Aliens inasemekana kuwasaidia sana jeshi la Marekani katika teknolojia ya silaha

Chombo chao kilianguka Roswell marekani 1940s,jeshi likakuta Kuna miili minne,afisa kipenyo aliyefika mwanzo eneo la tukio wakamtumbisha dish,miaka ya 70 dish likakaa sawa akasema kila kitu,Askari mwingine wa kiingereza aliyepewa kazi ya kulinda miili alisema akirekidiwa video kwamba tukio la Roswell ni kweli,hapo alikua mgonjwa kitandani na uhakika kua haponi,hivyo vyombo vyao Vimeonekana nchi nyingi tu ikiwemo Iran na nchi moja ya latin,ambako huko marubani wa f14 walitaka kupambana nao,electronics za f 16/14 zikajam
 
Na wewe unawatangazia watu umeanzisha uzi about aliens?🤣🤣🤣🤣 Fanyeni kazi vijana msikae iddle.
 
Mambo ya kufikirika unatak kuyaleta katk dunia yetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
That's just bs bro...

Conspiracy theories tu hizo... hakuna uhalisia wowote ule.
 
Kama hao viumbe ndio wanamfundisha mmareekani basi viumbe hivyo ni class 7D hizo silaha zenyewe mrusi anazichezea huko kama gololi na ni advanced kuliko hizo za hao aliens[emoji848]
 
UKIKUA KIDOGO UTAKUJA KUUKANA UZI WAKO.

HAKUNA KITU KAMA HICHO DUNIANI
 
Wapi umezungumzia huo msaada wanaotoa kwa jeshi LA marekani?
 
Aliens ni viumbe vya kufikirika tu. Uwezo wa kufikiri wa binadamu ni mkubwa kiasi kwamba anaweza kufikiria Hadi vitu ambavyo havipo. Mfano idea kama uwepo wa dragons, mermaids, zombies, vampires, leprechauns, elves n.k hazina tofauti na idea ya uwepo wa Aliens
Hakuna uthibitisho wa kisayansi unaothibitisha uwepo wa hao viumbe. Siku kukiwa na uthibitisho then tutaamini kuwa hivi viumbe vipo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…