Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

Pole sana...

Muwe na makoromea ya kuhifadhi mambo pasipo kuyatangaza, mambo kama haya...

Kama ni demu unakausha na kwa men unakausha pia maisha yanandelea...


Cc: mahondaw
 
Naweza sema ulijikosesha bahati mwenyewe mvumilivu hula mbivu baba. Mwanamke anahitaji nafasi ili afanye tendo sisi wanaume tunahitaji sehemu tuuu, tunamaliza mchezo. Hasira hasara ungevumilia ungekuwa mpaka sasa unajimegea tu! Mara zote mie huwa simba mwenda pole! Hapo hata bidada keshajua wewe si mvumilivu hata maisha ya kawaida utaleta shida. Wenzenu enzi za mwalimu tunatongoza mwaka. Unakuja likizo toka shule unakuta jirani yenu kuna demu mkali unatongoza mwezi mzima wa likizo hakieleweki unarudi shule. Mwezi wa sita likizo ukirudi tu unae tena hapa mnaanza kuelewana mnakaa napiga story kwa kuiba msikamatwe na wazazi, likizo inaisha. Mwezi wa kumi na mbili tena Christmas mzee inatafutwa chance unakula mzigo. Sasa wewe mzee masaa tu tena umeambiwa ukapumzike unakasirika? Duh
 
Hahahaa ulitaka mlale mpige hata story tu?! Kitanda kimoja!? Aiseee ww hufikirii hata unachoandika.. Kwahyo Km zote hizo ulienda ili upige story usiku
 
Hebu nitumie namba yake nimpake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu,kuna mawili na yote yanaweza kuwa majibu,inaweza kuwa hakuvutiwa na wewe au alikufanyia hivyo ili kujionyesha kutokuwa cheap;mwenyeji wako alikuwa na nafasi kubwa sana ya kulal na wewe bila se.x ila kugusana hapa na pale ili kumfariji mgeni wake na kufikia mshindo, hii inategemea na utundu na ukomavu wa mwenyeji.Inawezekana ukalazimisha mahusiano baadaye yakakutesa huko mbeleni.Ushauri,usiruhusu hisia kufanya maamuzi magumu angalia unataka upate mtu wa namna gani.
 
Anasema tatizo we hata hukujiongeza yani kila kitu ulikua unataka free mandela, hujawahi hata kutuma ya vocha ni kweli hayo?
ha ha ha ha unajua uanaume ni majukumu,alitakiwa apige mkwara mfano;'sitaki uishi sehemu za shidashida hizi,itabidi wiki ijayo nikupangishie nyumba nzuri bhana nataka nikiwa nakuja nilale sehemu nzuri nzuri',au 'itabidi wiki ijayo uje sehemu fulani ni kufungulie duka la nguo bhana n.k'nadhani angetumia njia za namna hiyo,angepewa staili zote na angeogeshwa na mdalasini.
 
Duuh jf ina mambo..mi nakushauri Uanze upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…