Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 1,946
- 2,822
Akili mingi kiongozi lakini vipi kuhusu TV?? Ulituma??Yaani kama ulikua kwenye akili yangu. Mimi niliweka gari ya nyumbani mafuta nikaenda sehem kama klm 23 kufata dem. Si mchezo akili yangu ilifanya kazi sana. Kwanza nikamwambia mimi napata muda wa kuja kuanzia saa kumi na moja jioni akasema sawa manake najua nikienda kuna umbali kuanzia ile saa 11 hadi kufika ni mwendo kidogo na muda utakua umesepa sana so itamuwea ngumu kunimbia nirudi.
Kufika akafungua geti nikaingiza gari ndani. Nikaingia ndani tukapiga stori sana ila nikawa najiuza kwanini muda unaenda na hapiki,? Itakuwaje au anajua naondoka? Baadae akaropoka kuna sehem ananipeleka kula samaki mkubwa nikasema yess manake kwenye stori za simu anasikia nikisema napenda samaki wakubwa.
Nikamuuliza kiutani kuwa nitamani anipikie akajibu atanipikia kesho mchana, hapo nikaanza kujipa nafasi ila akawa hataki kunikaribia kabisa kila nikimsogelea kumwonyesha kitu kwenye simu nimtege ananitema.
Akili ikawa inaniuma sana aisee, nikarusha tena mtego kwa kuwa nilikua sitaki kuwa bize na simu usiku ili kuepuka videm vingine visinichek nikamuuliza swali la mtego kuwa niache simu yangu kwenye chaji hapa home au tutabaki huko huko tukienda kula? Akajibu tunarudi kulala hatuwezi kulala huko. Sasa hapo mwanaume nikawa nawaza yale maneno, "TUNARUDI KULALA HATUWEZI KULALA HUKO" nikarudia tena kusema kichwani kwangu TUNA. Maana yake ni wingi yaani mimi na yeye tunarudi na vilevile nikajisemea angekua ananiwekea ngumu angesema ANARUDI sio TUNARUDI. Hapo nikajiwekea nafasi na point kadhaa.
Akili ingine ikaja kuwa naweza kuja kulala kwake asilale na mimi aidha alale chumbani na mimi nilale sebuleni au kinyume chake pia. Kuanzia pale nikawa naangalia udhaifu wa ile nyumba na ni nini anapenda, akawa hana tv na mziki na dem mwenyewe anapenda mziki balaa, nikajiropokea nikirudi kazini keshokutwa nakutumia tv na homethatre akafurahi sana. Kwa kufupisha tuu tulitoka kula na kunywa na tukarudi na nikapiga mzigo ila baada ya kutumia akili nyingi sana manake alikua anagoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
.