Alijikuta ameshiriki tendo na familia nzima

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Binti mrembo aliyebahatika kuolewa na kijana mhangaikaji sana. Yule kijana alifikia kufungua mini supermarket. Aliagizs tambua na makopo ya nyanya kutoka Italy, sabuni, na vyombo vya ndani kutoka Uturuki na bidhaa nyingi kutoka chini. Yote haya yalimfanya kijana kuwa busy mno, muda wake wa kukaa nyumbani ulikua mdogo sana.

Kwasababu ya malengo ya biashara, hela nyingi aliizingusha kwenye biashara. Yeye na mke wake walipanga apartment ndani ya gate wakiwa na wapangaji wengine. Land lord alipogundua binti mrembo yupo ndani peke yake muda mwingi alianza kuja na chupa za wine. Wine zilizaa mgegedo, landlord na binti wakaanza kulana kimasihara.

Wambea walimpa habari kijana, kumbuka kuna wale waliokopa vyakula kutoka mini supermarket, walipokosa pesa ya kulipa hata umbea pia! Kijana alikasirika alimpa nauli binti aende kwao.

Binti aliamua kwenda kwa wazazi wa kijana ili wambembeleze kijana wao na yeye ainusuru ndoa yake. Mama mkwe hakua tayari kwa hilo lakini baba alimwambia binti hapa ni kwenu karibu. Binti alianza kumpikia vyakula baba mkwe kabla hata ya mama kuweka chai asubuhi.

Kila alipopata nafasi alimsihi baba aongee na mwanae. Baba alianza kula mzigo. Mwisho binti alianza kutapika. Siku aliyomfuata baba amueleze ujauzito, shemeji wa mwisho alimuona nae aliyasikia aliyomueleza baba.

Shemeji akinwambia akitaka atunze siri basi na yeye aonje sukari iliyomlevya kaka na baba yake.
 
Huu si umalaya uliopitiliza [emoji1] [emoji1787]....kuna wanawake n malaya mpaka wa akili
 
short na inaeleweka good
 
Kilichomgharimu ni
1. Umri mdogo
2. Akili hana
 
Back
Top Bottom