Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

Achana nao hawana akili na shukrani wote pamoja na huyo mtoto wao
 
duh!
hawa watakuwa wahaya
 
pole sana walikosa uungwana lakini ungewatumia sms kwamba hujapenda walichofanya
 
Da kidume ulifikiri ungekuwa mwanzo wa kula kimasihara baada ya kupata namba.
 
Kumbuka Kuna watu na viatu
 
Next time watakuja kukosa msaada Kwa upumbavu wao .
 
Unapotenda wema usitarajie kulipwa jema, na kama itatokea hivyo huwa ni bonasi tu.

Na kama itatokea hivo basi amini ya kwamba wamemuachia Mungu kushukuru kwa niaba yao...na shukuru ya Mungu mwenyewe huambatana na thawabu kubwa.
Hapana jamani hata salamu alishindwa kumpa ? Huyo mama hajastarabika kabisa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo ujue mliombwa wengi so hana uhakika ni yupi kamtumia
 
Miye kuna kijana mmoja alikuja omba msaada nimsaidie mahitaji aweze kuhitimu kidato cha nne kwani wazazi wake hali zao si nzuri kwakua nilikuwa jirani yao uhalisia nilimuona, nikamua msaidia dogo sare za shule, mahitaji madogo madogo nikamwambia awe free na kweli akawa free pale anapoitaji mahitaji pesa ya tution na nikawa namsisitiza akomae akaze si anaona hali ya ni mkubwa wake apambane aje msaidia mama dogo alikuwa msikivu sana na alipambana akahitumu kidato cha nne, matokeo yalipotoka akafauru akachaguliwa kujiunga kidato cha tano, mikoani uko napo tukapambana mahitaji nk dogo anaenda akakaza akafauru kidato cha sita napo

Tukapambana tena mtafutia chuo pesa ya application vyuo bosi ya mkopo mpaka pocket money aende chuo kikuu akaenda mungu akamsaidia akapata mkopo, alipopata mkopo ananiambia nikasema sawa soma ila upatapo boom usimsahau mama yako japo elfu hamsini tu, ila endapo utakuwa unakwama tuendelee wasiliana

Nilivyomwambia hivyo dogo akapotea mazima nikawa nambiwa tu kaja likizo kaondoka, sijui nini nasikia tu kwakua nikomsaidia kwa roho safi wala sikujuangaika natafuta wala nini, dogo kasoma kamaliza chuo karudi mtaani nasikia tu yupo ananikwepa tu miye sina mda amekaa mtaani miaka minne bila kazi

Siku moja anakuja na mama yane eti nimsaidie kupata kazi aisee niliwafukuza kama mbwa na matusi kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…