Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

Sasa suala la elimu watasoma kwao sasa! Huo ndo utamu! Sijui wana vyuo gani huko kwao! Na serikali yao itagaramia wa zanzibar kwenye elimu!

Necta A level shule zao ndio 10 bora za mwisho teh teh teh
 
Hivi ni Jussa huyuhuyu ambaye ndio aliweka contacts zake katika mtandao wa waliberali( km contact person na chama)?

Aje tujibu maswali kuhsu uliberali wake.
 
View attachment 96311

Mamlaka ambayo tayari Zanzibar itakuwa imeyarejesha kwa kuondolewa kwenye Muungano kupitia Rasimu ilotangazwa leo ni:

1. Polisi.

2. Mikopo na Biashara ya Nchi za Nje.

3. Kodi ya Mapato.

4. Bandari, mambo yanayohusika na usafiri wa anga, posta na simu.

5. Mabenki ya Kibiashara na Fedha za Kigeni.

6. Leseni ya viwanda na takwimu.

7. Elimu ya Juu.

8. Maliasili ya mafuta na gesi asilia.

9. Baraza la Taifa la Mitihani.

10. Usafiri na usafirishaji wa anga.

11. Utafiti.

12. Utabiri wa Hali ya Hewa.

13. Takwimu.

14. Mahkama ya Rufani.

15. Ushirikiano wa Kimataifa.


KAZI ILIYOBAKI KWA WAZANZIBARI ILI KUTIMIZA MAMLAKA KAMILI

Ni kutumia hatua zilizobakia kuyarejesha pia mamlaka katika mambo muhimu yafuatayo:

1. Mambo ya Nje.

2. Uraia na Uhamiaji.

3. Sarafu na Benki Kuu.

4. Ushuru wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa.

5. Usajili wa Vyama vya Siasa.

Hata hivyo tunawapa pole ndugu zetu wa damu wa upande wa pili kwa kukosa jina la serikali yao mpya!

TANBIHI:
Wananchi na hasa Vijana wa Zanzibar tumefikia hatua ya kurejesha mamlaka katika mambo hayo 15 kutokana na umoja wetu na kutumia njia za amani huku tukiwa na msimamo usiyoyumba. Tuendelee kuwa pamoja, tukitumia njia za amani kabisa kukamilisha mamlaka kamili tunayoyataka.

Naiona ileeeee.........





 
Jusa ni mwehu flani tu, anajidanganya na kuwadanganya waznz, hana uzalendo wwte, anadhani kuvunja muungano ndio cuf kuingia madarakani??? Znz ina uchumi gani wa kujiendesha

kwani bara ina uchumi gani wa kujiendesha? kutwa kiguu na njia mkipita mkiomba nchini mwa watu, mara leo china kesho uae kesho italy uturuki. mara mkataba huu na ule mugawe aedhi zenu. eti watajiendeshaje hemu waachieni muone. bdo mumewangangania
usiwe unafikiria kw makal. io
 
Njia mmeshaonyeshwa kilichobaki ni kuwatakia safari njema.
Mlisha kuwa kero kubwa ndani ya muungano.
 
Zumari limeliya Zanzibar bara wamenuna. We are walking away from hili kero muungano tall and proud.

Bro hakuna mbara aliyeumia kwa zanzibar kuwa huru. Msijikweze na kujifanya ni muhimu sana. Nendeni kwa amani mmekuwa mzigo kwetu kwa muda mrefu sana. Nenda zanzibar tupumzike na tufanye mambo mengne.
 
Jina lipo! Kwani Tanzania bara si jina? Halafu wewe ni kijana kweli? Kama ni kijana utakuwa umezaliwa ndani ya Muungano
Mbona unafurahia kuudhofisha Muumgano? Ungesema wewe ni Mzee nisingeshangaa!
 
Jina lipo! Kwani Tanzania bara si jina? Halafu wewe ni kijana kweli? Kama ni kijana utakuwa umezaliwa ndani ya Muungano
Mbona unafurahia kuudhofisha Muumgano? Ungesema wewe ni Mzee nisingeshangaa!

Kuwa na mamlaka kamili ni kuudhofisha ukoloni mweusi.
 
Tanganyika bila ya zanzibar inawezekana.
 
Jusa angeangalia mbele zaidi angegundua kuwa hakuna zanzibar bila muungano bali kutakuwa na nchi ya unguja na pemba, km hicho ndio mnachotaka basi endeleeni kuipigania mamlaka kamili ya zanziba, kwan mpaka sasa kuna watu wanataka muungano wa serikali 4 yaani pemba, unguja,tanganyika na muungano
 
Si nilisikia hichi kisiwa kinazidi kuwa kidogo kutokkana na mabadiliko ya tabia nchi pia na ongezeko la watu,sasa wskijitenga itakuwaje au ndio mambo ya uraia wa nchi mbili? poa lkn wacha waende tu tutakuwa twaenda zanzibar kwenye ZIFF na SAUTI ZA BUSARA.
 
Wazanzibari wamechoka kupindukia na Muungano kuliko wenzao wa Tanganyika. Hii ni hatua muhimu sana kwao lakini hakuna anayejua kuwa ndio njia pekee itakayoisaidia zanzibar kukuza amani na uchumi.

Jaji warioba alisema katika uzinduzi wa rasmu kwamba kuna wazanzibari walitaka kuwe na serikali 4 ( Muungano, Tanganyika, Unguja na Jamhuri ya Pemba). Hii inaashiria kwamba mwisho wa kujitenga sio huu.

Kumwacha mke wa kwanza hakuwezi kuhalalisha amani katika ndoa ya mke wa pili. Hakuna anayejua kwamba mwarobaini wa amani ya zanzibari ni Kuwarudishia wapemba na waunguja mambo ya Muungano mengi au yote
 
Zanzibar tutasimama kwenye hoja hadi tufike pale tutakapo . Mungu ibariki Zanzibar
nchi kadogo tunalisumbua bonge la nchi .
Tembo lazima atamtapika chura alie mmeza

nawachukia sana sana.lakini ambacho mnasahau kwenye hayo matakwa yenu ni bandiko la kuwahamasisha wapemba watuachie Tanganyika yetu.tutakuja kuwachoma moto waambieni kabisa.yaani hatuwataki hata kwa uraia wa kuazima wakafie mbali huko.nyie subirini muungano uvunjike ndio mtaona kuwa sisi ni mazezeta kama mnavyodhani au tuna akili zetu timamu.
 
Sasa suala la elimu watasoma kwao sasa! Huo ndo utamu! Sijui wana vyuo gani huko kwao! Na serikali yao itagaramia wa zanzibar kwenye elimu!

Kwani hapo Tanganyika muna elimu gani muliyonayo labda degree za wizi ndio utaalamu wenu
 
Mtakipata mnachokitafuta

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tanganyika bila ya zanzibar inawezekana.
Honestly!
Tanganyika bila ya Zanzibar haiwezekani, kama nimemuelewa sawasawa Warioba basi hakutakuwa na serikali ya Tanganyika bali ya Tanzania bara! hivyo Zanzibar bado ipo katika ndoto zao wala hailekei kuwa watarudi tena katika jina la Tanganyika.

Bila ya shaka itakuwa ni kikundi cha watu fulani waliokula kiapo cha kutolirudia tena jina la Tanganyika na ndio sasa wanaowakokota Wataanzania wote!
 
Back
Top Bottom