Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

Tatizo la hawa WANGUNYA ni kutotaka kusema UKWELI.

Semeni kwa SAUTI MMOJA kwamba HAMUTAKI MUUNGANO full stop. Hii ya kuzunguka mbuyu haitawasaidia.

Sasa mkitoa hayo mambo 4 yakabaki mambo 3 tu ya MUUNGANO utakuwa tena huo ni MUUNGANO?!

tafuta CD na DVD za UAMSHO utajua tu.
 

Tanganyika haijakuwa kuwa na Kiti kwenye UN........,Tanzania ndio yenye kiti UN lakini hicho kitu ni cha Zanzibar,nenda katafute info tena ndani ya Google,au unataka nikuwekee video nyengine, Kama Tanganyika ilikuwa mwanachama tangu 1961 lakini hawana sehemu yao ya kuweka mabalozi wao kwenye ukumbi sasa waliokuwa wanaiwakilisha Tanganyika walikuwa wanasimama au wanakaa chini 😉
 

weye haswa unawakilisha aina ya watu wa tanganyika.
 
Mkiyapata hayo mambo manne wazenji mjiandae kwenda kuishi Zenji!

kwani tatizo liko wapi? Kinachotukimbiza kwetu hivi sasa ni njaa tu lkn sio kwamba twapenda pia hivo kuishi na watu ambao wanaua albino na vizee kwa kutokuelimika.
 
JUSA hayo mambo yaliyobakia ndo muhimu na ndio mambo ya kuifanya Zanzibar iwe nchi sasa ukijaribu kusema tumepiga hatua sijuwi unamaanisha nini, cha msingi ni kushajiisha wazanzibar kama Rasimu itaendelea kubaki kama ilivyosomwa bila ya hayo 7 kuondolewa kwenye muungano lazima Wazanzibar kwenye kura ya Maoni wa waweke alama ya NO. musitake kutuletea mambo yenu ya kileberali., saivi kuna watu wapo jela wanateswa tuanataka wakirudi wakute Zanzibar ina mamlaka yake kamili.
 
Ni kweli kabisa, yani sisi watanganyika ni watu wa ajabu sana, muungano ulitupelekea hadi nchi yetu tanganyika tukaitelekeza.

Leo hii tutaelekea tena kujitwisha zigo lingine la serikali ya shirikisho/muungano just ili tuishikilie na znz. Au ni kwa vile CCM mnapatia KURA huko???Hivi tatizo litakuwa wap hasa kama tukitemena nao??? Mbona watu wenyewe tungaong'ang'ana kuungana nao ni kama hawapo interested na huo muungano???

Ni kwa faida ipi au ni kwa faida ya nani sisi watanganyika tunang'ang'ana na huo muungano?? Mimi nadhan ifike mahali tuamue tu kama mbwah mbwah bwana! tuachane nao tufanya maisha yetu.
 
poor,very poor insight and analysis.. Whatever the criterium you are using is so insignificant,incoherent, judgemental.. I wonder if you have passed through university,college or madrasa... Help me to know those six magnificient university to accommodate those scholar of yours?? Mkuu this kind of comparison is very poor ..dont be proud of it
 
chabuso,

..tukirudi kwenye suala la UN. wewe siyo Mzanzibari wa kwanza kudai kwamba Tanganyika haikupata kuwa mwanachama wa UN. where did you get that information from?? nchi yoyote ile inapopata uhuru wake basi haichukui muda kuandikishwa uanachama UN.

..mimi nina swali moja kwako. je, unamfahamu Balozi wa Zanzibar UN baada ya mapinduzi na kabla ya muungano?? mabalozi wa Tanganyika kipindi hicho walikuwa ni Chief Mang'enya[Jan 1963 - June 1964] na John Malecela [Nov 1964 - March 1968]. Sasa kumbuka kwamba TANZANIA[tgk + znz] uanachama wake UN ulianza Nov 1, 1964.

..zaidi, kwanini mnazungumzia uanachama wa UN tu? kwanini hamzungumzii uanachama wa Tanganyika na Zanzibar ktk OAU?? kwa uelewa wangu by 1964, Tanganyika ilikuwa ina nafasi na heshima kubwa sana ktk OAU. kama sijakosea tayari tulishapewa dhamana ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya ukombozi wa kusini mwa Afrika ya OAU. sasa ndiyo maana wakati mwingine nashangazwa kidogo na madai ya baadhi ya wa-Zanzibar kwamba kabla ya muungano, Tanganyika ilikuwa haijulikani pahali popote.

..jambo lingine umeligusia kuhusu Jamshid kukimbilia Uingereza badala ya Oman. sina uhakika, lakini inawezekana sababu kubwa ni kwamba mwaka 1964, Oman ilikuwa choka mbaya. nadhani hazina ya mafuta iligunduliwa miaka ya 70.

cc: Nguruvi3, GHIBUU, Barubaru, Nonda
 
Last edited by a moderator:

Bofya link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...;-sema-ndiyo-serikali-moja-3.html#post6510457
 

Tembelea Link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...;-sema-ndiyo-serikali-moja-3.html#post6510457
 
ingia kwenye google utapata data zote,search for Zanzibar before Union wakati zanzibar ina kiti UN,Tanganyika haijulikani

Chabuso naomba usinipe kazi ya kufanya. Wewe unatakiwa ukokotoe hizo data halafu uziliete ukumbini ili tuziunge mkono au tuzipinge. ninachojua mimi ni kuwa hakuna hizo data. Kama zipo basi zilete.
 


Kwa kweli sikumbuki nani alitunga ile mitihani. Inawezekana kabisa ilitungwa na Wiazara ya Elimui au Taasisi ya Elimu Tanzania. Ila tukitaka jibu tutalipata lakini ili litusaidie nini?
 
Hivi hizo ni university au madrasat?

NOTE:
Zanzibar kuna ILIMU na sio ELIMU.

kwa nini mwaprnda kuingiza udini,katika kila ,masuala,acha udini.Hata elimu ya madrasa ni elimu pia,utaonekana mjinga mbele za waolemeka kwa kutofahamu maana ya elimu.
 
Alikimbilia UK kwa shemegi zake,yupo dada ake alitoroshwa na muingereza,na akaolewa na huyo muingereza mpaka hivi sasa ana watoto na wajukuu.
 
Hapo ndio ujuwe kama uhuru ulikuwa wa bandia kwa sababu haiwezekani,nchi iwe huru na sultan awe madarakani.
 

Huu ni muswiba mkubwa sana kwako lakin si kosa lako tatizo la kusoma skuli za st st zile za kule sunday school.

Kumbuka unapopima kiwango cha Ilmu cha nchi na hata kusema Tanzania ni ya mwisho katika East Africa ni kwa kigezo cha kuangalia namba of Graduates wanaomaliza per year ukilinganisha na idadi ya watu wake. NA SIO NAMBA ZA BAR ZILIZOPO MTAANI.

Pole sana
 
Huu muungano unapaswa kuwa wa kiulinzi tu. Hayo mambo mengine yote piga chini.

Tanganyika ndio itakuwa kama ndio mwanzo inapata uhuru. Maana itawalazimu kwenda kujitambulisha kimataifa kwamba mnaitwa watanganyika na sio watanzania!
Si ukweli,soma upate elimu,uelewe,acha maneno ya vijiweni.
 
Mkishapata mamlaka mnayotaka,ngojeni sasa kina Jusa,seif,Hasanal muanze kubaguliwa,huyu ni mhindi,huyu ni muarabu,huyu ni mshihiri,hapo ndio mtajuwa umuhimu wa muungano,mtaanza kufukuzana wenyewe kwa wenyewe.
 

Mkirua , Birigita.

Jamani uchumi ni fani na sio bla bla.

Siku zote ukiwaona watu wazima kabisa wanakubali bila kulazimishwa KUTEMA ASALI NA KUTAMANI PILIPILI. Usiwabeza wameona mbali hao waachwe tu.

Sasa Nyie mmejipanga vipi na Katiba yenu? Je tume yenu ile ile ambayo Mzee Mtei alisema wamejaa wadini wengi.

Poleni sana
 
Hao ni vibaraka,hakuna uhuru wakati sltani bado anatawala,mpaka mapinduzi mtawala alikuwa ni sultani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…