Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

wishes and riding horses isn't it
every leader must be responsible and accountable for their doings within the govt. whether is wrong or right πŸ’

Otherwise,
they may step aside or must change on what they are supposed not to do πŸ’
 
Na kuna genge limeajiriwa na kumwagwa Jf, ni wengi kama ndege wa kwelea kwelea ili ma great thinkers tuhangaike nalo.
Ni kumsifia Rais kwa sifa za kushangaza, mpaka Jf imekosa hadhi kabisa.
Haya uliyoyaandika ni kweli kabisa ndugu Sakasaka Mao .
Juzi nilikuwa naangalia Malumbano ya Hoja ITV, kijana mmoja akajitambulisha kama "chawa" katika "chawa wa mama mitandaoni".
Nimeamini kuwa wapo wengi na wanalipwa kwa kazi hiyo.

Napenda niandike jambo moja.
Ni mlemavu wa akili na asiyekuwa na uwezo wowote ndiye anayeweza kuajiri watu wa kumsifia, kumtetea,kumpigania na kumsemea kazi/mazuri yake.
 
Exactly
 
Kwa nyuzi hiz humu jf basi tutegemee mabadiliko madogo ya uongozi kwenye mawaziri na wakuu wa mikoa
 
Na hii ni kansa ambayo sasaivi ina mature kila siku.

Watu hawapewi nafasi kwa sababu ya merit ila kujipendekeza, kujuana na kufitiana.

We are dead!
Natamani sana kama hapa JF kungeanzishwa jukwaa la kuwezesha wale wote wenye uwezo wa uongozi lakini wanakumbana na changamoto zinazowafanya wabaki nnje ya mfumo wa uongozi.

Naamini Moderator na Maxence Melo pamoja na Chige wataunga mkono.
 
Kweli kabisa. Nami naunga mkono hoja yako.

Tatizo linakuja kwa wafanya maamuzi wa nchi hii (Wanasiasa) hawa ndo wanaipeleka hii nchi shimoni kila siku.
 
Kwa nyuzi hiz humu jf basi tutegemee mabadiliko madogo ya uongozi kwenye mawaziri na wakuu wa mikoa
Mabadiliko sawa ila yafanyike kwa kuzingatia merit sio majungu, fitna , chuki na uchonganishi.

Wenye akili wanapodai Katiba mpya wameona kabisa hii nchi siku si nyingi itakuwa shimoni maana watu wa hovyo na wasiostahili ndo wanapewa nafasi ya kuiongoza.
 
Aliomba km 20 za Barabarani 🀣🀣

Hata hivyo sio sahihi kumponda Makonda Kwa sababu Viongozi wote wa Tanzania hakuna ambae Huwa anaonesha uwezo.

Ukijifanya unaonesha uwezo Watanzania wanakuchukia labda kama huwajui Watanzania wewe.
 
Tunatakiwa kutoka huko ili tupate maendeleo ya kweli. Ndo mana hii nchi kila kitu kinafanywa bora liende.

Hayo masihara ya kuchukulia kimasihara masuala ya nchi ndo yanafanya baadhi ya nchi sasa ni kama zimeshafeli.

Lazima tutenganishe ujinga na masuala ya nchi. Wenye uwezo na akili ndo wapewe uongozi katika nchi wajenge mifumo na kuifanya nchi ikue kweli kiuchumi
 
Ana shida gani ya kujipendekeza ilihali pesa ya kuishi anayo? Mi naona waTanzania hua mko na shida ya kichwa tu,nchi hii kiongozi akiwa mpole na megevu mnasema nchi/mkoa hauna kabisa kiongozi,mambo yanajiendea tu yenyewe,ameshindwa kufanya kadha wa kadha,na akipatikana kiongozi mpiga kazi anaitwa dikteta na mtu wa kujipendekeza

Wakati wa Kikwete watu waliongea idhaifu mwingi,ambao alikuja kuutekeleza JPM kwa kauli hizi hizi za waTanzania hawa kua nchi ilipofika inataka Rais dikteta n asiye muonea mtu haya,kwa ushauri ul ule wa wananchi na wnasiasa pinzani,MUNGU akamuibua JPM akafanya kama ambavyo watu walitaka,vilwazo alivyo nyanyuliwa mpaka leo yuko Kaburini lakini watu waovu wanongea tu kuitulana maiti

Sioni ajabu kwa Makonda kwa sababu naamini anatekeleza kazi zake na ni mtu jasili anayejua kazi aliyopewa anapaswa kuisimamia kwa namna gani bila kuelekezwa.
 
Una elimu gani?
 
Ukiona bata juu ya kiota ujue kawekwa. Makonda si mropokaji ndo alipewa ile kazi aseme. Makonda ni kipaza sauti tu ila sauti imetoka kwenye shina
 
Polno sana wenye watoto kizazi hiki

Ova
 
Ntake radhi bana ohooo

Kwanza nashukuru Kwa kumpeleka mwanangu wa kwanza huko masomoni Hungary

Ova
umefanya jambo la maana sana kumpeleka kijana masomoni, sehemu ambayo maadili, mila na desturia ya kuheshimiana ni ya kuwango cha juu sana

na mwisho, lakini sio kwa umuhimu,
kumbradhi sana, kwa mimi kughafilika dhidi yako bila kujua
 
Watoto wana bahati ya kuwa na mdingi baharia

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…