Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

mtu anatoka ulaya ila mabom hayajafika ila bado unashangilia tu
 
Kabinti kadogo 14 yrs kalijeruhiwa na mabaki ya drone iliyotunguliwa. Kalipata huduma za kiafya muda ule ule na kurudi mtaani kucheza "rede" na wenzie as if nothing happened!
Yaani Iran inatia huruma makombora yote 300 yanaishia tu kujeruhi katoto kadogo kalikokuwa kanacheza kombolela uani
 
Na mleta mada mwongo wewe. Makombora na drones zaidi ya 300 za Iran zimefanikiwa kujeruhi binti mmoja Israel. .
Da ila ila we jamaa, Imenidi tu nicheke πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.
 
Iran amerusha makombora kwenda Israel huku akitoa taarifa. Ushawahi kuona vita inatolewa taarifa siku kadhaa kabla.

Hao walikua wanatuliza hasira tu za wananchi.
Taarifa ilikuwa lazima itolewe kwa kuwa mataifa ya Jordan,Iraq Saudi Arabia anga lao lilitumika kupitisha makombaora na drones , lolote linaweza kutokea wakati kombora likiwa safarini na usipotoa taarifa linakuwa shambulizi dhidi ya nchi husika.Hoja ni je yasingedunguliwa ingekuwaje?
 
Mkuu, kupigwa kwenyewe ndio huko?
 
Eti unatamani kabisa warudie strikes.. shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…