Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

mpaka sasa nilichoambulia ni hilo jina la SASHA hayo mengine ni kina nani
Nisha-Zuhu ddc
Mzee wa miaka ya 70- mzee wa mkoga chalimbwe
Muha- mwepesi zambarau
Kibaigwa-Tembo chawene
Mwingine nani hujamjua??
Na mi nimekusaidia code rahisi mana mpk muda huu mwanasheria wangu kagoma kupokea simu.!! 😹😹😹
 
Kwa muda mrefu naamini britanicca ni Team MG ila kwa post hii nashindwa kumwelewa, je ni team ipi?
SG, au MG au ni sehemu ya DS?
De Levi's anaaandika eti kuhusu DIWANI Athumani ,Kuna wanne ambao hawaripoti kwake kabisa na hawajui walipo!!

Kwangu mimi de Levi's na Britannica = Tumia akili au encyclopedia Britannica!na anazunguka Sana huko majuu,yaani Israel na Russia!hata Mama inawezekana hamjui ni nani huyo!
 
Na ukibahatika kuiona i copy kwanza ili kama ikifutwa utusambazie upendo
 
Gdiwbsidhwkshwowbskwaswabdae
 
Mbona hutaki watuambie kulikoni?
Wewe unataka JF iendelee kuwepo hewani?
Wewe unataka sote tuendelee kuchat humu kwa uhuru?
Wewe unataka Melo awepo uraiani na kulinda identity zetu?

Kama unataka hayo yote, ungana nami kuunga mkono huu uzi wa Kicode ufutwe haraka, maana ukiendelea hivi unaweza kuleta mpasuko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…