Alichokifanya P Diddy iwe Funzo Kwa Vijana Wengine Wapenda Kitonga

Alichokifanya P Diddy iwe Funzo Kwa Vijana Wengine Wapenda Kitonga

Hili neno vijana linawahusu vijana wote wa kike na wa kiume,ingawa kwa wanawake inaonekana kama wao ni sawa tu kufanyiwa huo ufidhuli,huko ulaya wako pia ma celebrities wa kike ambao wameingia huo mtego na leo hii wanaonekana wana mafanikio sana...
 
Samaleko..

Binafsi nampongeza P Diddy Kwa alichowafanyia Hawa Vijana Wapenda Kitonga akiwemo Mjomba Nchumali na Wenzake, Kongole sana kwake.

Nilienda Vacation Zanzibar ila nilichoona kinafanyika kule Mashambani ni ufirauni mtupu, wanaume wanajiuza Kwa Rangi Nyeupe kuliko hata wadada, So Sad.!! Vijana wanaolelewa na mishangazi ni Wengi sana.

Kama wewe ni mwanaume tambua ya kwamba hakuna kitu cha bure hapa Duniani, lazima upambanie kombe ipasavyo.

Haijalishi unapitia kipindi gani kwenye maisha, umedondoka kiasi gani au mara ngapi unafosi michongo inafeli, usikate tamaa Man ni suala la muda juhudi zako zitazaa Matunda, usichoke kuPAMBANA.!!

Hao watu unaowaona wamefanikiwa pengine ni rika lako au Wengine unawazidi age ila wanakuzidi kimafanikio wasikutoe relini, Kila kitu ni Process, Jipambanishe wewe mwenyewe na hakikisha Jana yako haifanani na Leo baada ya MUDA Kila kitu kitakuwa vile unataka.

Wanaume tuliandikiwa kula Kwa jasho ila usitumie jasho jingi kutafuta hela zama hizi, TUMIA AKILI. Ukitumia akili Yako Vizuri huwezi kuwaza kuuza utu wako kumake pesa.

Mwanaume ni Tunu, Imagine unaiaibisha Familia Yako Kwa sababu ya Tamaa zako za Kifala na ni kijana una nguvu za kuweza kutafuta izo hela, Acha Shortcut.

No Free Lunch Man.!!
inauma sana!!!!'''m2 mzima na ndevu zako unapelekewa moto kweye makalio,kisa pesa?????'''kwani ukibeba zege,au ukawa machinga ata ukipata buku 5 ya halali kuna tatizo gani??????........m2 unapuliziwa pumzi ya moto makalioni???...nahumu najua wamo na wanasoma hichi nilichoandika,,,,,,,,"unapelekewa fire mpaka MNDUKU unaota sugu bhana.yaani mpaka mnduku unalalamika kwa nini umeota kwenye mwili wako?"
 
Maasai OG wa monduli hawez toa mafla aisee labda wakwavi wa hapo chalinze mpakani na morogoro
Mkuu nenda Zanzibar ukajionee mwenyewe ndiyo utajua Wamasai wa Chalinze au Wamasai wa Msomera, Yani Wamasai wanatia huruma ukiwakuta Beach za Zanzibar wamesimama mbele za Wanzungu, Cha ajabu hawana biashara wanayoifanya zaidi ya Mwili wao.
 
Kuna true story moja nilisikia nilivofika uko, Kuna mmasai mmoja alikua na ushkaji na mzungu Sasa akaambiwa atafute shoga wa kulala na mzungu usiku mzima akaambiwa poa. Alivoshuka ngazi akajifikiria akaamua kumrudia mzungu kuulizia day akaambiwa 500usd, akatoka akafika getini tena akarudi akamuuliza mzungu "si unaingisa tu kichwa unatoa?" Mzungu akamwambia Ndio, mmasai akamwambia Mimi naweza,

To cut the long story short, alipelekewa moto mpaka akakata moto.
Imetokea sehemu gani hii ?
 
Mkuu nenda Zanzibar ukajionee mwenyewe ndiyo utajua Wamasai wa Chalinze au Wamasai wa Msomera, Yani Wamasai wanatia huruma ukiwakuta Beach za Zanzibar wamesimama mbele za Wanzungu, Cha ajabu hawana biashara wanayoifanya zaidi ya Mwili wao.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe usingempanulia? Wengi wa aina yako mnaojifanya wagumu wajua maadili ndio hua mnaachia kirahisi sana.
 
Samaleko..

Binafsi nampongeza P Diddy Kwa alichowafanyia Hawa Vijana Wapenda Kitonga akiwemo Mjomba Nchumali na Wenzake, Kongole sana kwake.

Nilienda Vacation Zanzibar ila nilichoona kinafanyika kule Mashambani ni ufirauni mtupu, wanaume wanajiuza Kwa Rangi Nyeupe kuliko hata wadada, So Sad.!! Vijana wanaolelewa na mishangazi ni Wengi sana.

Kama wewe ni mwanaume tambua ya kwamba hakuna kitu cha bure hapa Duniani, lazima upambanie kombe ipasavyo.

Haijalishi unapitia kipindi gani kwenye maisha, umedondoka kiasi gani au mara ngapi unafosi michongo inafeli, usikate tamaa Man ni suala la muda juhudi zako zitazaa Matunda, usichoke kuPAMBANA.!!

Hao watu unaowaona wamefanikiwa pengine ni rika lako au Wengine unawazidi age ila wanakuzidi kimafanikio wasikutoe relini, Kila kitu ni Process, Jipambanishe wewe mwenyewe na hakikisha Jana yako haifanani na Leo baada ya MUDA Kila kitu kitakuwa vile unataka.

Wanaume tuliandikiwa kula Kwa jasho ila usitumie jasho jingi kutafuta hela zama hizi, TUMIA AKILI. Ukitumia akili Yako Vizuri huwezi kuwaza kuuza utu wako kumake pesa.

Mwanaume ni Tunu, Imagine unaiaibisha Familia Yako Kwa sababu ya Tamaa zako za Kifala na ni kijana una nguvu za kuweza kutafuta izo hela, Acha Shortcut.

No Free Lunch Man.!!
Wanaume wakipewa crown na iPhone 16 wanabandulika
V8jana wengi sinza na makumbusho wanaliwaaa sana
Tamaa tamaaa hawataki kufanya kazi ngumu kutoka jàsho

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukifika Arusha mitaa ya Clocktower utakuta vijana wamefuga rasta wanatembea mji mzima wakiwa wamebeba kimfuko kina ndizi mbivu.. yaani full utumwa. Zamani ilikuwa vijana wanachangamkia fursa za kupelekea moto vibibi vya kizungu na kutimkia USA na Ulaya ila siku hizi wao wanapelekewa moto na kuolewa.
 
Samaleko..

Binafsi nampongeza P Diddy Kwa alichowafanyia Hawa Vijana Wapenda Kitonga akiwemo Mjomba Nchumali na Wenzake, Kongole sana kwake.

Nilienda Vacation Zanzibar ila nilichoona kinafanyika kule Mashambani ni ufirauni mtupu, wanaume wanajiuza Kwa Rangi Nyeupe kuliko hata wadada, So Sad.!! Vijana wanaolelewa na mishangazi ni Wengi sana.

Kama wewe ni mwanaume tambua ya kwamba hakuna kitu cha bure hapa Duniani, lazima upambanie kombe ipasavyo.

Haijalishi unapitia kipindi gani kwenye maisha, umedondoka kiasi gani au mara ngapi unafosi michongo inafeli, usikate tamaa Man ni suala la muda juhudi zako zitazaa Matunda, usichoke kuPAMBANA.!!

Hao watu unaowaona wamefanikiwa pengine ni rika lako au Wengine unawazidi age ila wanakuzidi kimafanikio wasikutoe relini, Kila kitu ni Process, Jipambanishe wewe mwenyewe na hakikisha Jana yako haifanani na Leo baada ya MUDA Kila kitu kitakuwa vile unataka.

Wanaume tuliandikiwa kula Kwa jasho ila usitumie jasho jingi kutafuta hela zama hizi, TUMIA AKILI. Ukitumia akili Yako Vizuri huwezi kuwaza kuuza utu wako kumake pesa.

Mwanaume ni Tunu, Imagine unaiaibisha Familia Yako Kwa sababu ya Tamaa zako za Kifala na ni kijana una nguvu za kuweza kutafuta izo hela, Acha Shortcut.

No Free Lunch Man.!!
Mtu unaweza ukajiona unaandika kitu cha maana kumbe unaandika ufala tu. P didy alichofanya ni makosa, na hata wanaomfikia ni wapambanaji. Hivi kumgikia didy ni kitonga??? Unafikiri ni rahisi hivyo???

Watu wowote waliofanikiwa kimaisha kuna moments lazima mtu atafute networking na connection ni jambo la kawaida. Si kosa wala sio kuoends kitonga kuonana na huyo didy.

Pointi ni kwamba mpaka kumfikia huyo didy tayari mtu kapambana
 
Yani Wamasai wanatia huruma ukiwakuta Beach za Zanzibar wamesimama mbele za Wanzungu
Nafikiri umeamua kupotosha umma, ungeuliza ni sababu ipi inayowafanya wakae na kusimama mbele beach.

Unafikiri beach za hapa Zanzibar unajiendea halafu unakaa mbele na kutaka kuongea na mzungu?? Kuna utaratibu maalumu lazima uufuate.

Kama umeamua kutafuta kipato chako na kunufaika kwa kupitia ufukwe wa bahari (beach) kwa hapa Zanzibar wana taratibu zao. Namaanisha wafanyabiashara wadogo, beach boys na beach girls.

Hawa beach boys na beach girls malengo ya makuu ni kutafuta wanawake wa kizungu (beach boys) pamoja na wanaume wa kizungu (beach girls).

Kwa uzoefu wangu, wote beach boys na beach girls wanawapenda zaidi vibibi na vibabu vya kizungu na siyo vijana! Sababu?? Hawa wana hela kuliko vijana na akikukubali umetoboa!

Vijana karibu wote wakiwemo wamasai wametoboa kupitia vibabu na vibibi vya kizungu! Wengi wao wamepata maendeleo makubwa kupitia hawa! Hawa vijana wa kizungu ni just for fun na kubuy time!

Mchakato ni huu:

1) Usajili: Beach zote kubwa kama vile Nungwi, Paje, Kiwengwa n.k huwezi kufanya ubeach boy au ubeach girl lazima ujisajili kwanza! Mfano beach boy wa Nungwi hawezi kufanya kazi kwenye beach ya Paje! Je, itakuwa kutoka bara??

2) Ada: Hapa kila beach ina utaratibu wake na kiwango cha kulipa kwa kila mhusika!

3) Utambulisho: Hapa ni lazima ujulikane wewe ni nani na makazi yako, zamani walikuwa na vitambulisho ingawaje sivioni na wanasema wote wanajuana na huo ndiyo ukweli!

4) Ulinzi: Hapa kuna kamati yao ya ulinzi wakishirikiana na serikali, walionywa tukio lolote baya lilikimkuta mtalii kwenye beach yoyote siyo nje ya beach basi watawajibika!

Utaratibu wa kufanya kazi:

Kwa uzoefu wangu , mara nyingi huwa ni wiki kwa wiki, yani group moja wikii hii na group lingine ni wiki inayofuata.

Kukaa, kusimama na kuchuchumaa mbele ya hoteli au vila, hapa huchorwa mstari kama mpaka mara nyingi na wamiliki wa hoteli ili kuondoa usumbufu kwa wageni wao!

Mara nyingi hasa wakati wa mchana na jioni ndiyo nafasi ya kuonana na mgeni hupatikana coz ndiyo muda wa kuoga na kutembea ufukweni !

Mazingira ya kazi:

Kama kazi yoyote ile , hii nayo kazi haikosi changamoto mfano kusimama, kuchuchumaa na kukaa kwa muda mrefu halafu unasubiria mtu asiye kufahamu mbaya zaidi hakujui! Kujito akili ndiyo mpango mzima!

Kuoneana wivu, wamasai wamefanikwa kuwateka watalii wengi hasa kupitia mavazi yao ingawaje umbeya na unafiki umewasaidia! Kivipi??

Kama umefanikwa kutembelea huko umasaini hawa jamaa wana ubaguzi mkubwa kwa watu wa makabila mengine wenyewe huwaita waswahili! Ubaguzi ni tabia na mara nyingi anayebaguliwa ndiye anayeumia!

Sasa kinachofanyika ni hivi: Mfano umempata mgeni umekubaliana naye kuwa jioni utaenda sehemu fulani kupata chakula na kinywaji kwa gharama nafuu bia moja ni dola 5, kuku dola 10 (mtu mmoja) hizi labda mko wawili maana yake ni dola 30!

Beach boys hucheza deal na wenye migahawa na mabaa huku juu siyo ufukweni, dola 30 inakaribia laki wakati bia moja ni 3500 kuku ni 7000 maana yake 40000 haishi kwa watu wawili!

Mzungu atalipa ile dola 30 na kusindikizwa na beach boy kisha atarudi kwenye bar atachukua chake! Wamasai wakakisanua!

Akiona mzungu amemalizana na mswahili humfuata baadaye na kumuambia ya ukweli! Mfano gharama zote ni dola 15! Mzungu ataacha kukupenda??Ule ugomvi kipindi kile kuwa wamasai waondoke sababu kuu ni hii maslahi!

Nb: Ushoga ni tabia ya mtu mwenyewe na kwa kutaka mwenyewe na hulazimishwi! Kosa la mtu mmoja lisihesabike kama ni la jamii nzima!

Samahani kwa gazeti nimezungumzia kwa uzoefu wangu!
 
Hili neno vijana linawahusu vijana wote wa kike na wa kiume,ingawa kwa wanawake inaonekana kama wao ni sawa tu kufanyiwa huo ufidhuli,huko ulaya wako pia ma celebrities wa kike ambao wameingia huo mtego na leo hii wanaonekana wana mafanikio sana...
Kwa mwanamke sio mbaya sana wao walianza kitambo hata kwenye vitabu vya dini vimeandika ila Kwa Mwanaume hapana.!!
 
Maasai OG wa monduli hawez toa mafla aisee labda wakwavi wa hapo chalinze mpakani na morogoro
Wamasai nlowakuta Zenjibar wamelegea sana, wamejichora tattoos ovyoovyoo
 
Back
Top Bottom