Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

Nadhani hawa Wazenj wanafurahia hata kisichostahili kufurahia.Sina uhakika muundo wa Serikali ya Muungano utakuwaje lakini kama Tanganyika itakuwa na Rais wake ni wazi kabisa Rais wa Muungano atakuwa anaelea tu hapo juu kwa maana ya kwamba hatakuwa na nguvu na ushawishi wa kutosha toka sehemu zote mbili.Na kama Jussa hatakuwa makini basi ategemee Serikali ya Jamhuri watu wa Pemba.
Hii ni lazima.........ukitaka kujua jamaa wako tofauti we kosea muite muunguja (mzanzibar) mpemba utaona reaction yake......Jamaa ni maji na moto.....
 
Nadhani znzb inaelekea kupolomoka na kuwa kijiji nawapa miaka 5 utasikia bora kuishi tz kwenye maziwa na asali

Nawaonea huruma sana Wazanzibari. Laiti wangepata upeo wa kuona shida iliyoko mbele yao hawgeshabikiaa hili.i nimeishi Zanzibar kwa miaka 15 nmefanya mafunzo ya ya JKU kwa mujibu wa sheria JKU Kama. Hivyo naijua ZNZ ningekuwa na mahali pa kuishauri ZNZ ningewashauri hiki kipengele mkipinge. Hamna rasilmali za kuendesha nchi. Ona mlivyo jaa Tanganyika, je hii rasimu ikipita halafu katiba ya kuongoza Tanganyika wakaja na hoja Wazanzibari walioko bara wote warudi kwao au waishi kama raia wa kigeni???? Naomba oneni mbali zaidi ndugu zangu, muendako sio kuzuri, epukeni ushabiki wa kisiasa, wenzenu wanafikiria waarabu watawasaidia. Nahata wakiwasaidia ni kwa muda gani??? Kila la heri.
 
aina za uraia zinasemaje mkuu.........

1. kuna uraia wa asili: huu ni kwa wale ambao waliishi Tanzania kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. awe mmakonde, mhaya, mzaramo, mhindi, mwarabu, mpemba........... 2. uraia wa kuzaliwa: huu ni kwa wale ambao wamezaliwa baada ya muungano. idadi kubwa ya watanzania wamo katika kundi hili. wapemba unao waona huku bara ni watanzania halali hata muungano ukivunjika watabaki kuwa raia wa huku bara. 3. uraia wa kununua: huu ni uraia ambao hutolewa na waziri wa mambo ya ndani kwa wageni wanaoomba uraia. miongoni mwa masharti ni kwamba mgeni awe ameishi kihalali (kwa visa) hapa tz kwa kipindi kisichopungua miaka 10. ktk kipindi hicho asijihusishe na uhalifu wa aina yoyote. 4. uraia wa ndoa: mwanaume mtanzania akimuoa mwanamke kutoka nchi ya kigeni, humtambulisha kwa kumsajili na serikali humpa yule mwanamke uraia wa Tanzania. NOTE: kwa watoto ambao wazazi wao ni watanzania lkn wao wamezaliwa ktk nchi ya kigeni, huwa raia wa Tanzania IWAPO kama wazazi wao hawajaukana uraia wa Tanzania, au hao watoto hawajasajiliwa kuwa raia wa nchi waliko zaliwa.
 
Angalau nimesoma hoja ya maana toka kwako for the first time! Ni kweli Juha anawadanganya.

inaelekea bw jusa, unaemuita juha, humuelewi vizuri. hujawahi bahatika kukaa ukamsikiliza hoja zake. kwa taarifa yako, hapa nchini kwetu Tanzania, jusa ni miongoni mwa watanzania 10 ambao wana uwezo mkubwa wa kujenga hoja. ana kipaji cha ajabu sana! mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni. kama nchi mfano wa comoros, burundi, Rwanda etc zina uchumi mzuri licha kuwa ndogo kiardhi, hata znz wanaweza kujiendesha wenyewe wakijitenga. kumbuka kuwa wana bahari na mafuta. utalii wa znz uko juu sana. wana urafiki na ukaribu na nchi za kiarabu. sidhani kama znz itashindwa kujiendesha yenyewe.
 
Wa tatupunguzia garama za bunge, sasa wakalipwe kule kwao...makamu wa Rais basi... Nadhani tunawapotezea mbali..
 
Kuwepo au kutokuwepo kwa serikali za Znz na Tanganyika haina maana kama tatizo la msingi la jamii hii yetu halitashughulikiwa nalo ni viongozi wabovu na dhaifu.kama serikali ya muungano ingewaridhisha raia wake ktk mambo ya msingi ya maisha mie nadhani hata huu muungano watu wasingeuzungumzia kabisa.wangejiona wamoja na wangeacha mambo yaendelee hivyo hivyo.kwa hiyo watanganyika na wazanzibari wasitegemee "urojo wa asali" kwa kubadili "mchoro wa ramani!"jamii zao zimebeba tatizo la kuzalisha viongozi wabovu wanaoshindwa kutetea maslahi ya watu wao na kuwaletea maendeleo na ktk kufilisika sera huko wamejikuta wakiwatwisha mzigo mwingine raia wao,mzigo wa "ukoloni mamboleo" kutokana na kushindwa kwenda pamoja na nchi nyingine ktk globalisation na kuishia kuwa exploited .wabongo na wazenj bado kazi kubwa!nina wasiwasi mtakapoona bado hamjapata maziwa na asali mtaendelea kuibomoa nchi zaidi badala ya kutuliza akili na kumtambua adui sahihi wa maendeleo yenu.
 
dawa ni kuwa na MUUNGANO WA JAMHURI ZA TANZANIA (UNITED REPUBLIC S OF TANZANIIA). kuwe na rais znz mwenye madaraka kamili ya nchi yake na huku bara tuwe na rais wa Tanganyika mwenye madaraka kamili ya nchi yake. kusiwe na rais wa Tanzania bali kuwe na muungano wa nchi mbili. muungano huo ndiyo uitwe MUUNGANO WA JAMHURI ZA TANZANIA. tuwe na mambo ya muungano yanayo tuunganisha. tushirikiane ktk mambo hayo tu. basi. znz iwepo na Tanganyika iwepo. serikali tatu zitatuvuruga. turekebishe muundo wa hizi serikali 2 zilizopo hivi sasa.
 
Bado huyu kuwadi wa uliberali anakubalika Zenj?Au ndio kusema wazenj wameamua u-rasmisha uliberali kwa dhati.Tunajua uliberali zenj ni issue ya uani inayopaswa ongewelea vijiweni tuu na si kwa wageni.
 
Cha muhimu tuachane na hili nyororo la serikali mbili za CCM.
 
Mkuu umesema vyema! Naona umewasahau Wapemba wa Magomeni na Kigamboni!
Sasa kwa msururu huo, kuna muungano hapo? Mambo mengine haya ni vichekesho, kwani huu muungano wa nini hasa? Mi naona unatujazia Wapemba Buguruni, bora uvunjike warudi kwao wakakazane kwenye mikarafuu
 
inaelekea bw jusa, unaemuita juha, humuelewi vizuri. hujawahi bahatika kukaa ukamsikiliza hoja zake. kwa taarifa yako, hapa nchini kwetu Tanzania, jusa ni miongoni mwa watanzania 10 ambao wana uwezo mkubwa wa kujenga hoja. ana kipaji cha ajabu sana! mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni. kama nchi mfano wa comoros, burundi, Rwanda etc zina uchumi mzuri licha kuwa ndogo kiardhi, hata znz wanaweza kujiendesha wenyewe wakijitenga. kumbuka kuwa wana bahari na mafuta. utalii wa znz uko juu sana. wana urafiki na ukaribu na nchi za kiarabu. sidhani kama znz itashindwa kujiendesha yenyewe.

Mkuu umetumia darubini kali,heko.
 
Sisi hatuwataki wapemba na Uliberali wao!
1. kuna uraia wa asili: huu ni kwa wale ambao waliishi Tanzania kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. awe mmakonde, mhaya, mzaramo, mhindi, mwarabu, mpemba........... 2. uraia wa kuzaliwa: huu ni kwa wale ambao wamezaliwa baada ya muungano. idadi kubwa ya watanzania wamo katika kundi hili. wapemba unao waona huku bara ni watanzania halali hata muungano ukivunjika watabaki kuwa raia wa huku bara. 3. uraia wa kununua: huu ni uraia ambao hutolewa na waziri wa mambo ya ndani kwa wageni wanaoomba uraia. miongoni mwa masharti ni kwamba mgeni awe ameishi kihalali (kwa visa) hapa tz kwa kipindi kisichopungua miaka 10. ktk kipindi hicho asijihusishe na uhalifu wa aina yoyote. 4. uraia wa ndoa: mwanaume mtanzania akimuoa mwanamke kutoka nchi ya kigeni, humtambulisha kwa kumsajili na serikali humpa yule mwanamke uraia wa Tanzania. NOTE: kwa watoto ambao wazazi wao ni watanzania lkn wao wamezaliwa ktk nchi ya kigeni, huwa raia wa Tanzania IWAPO kama wazazi wao hawajaukana uraia wa Tanzania, au hao watoto hawajasajiliwa kuwa raia wa nchi waliko zaliwa.
 
zanzibar mmesahau upemba na uunguja? je, mtaendelea kwa jeuri gani. serikali itaweza kuhudumia gharama hizi zilizoongezeka? kwa pato gani, pato la zanzibar not more than bilioni mia tano kwa mwaka. then compere na gharama za uendeshaji zilizo ogezekae(polisi, elimu ya juu, takwimu, n.k).Kumbuka mnategemea sector ya huduma tu hasa mahoteli na watalii wengi walio kuwa wanaingia zanzibar sio wa direct to znzr ni wale waliokuwa wanakuja mbuga za wanyama na kutazama mlima kilimanjaro ndo walikuwa wanamalizia zanzibar then wanakwea pipa. zingatia pia, kwa dizaini hii ukivunjika huu muungano ujue wakija means wanakuja kwenye nchi mbili, so gharama zitaongezeka kwao na kuathiri soko la utarii zanz ambalo ndo linachangia kwenye pato la taifa kwa kiasi kikubwa. Ila kubwa zaidi kwani nyie wazanzibari hamjui yanayo endelea huku zanji, kunakampeni za kuwafukuza wapemba unguja? na ambazo zinashamili sana kila iitwapo leo. u wil spend a lot of time kupambana nyie wenyewe kuliko kujenga nchi.......binafsi siwalaani., bt zanzibar endapo muungano ukivunjika mtatikisika sana na kurecover itawachukuwa mda na msipo angalia you 're going to die. Mnafurahia mauti yenu, sio mbaya lakini
 
Sayohusika na usafiri wa anga, posta na simu.

5. Mabenki ya Kibiashara na Fedha za Kigeni.

6. Leseni ya viwanda na takwimu.

7. Elimu ya Juu.

8. Maliasili ya mafuta na gesi asilia.

9. Baraza la Taifa la Mitihani.

10. Usafiri na usafirishaji wa anga.

11. Utafiti.

12. Utabiri wa Hali ya Hewa.

...

RWANDA na BURUNDI wenyewe wantegemea Tanzania itakuwa ZNZ.
 
1. kuna uraia wa asili: huu ni kwa wale ambao waliishi Tanzania kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. awe mmakonde, mhaya, mzaramo, mhindi, mwarabu, mpemba........... 2. uraia wa kuzaliwa: huu ni kwa wale ambao wamezaliwa baada ya muungano. idadi kubwa ya watanzania wamo katika kundi hili. wapemba unao waona huku bara ni watanzania halali hata muungano ukivunjika watabaki kuwa raia wa huku bara. 3. uraia wa kununua: huu ni uraia ambao hutolewa na waziri wa mambo ya ndani kwa wageni wanaoomba uraia. miongoni mwa masharti ni kwamba mgeni awe ameishi kihalali (kwa visa) hapa tz kwa kipindi kisichopungua miaka 10. ktk kipindi hicho asijihusishe na uhalifu wa aina yoyote. 4. uraia wa ndoa: mwanaume mtanzania akimuoa mwanamke kutoka nchi ya kigeni, humtambulisha kwa kumsajili na serikali humpa yule mwanamke uraia wa Tanzania. NOTE: kwa watoto ambao wazazi wao ni watanzania lkn wao wamezaliwa ktk nchi ya kigeni, huwa raia wa Tanzania IWAPO kama wazazi wao hawajaukana uraia wa Tanzania, au hao watoto hawajasajiliwa kuwa raia wa nchi waliko zaliwa.
kumbuka hapo itakuwa ni uraia wa Tanganyika vs Zanzibar.........kuzaliwa Tanzania haikupi haki ya kuwa Mtanzania moja kwa moja.......wakina Bashe wasingeomba uraia wa TANZANIA
 
Bora muondoke tu. Manake mna kelele sana. Na mtajuta. Manake mpaka sass tunawalipia kila kitu. Jussa ungefanya cost benefit analysis ndo ungejua watu wanachokwambia.
 
zanzibar mmesahau upemba na uunguja? Je, mtaendelea kwa jeuri gani. Serikali itaweza kuhudumia gharama hizi zilizoongezeka? Kwa pato gani, pato la zanzibar not more than bilioni mia tano kwa mwaka. Then compere na gharama za uendeshaji zilizo ogezekae(polisi, elimu ya juu, takwimu, n.k).kumbuka mnategemea sector ya huduma tu hasa mahoteli na watalii wengi walio kuwa wanaingia zanzibar sio wa direct to znzr ni wale waliokuwa wanakuja mbuga za wanyama na kutazama mlima kilimanjaro ndo walikuwa wanamalizia zanzibar then wanakwea pipa. Zingatia pia, kwa dizaini hii ukivunjika huu muungano ujue wakija means wanakuja kwenye nchi mbili, so gharama zitaongezeka kwao na kuathiri soko la utarii zanz ambalo ndo linachangia kwenye pato la taifa kwa kiasi kikubwa. Ila kubwa zaidi kwani nyie wazanzibari hamjui yanayo endelea huku zanji, kunakampeni za kuwafukuza wapemba unguja? Na ambazo zinashamili sana kila iitwapo leo. U wil spend a lot of time kupambana nyie wenyewe kuliko kujenga nchi.......binafsi siwalaani., bt zanzibar endapo muungano ukivunjika mtatikisika sana na kurecover itawachukuwa mda na msipo angalia you 're going to die. Mnafurahia mauti yenu, sio mbaya lakini
waachieni nchi yao waende au Watanganyika tunafaidika na muuungano sanaaa kuliko wao....wataishi tu kama comoro, burundi na shelisheli wanaishi mpaka leo wao watashindwaje.....watajua wenyewe jinsi ya kuishi....Watanganyika tunaongea maneno mengi haya maneno hata wakoloni weupe walikuwa wanaambia wapigania uhuru....
 
bora muondoke tu. Manake mna kelele sana. Na mtajuta. Manake mpaka sass tunawalipia kila kitu. Jussa ungefanya cost benefit analysis ndo ungejua watu wanachokwambia.
waacheni watajua wenyewe maneno ya kikoloni haya na mnawapa kichwa cha bure kabisa
 
Back
Top Bottom