubwa sana dhidi ya Irani
IRAN Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi mengine kwa Israel ili angalau ashituke
China ni Kekundu keusi.Na china?
Yule mjanja mjanja sana hawezi kutia jeshi lake yule kushambulia nchi yoyote zaidi ya vitisho tu