Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah...huyo ni mtu mmoja anawavuta tu muingie kingi
Ila kupiga story raha sana.Hasa kwa mtu ulie na chemistry naye.Hahahaa ulitaka mlale mpige hata story tu?! Kitanda kimoja!? Aiseee ww hufikirii hata unachoandika.. Kwahyo Km zote hizo ulienda ili upige story usiku
Asante mkuu barikiwaKUNALANCE-KUBALANCE
Sent using Damu ya Yesu
Hebu nitumie namba yake nimpake!Miezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila mara...baby umekula,unafanya nini,njoo tulale...nakadhalika na kadhalika
Baadaye nikamwambia naomba nije kukusalimia......bi dada akakubali,basi nikafungasha safari km 800 kumsalimia...siyo siri alinipokea kwa furaha pale stend hadi kuni-hug.....nikasuzika moyo nikafikiria leo nitaenjoy....
Ilipofika muda wa jioni.....nikadhani nitalala na bi dada anitoe uchovu loh!
Mambo yakabadilika,bi dada akasimama na msimamo kuwa siku ya kwanza asingelala na mimi,niende kulala mwenyewe lodge au aniachie chumba chake nilale.....siyo siri nilichoka akili,nikajiuliza nitawezaje kulala mwenyewe na huku tukiwa tunachart na bi dada huwa tunachart mpaka morning glory, iweje leo anikatae tusilale pamoja?......siyo siri niliona bora nikalale kusikojulikana
Bi dada nimeuona uzi wako ukidai kwa nini sikuvumilia....lakini sikuweza kuvumilia kwa sababu kabla ya kuja kwako ulikubali kuwa tungelala kitanda kimoja hata kama tusinge-du siku hiyo...pia nilihitaji tupige stori usiku ule ningewezaje kulala mwenyewe bi dada???
Wanawake muwe na huruma....angalia safari aliyotembea kukufuata...muda wake,wanawake wangapi amewaacha kwa kila mita 100 ni zaidi ya 300, pesa alizotumia halafu anafika kwako unamchenjia siyo vizuri,siyo siri usiku ule sikulala,nilikaa stendi mpaka asubuhi nikiwaza dunia inachonitendea
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama ni dume halafu unaandika neno "buana" basi kuna shida mahala fulaniHa haaa kumbe ni wewe? Pole buana!
Hahahahaahahaha nakuona nakuonaaa. Ulivyo mbele mbele. Nkija nakuletea Ubuntu wa kwa babu issaHahaaa bidada cutelove umejibiwa huku
Zote hizo??? Si ngoma itasoma 500k mwisho wa siku??Mi nadhani mlikuwa bado hamjakubaliana vizuri, jifunze kuwa papuchi haifuatwi bali inatumiwa nauli + ya kula njiani + ya nguo kujiweka sawa + ya emergency.
ha ha ha ha unajua uanaume ni majukumu,alitakiwa apige mkwara mfano;'sitaki uishi sehemu za shidashida hizi,itabidi wiki ijayo nikupangishie nyumba nzuri bhana nataka nikiwa nakuja nilale sehemu nzuri nzuri',au 'itabidi wiki ijayo uje sehemu fulani ni kufungulie duka la nguo bhana n.k'nadhani angetumia njia za namna hiyo,angepewa staili zote na angeogeshwa na mdalasini.Anasema tatizo we hata hukujiongeza yani kila kitu ulikua unataka free mandela, hujawahi hata kutuma ya vocha ni kweli hayo?
ha ha ha h we ungefanyaje?Hahahaa ulitaka mlale mpige hata story tu?! Kitanda kimoja!? Aiseee ww hufikirii hata unachoandika.. Kwahyo Km zote hizo ulienda ili upige story usiku
nimechekaaa hatariAisee, huu uzi macho yangu ya rohoni yanaona dalili ya kutokea SHAMBULIO LA AIBU.
Duuh jf ina mambo..mi nakushauri Uanze upyaMiezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila mara...baby umekula,unafanya nini,njoo tulale...nakadhalika na kadhalika