Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo ni maamuzi yetu wazanzibari si maamuzi ya jusa wala nini. Binafsi napenda uhuru wa znz.
Pato jipya linakuja wakijitenga tu Wazenji wote watakuwa Raia wa kigeni watalipia viza vibali vya kuishi na kufanya kazi bara Pia Umeme na chakula watalipia kwa bei stahili huwa wanajidanganya Kuwa kujitenga watakuwa matajiri Kama Dubai lakini wamesahau bara ni nchi Tajiri na imejaa Madini,Gesi,na Rasirimali kibao zimejaa na Bara bila zenji inawezekanaInaonekana wenzetu wa CUF wana dhamira ya kuvunja muungano kwa sababu wanazozijua wenyewe.Awali walisema wanataka serikali tatu.Suala la serikali tatu limekubaliwa kwenye rasimu ya katiba mpya; sasa wanataka mamlaka katika kila kitu (maana yake wanataka kujitenga).
Wewe unaposema unataka mamlaka kamili kwenye;
1. Mambo ya Nje.
2. Uraia na Uhamiaji.
3. Sarafu na Benki Kuu.
4. Ushuru wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa.
5. Usajili wa Vyama vya Siasa.
unakusudia nini zaidi ya kusema unataka kujitenga? je ikiwa mambo yao yote wanayotaka yatolewe kwenye muungano yatakubaliwa ; basi watueleze ni nini kitabaki kwenye muungano.
Hata hivyo watu wa bara tumewabembeleza sana hawa watu lakini kadiri tunavyowabembeleza ndivyo wanavyotutunishia misuli.Sasa mimi nadhani kama vipi let them go! Hata hivyo mimi naona kama kwenye muungano ni kama tunawa accomodate wazanzbar kama ndugu zetu tu lakini zaidi ya hapo hakuna la zaidi.Sasa huu utaratibu haupendezi kwa kweli.
cc Mzee Mwanakijiji
..naiona unguja na pemba zikianza kujitenga taratiiibu,mark my words...go go zanzibar. Go in one piece. Hivi unakazana kumwelimisha jusa unadhani atakuelewa. Wakati mtu anachumbia ukimwambia lo lote kuhusu mchumba hakuelesi ni mpaka amweke ndani ndo unasikia, lo, laiti ningewasikiliza ndugu zangu. Unakuwa umechelewa. Let zenj go. Go,go zanzibar, go in peace and in one piece.
Sent from my blackberry 9860 using jamiiforums
Zumari limeliya Zanzibar bara wamenuna. We are walking away from hili kero muungano tall and proud.
Zanzibar tutasimama kwenye hoja hadi tufike pale tutakapo . Mungu ibariki Zanzibar
nchi kadogo tunalisumbua bonge la nchi .
Tembo lazima atamtapika chura alie mmeza
...kwa mara ya kwamza nakuunga mkono. kumbe - akili mnazo bali huwa mnaamua tu kujitoa ufahamu kutetea uozo?Waache wafurahie msiba
kwani bara ina uchumi gani wa kujiendesha? kutwa kiguu na njia mkipita mkiomba nchini mwa watu, mara leo china kesho uae kesho italy uturuki. mara mkataba huu na ule mugawe aedhi zenu. eti watajiendeshaje hemu waachieni muone. bdo mumewangangania
usiwe unafikiria kw makal. io
Mkuu, hoja za kuwa na mamlaka kamili haziwezi kutetewa na majina ya zamani na sasa.Honestly!
Tanganyika bila ya Zanzibar haiwezekani, kama nimemuelewa sawasawa Warioba basi hakutakuwa na serikali ya Tanganyika bali ya Tanzania bara! hivyo Zanzibar bado ipo katika ndoto zao wala hailekei kuwa watarudi tena katika jina la Tanganyika.
Bila ya shaka itakuwa ni kikundi cha watu fulani waliokula kiapo cha kutolirudia tena jina la Tanganyika na ndio sasa wanaowakokota Wataanzania wote!
naona nikupe elimu ya uraia ya bure. tukiona wapemba huku bara, tunawachukulia kama wageni. hiyo siyo sahihi. wapemba ni moja ya kabila za Tanzania bara. wazazi wao walikuja kabla ya muungano. walio wengi wamezaliwa huku bara. hata kule znz hawaruhusiwi kupiga kura. wanahesabiwa ni wabara japo asili yao ni visiwani. kwa wale waliyo na ndoto kuwa muungano ukivunjika itabidi wapemba wote warudi znz wanaota ndoto ya mchana. watabaki huku bara na biashara zao pamoja na majumba yao yakiwemo maghorofa. achana na fikra mgando za kizamani. soma vizuri aina za uraia za hapa TZSasa kwa msururu huo, kuna muungano hapo? Mambo mengine haya ni vichekesho, kwani huu muungano wa nini hasa? Mi naona unatujazia Wapemba Buguruni, bora uvunjike warudi kwao wakakazane kwenye mikarafuu
kiswahili kina raha yake.........jamhuri ya Zanzibar sio tusi.........lakini Jamhuri ya TANGANYIKA utata mtupu.....Sasa kwa msururu huo, kuna muungano hapo? Mambo mengine haya ni vichekesho, kwani huu muungano wa nini hasa? Mi naona unatujazia Wapemba Buguruni, bora uvunjike warudi kwao wakakazane kwenye mikarafuu
aina za uraia zinasemaje mkuu.........naona nikupe elimu ya uraia ya bure. tukiona wapemba huku bara, tunawachukulia kama wageni. hiyo siyo sahihi. wapemba ni moja ya kabila za Tanzania bara. wazazi wao walikuja kabla ya muungano. walio wengi wamezaliwa huku bara. hata kule znz hawaruhusiwi kupiga kura. wanahesabiwa ni wabara japo asili yao ni visiwani. kwa wale waliyo na ndoto kuwa muungano ukivunjika itabidi wapemba wote warudi znz wanaota ndoto ya mchana. watabaki huku bara na biashara zao pamoja na majumba yao yakiwemo maghorofa. achana na fikra mgando za kizamani. soma vizuri aina za uraia za hapa TZ
Jusa ni mwehu flani tu, anajidanganya na kuwadanganya waznz, hana uzalendo wwte, anadhani kuvunja muungano ndio cuf kuingia madarakani??? Znz ina uchumi gani wa kujiendesha