Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Sasa suala la elimu watasoma kwao sasa! Huo ndo utamu! Sijui wana vyuo gani huko kwao! Na serikali yao itagaramia wa zanzibar kwenye elimu!
Jusa ni mwehu flani tu, anajidanganya na kuwadanganya waznz, hana uzalendo wwte, anadhani kuvunja muungano ndio cuf kuingia madarakani??? Znz ina uchumi gani wa kujiendesha
Nashindwa kuelewa faida tunayoipata kutokana na hii ndoa.
Mke mwenyewe kwanza hazai
Zumari limeliya Zanzibar bara wamenuna. We are walking away from hili kero muungano tall and proud.
Jina lipo! Kwani Tanzania bara si jina? Halafu wewe ni kijana kweli? Kama ni kijana utakuwa umezaliwa ndani ya Muungano
Mbona unafurahia kuudhofisha Muumgano? Ungesema wewe ni Mzee nisingeshangaa!
Zanzibar tutasimama kwenye hoja hadi tufike pale tutakapo . Mungu ibariki Zanzibar
nchi kadogo tunalisumbua bonge la nchi .
Tembo lazima atamtapika chura alie mmeza
Sasa suala la elimu watasoma kwao sasa! Huo ndo utamu! Sijui wana vyuo gani huko kwao! Na serikali yao itagaramia wa zanzibar kwenye elimu!
Tanganyika bila ya zanzibar inawezekana.
Honestly!Tanganyika bila ya zanzibar inawezekana.