Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wema wake umemponzaje sasa? Kwani aliahidiwa malipo akimfikisha mtoto?Wema wako umekuponza hukutakiwa kukubali huo mzigo
Siku nyingine utatelekezewa mtoto inafika mwisho wa safari hakuna wa kumpokea mtoto unabaki na mzigo
Acha wafu wazikane mama mtoto afate mtoto wake mwenyewe mwanza kama aliweza kumzaa alishindwa Nini kumfate mwanae mwanza ?.....
Jamaa anaona siyo ustaarabu mtu anakuletea mtoto halafu hata salamu yake hutaki siyo vizuri. Hakuna hasara yoyote kapata ila siyo ustaarabu kukataa hata salamu.