Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

Unashangaa makonda wakati ungeshangaa mfumo mzima wa uongozi wa Tanzania ulivyo.
Mfumo mzima wa uongozi wa Tanzania ni wa kunyenyekea na kujipendekeza kwa bosi ili uonwe na upandishwe.

Mfumo huu uliasisiwa na Mwalimu, angalau Mkapa alijitahidi kuangalia umahiri wa kitaaluma na utendaji kazi.

CCM imepandikiza mfumo huu kwenye maisha ya Watanzania kiasi kwamba sasa imekuwa ni "part & parcel" ya maisha ya wengi wetu.

Kwani tunaishi kwa hisani ya CCM ama ya Mwenyezi Mungu!!??
 
Badala ya kuongelea tunu za Sokoine yeye ni mama.., mama..., mama..., hivi Makonda kwanini anahangaika sana na mama za watu, hajui kuwa Samia si mama yake?
 
Ila tumewazidi ukubwa wa macho
 
Speech yake ni kama ile ya Mama Wema Sepetu kwenye Happy Birthday ya mwanaye mwakajana
 
Na hii ni kansa ambayo sasaivi ina mature kila siku.

Watu hawapewi nafasi kwa sababu ya merit ila kujipendekeza, kujuana na kufitiana.

We are dead!
 
Kinachoumiza ni ujio wake Arusha na majanga mawili mfululizo.....mafuriko na watoto saba kufa...aisee
Inauhusiano vipi na ujio wake arusha? Samahani, lakinibungenipa maelezo kidogo.

Back to the topic, China na Tanzania kisiasa ni vitu viwili tofauti.
Or else thread yako ikae kuexpose the need ya wasomi kuingia kwenye siasa za Tanzania. Wanajeshi, madaktari, wana technolojia.
Ambayo ni a future to be grown.

Ila kwasiasa ya bongo. Acha makonda akae pale, maana wewe mwenyewe upo umekaa na hufati kiti chake.
In nutshell wewe na yeye makonda wote hamnazo tu.
You aint relevant on your writting.
Nimekaa province ya sichuan miezi mitatu mwaka jana tu, governor wa pale ni mwanajeshi, msomi tena msomi kweli kweli, mambo ya tech hayo ndio mambo kayasomea. Ila yupo kwenye province ambayo sifa yake kubwa ni kuwa na yale madubwi(Panda wa aina saba) na milima ya himalaya.
Nia ya mfano huo ni kukwambia, mtu yyte anaweza kukaa popote, issue are you ready to save your country. Hii Tanzania wengi hawana. Wapo ofisi za serikali kaka eneo la kuvimba na kutamba kazi kwa wananchi kidogo sana.
Makonda anatakiwa afanye kazi aache perereeee. Aibadirishe arusha, stick on the theme of Arusha. Aache perereee zake za mjini.

Next time toa mifano mizuri au fundisha nchi yako, usishindanishe na watu wengine.
 
Porojo zote kuhusu China hazina mahusiano yoyote yale na Kumbukumbu za Kifo cha Hayat Wazir Mkuu Edward Moringe Sokoine- Zilch, zero.

Sembuse alichokisema Makonda.

Eti Alichokifanya, alifanya nini?

Kwa kifupi, hizi ni propaganda tu zilizojazwa maneno mengi tu.

Peel away the layers and perhaps you'll get a glimpse of the truth-Hii ni Propaganda hasi na ya Uhasama juu ya Nchi yetu.
 
Aliyemchagua ana matatizo makubwa kumliko.
 
Hameni nchi mwende Burundi kama hamuriziki na utendaji wa makonda,na yupo sana tu,kelelezenu hazitazuia mwenye nyumba kulala
 
Kama Kuweka kamera za usalama barabarani ni petty issue mbona zilikua hazinawekwa??
 
Hizo ndizo siasa za Chama Cha mapinduzi sasa. Ndiyo maana nchi iko hapa ilipo.
 
Kama Kuweka kamera za usalama barabarani ni petty issue mbona zilikua hazinawekwa??
Kama Camera za barabarani kwako ni jambo kubwa linalohitaji promo basi nalionea huruma tumbo lililokuzaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…