Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,527
- 6,306
huko kijijini watu wanajua hata msafara ni kitu gani? mnatumia nguvu nyingi kujisafisha lakini kimsingi busara ilitakiwa kutumika akamatwe apelekwe kunakohusika sasa kumwaga alizeti zake imewasaidia nini? vitu vingine huko bongo ni ushamba tu.Mambo mengine tuache kuteta unakaidije kupisha msafara, unajua madhara ya Ajali inayo weza kutokea hapo? Puuzi kabisa pelekeni polisi huyooo, magari Yako Kasi ya ki hama njia wanakufa wengi refer kipindi kile cha Benjamin mkapa, mambo kama haya si ya kumtetea ujinga tu hawafati Sheria sehemu ya zebra watoto wanavuka wenyewe wanapita tu, wakigonga wanakimbia
Changamoto za bodaboda huwezi zifahamu bro, kama hayajakukuta, Kuna Binti alivunjwa mguu na hawa watu basi bwana tuishie hapo,huko kijijini watu wanajua hata msafara ni kitu gani? mnatumia nguvu nyingi kujisafisha lakini kimsingi busara ilitakiwa kutumika akamatwe apelekwe kunakohusika sasa kumwaga alizeti zake imewasaidia nini? vitu vingine huko bongo ni ushamba tu.
Sheria inasemajePolisi wako sahihi, nawaunga mkono kwenye hilo.
Mbwa takataka Kama ninyi no kuwapiga ignore tuHii taarifa imekaa upande mmoja sana..
Ni tofauti na taarifa ya polisi itakavokuwa.
Ni vile mnawachukia tu ila deep down boda boda ndio kazingua.
Usifate mkumbo..Mbwa takataka Kama ninyi no kuwapiga ignore tu
Acha ku complicate mambo.... MkuuSheria zetu hazijasema mtu akitenda kosa mzigo wake utupwe mtaroni.
Sheria zetu hazisemi mtu akifanya kosa agalegale kwenye tope na vumbi.
Ungefanyiwa wewe hivyo ingekuwa sawa ?
We mpuuzi ,ungekuwa ni wewe umefanyiwa hivyo ungeona sawa au ? Kuna sheria gani ya kupiga na kumwaga vitu mitaroni ? Kwanini hata najibizana Poor brain , poor youAcha ku complicate mambo.... Mkuu
We mpuuzi ,ungekuwa ni wewe umefanyiwa hivyo ungeona sawa auAcha ku complicate mambo.... Mkuu
Ungefanyiwa wewe au mzazi wako ingekuwa sawa ?Acha ku complicate mambo.... Mkuu
Sasa mimi natii sheria..We mpuuzi ,ungekuwa ni wewe umefanyiwa hivyo ungeona sawa au ? Kuna sheria gani ya kupiga na kumwaga vitu mitaroni ? Kwanini hata najibizana Poor brain , poor you
Na kwanini nifanyiwe...?We mpuuzi ,ungekuwa ni wewe umefanyiwa hivyo ungeona sawa au
Inategemea...Ungefanyiwa wewe au mzazi wako ingekuwa sawa ?
Ungekuwa kwenye hiyo situation ingekuwa sawa kwako kufanyiwa alivyofanyiwa huyo kijana ?Sl
Inategemea...
Kusema mpaka wakufanyie ww unakosa gani..?