MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Samaleko..
Binafsi nampongeza P Diddy Kwa alichowafanyia Hawa Vijana Wapenda Kitonga akiwemo Mjomba Nchumali na Wenzake, Kongole sana kwake.
Nilienda Vacation Zanzibar ila nilichoona kinafanyika kule Mashambani ni ufirauni mtupu, wanaume wanajiuza Kwa Rangi Nyeupe kuliko hata wadada, So Sad.!! Vijana wanaolelewa na mishangazi ni Wengi sana.
Kama wewe ni mwanaume tambua ya kwamba hakuna kitu cha bure hapa Duniani, lazima upambanie kombe ipasavyo.
Haijalishi unapitia kipindi gani kwenye maisha, umedondoka kiasi gani au mara ngapi unafosi michongo inafeli, usikate tamaa Man ni suala la muda juhudi zako zitazaa Matunda, usichoke kuPAMBANA.!!
Hao watu unaowaona wamefanikiwa pengine ni rika lako au Wengine unawazidi age ila wanakuzidi kimafanikio wasikutoe relini, Kila kitu ni Process, Jipambanishe wewe mwenyewe na hakikisha Jana yako haifanani na Leo baada ya MUDA Kila kitu kitakuwa vile unataka.
Wanaume tuliandikiwa kula Kwa jasho ila usitumie jasho jingi kutafuta hela zama hizi, TUMIA AKILI. Ukitumia akili Yako Vizuri huwezi kuwaza kuuza utu wako kumake pesa.
Mwanaume ni Tunu, Imagine unaiaibisha Familia Yako Kwa sababu ya Tamaa zako za Kifala na ni kijana una nguvu za kuweza kutafuta izo hela, Acha Shortcut.
No Free Lunch Man.!!