Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

Hafu watu wengine muwe mnafikiria kwa upana huo ubongo je! @D.Platnumz ana hela ngapi za kununua Tuzo linganisheni uthamani wa pesa ya TZ na NAIJA.Je Wasafi anauwezo wa kununua Tuzo?Ushindi alopata kwaajili ya kuvote kwa sana.Mboni @KTMA tulitulia tuli kama maji kwenye mtungi.Ye c alisema ndo King uko wapi umalkia wake?
 
Tanzania amini msiamini huko nje Diamond anafanya fitina mbaya sana huyu jamaa, anazuiwa kwa connection zake na pesa uchwara zake anazuia ngoma za kiba zisipigwe huko mtv na soundcity na suala si geni, tuzo nazo ndio usiseme eti Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka ujinga ujinga tu
Hii ina hitaji ushahidi usio tia shaka... Haya maneno hayawezi kuwa ukweli pekee...! Bado ni ngumu kuyanunua haya...!
 
huyu jamaa anaelekea kuchanganyikiwa sasa si bure si alituambia yeye ni mkubwa kuliko tuzo?

Akubali tu kwa sasa mwenzake kamuacha mbali hivi mtu kashinda mpaka mtvema leo akose afrima?

Aache kulalamika afanyekazi zinazoeleweka ajue amokea wapi ili afute makosa kuliko haya mambo anayoamka nayo kilasiku leo kushoto kesho kulia mziki umebadilika ni zaidi ya sura na sauti hivi ndo huwa wanaanzishaga vibifu vya kijinga sasa maneno gani haya?

Nlishasema ajifunze vya kuongea huyu jamaa kusema ni mkubwa zaidi ya tuzo alafu ukikosa unalalamika ni akili za ktoto.

Anawaumiza sana mashabiki ila hajui tu watu wanatumia nguvu kumtetea upuuzi anaolopoka kilasiku alafu anazidisha.

Mwaka unaisha huu collabo na davido bado?na sautisol inatoka lini?nagharamia audio imetoka video mpaka sasa bado mpaka tuichoke chekecha chekecha haikufanya zaidi ya matarajio mwana ilikimbiza vizur sna labda mwaka kesho utakuwa wake kama collabo zote anazoplan zikitoka kweli sio maneno tuu asipobadilika ataendelea kulalamika maana sitegemei mwaka kesho nana itakosa kuwa nominated kama atategemea nacheketua tu ajiangalie nlishasema miezi 6 iliyopita kiba atoe nyimbo kali kabla ya mwezi wa kumi naona tunamaliza mwaka wala nyimbo hatuoni akijichanganya nagharamia nayo video akatoa january itakula kwake.
Pengine Kiba aliandika hayo akiwa katika moja ya hali hizi! Pengine alikuwa na hasira sana au furaha sana....
 
  • Thanks
Reactions: me1
Hafu watu wengine muwe mnafikiria kwa upana huo ubongo je! @D.Platnumz ana hela ngapi za kununua Tuzo linganisheni uthamani wa pesa ya TZ na NAIJA.Je Wasafi anauwezo wa kununua Tuzo?Ushindi alopata kwaajili ya kuvote kwa sana.Mboni @KTMA tulitulia tuli kama maji kwenye mtungi.Ye c alisema ndo King uko wapi umalkia wake?
Bado najiuliza diamond ana sababu gani za kujidanganya? Kwanini sasa alishindwa kununua za KTMA?
 
Nilikuwa sielewi kama huyu jamaa boya hivi, ila mashabiki ndio zaidi..

Kimtego chake alitaka kuzungumziwa, na pale bifu lilipoonekana limefifia kutokana na mambo ya uchaguzi basi afufue kiki iongezeke na kwa hilo ashafanikiwa ila tatizo tu uwezo hana, anaishia kuwapa matatizo ya moyo mashabiki zake..!

Ndio maana hakuna wasanii wanaompa support katika kazi zake, zaidi ya familia yake, na ma ex wa diamond..!

Mtu mwenyewe kwa show tu hapa tanzania anapojiona ni mkali hana uthamani hata chembe wa kusema afananishwe na diamond, hata show zake nne (4) bado hafikii malipo ya show moja ya diamond bado ooooh ninasauti nzuri, basi khadija kopa angekuwa msanii bora Afrika akashindane na wakina beyonce huko maana hata rihanna hamuwezi kopa
 
Si ndo nnakoshangaaga uko,watu wengi wavuvi wa kufikiri @Afrimma nayo inawatoa jasho eehe! TheWorldWideAct mboni hawakusema amenunua tuzo!Ingemanisha kwamba kadada kale kamuindi Mapoyoyo chopra angeshindwa kununua zile tuzo kulinganisha kipato cha Wasafi na waashiriki wengine.
 
Last edited by a moderator:
Tanzania amini msiamini huko nje Diamond anafanya fitina mbaya sana huyu jamaa, anazuiwa kwa connection zake na pesa uchwara zake anazuia ngoma za kiba zisipigwe huko mtv na soundcity na suala si geni, tuzo nazo ndio usiseme eti Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka ujinga ujinga tu

wenzetu nje hawana roho ya kwanini hawawezi kumbania kiba ni bahati haijafika tu .bongo ndo tumezoea akina flani wakikusaisdia ukatoka wanataka miaka yote uwashike p.umbu zao siku ukiamua kujitegemea wanaanza kukushusha kwa mbinu zote. watanzania tuna roho za ajabu ajabu sana.ulishawai jiuliza kwa nini akina chamilion ,juliana, bebe cool ,juakali,colo hawashuki tofauti na bongo ambako wakongwe wamechoka .unaweza ambiwa vanesa ni mkali kuliko jay dee na ikatangazwa hivyo! tz waloshikilia mziki wana roho pure za uafrica eti ukimsaidia mtu basi hawataki hajitawale
 
Kiba bana kwa kulia ye mziki wake si mkubwa kuliko tuzo? Yani alitegemea kweli mshindi wa MTV EMMA amshinde kwenye east Africa? Ye aendelee Tu kufuta vumbi kiti chake Kama hakitakati anaweza sugua Na steel wire,game limebadilika ye aungane tu Na kina TID na Q chief.
 
KIBAKULI POVU JINGIII CHAGU KATI YA TUNZO NA UKUBWA WA mziki wako ili dogo jepesi kusahau mara oh mziki wangu mkubwa kumbe tunzo za mond bin mafia laden zina kunyoosha walah utaumwa presha we dogo
 
Are u stupid or WHAT..!! U are so insane.
Tanzania amini msiamini huko nje Diamond anafanya fitina mbaya sana huyu jamaa, anazuiwa kwa connection zake na pesa uchwara zake anazuia ngoma za kiba zisipigwe huko mtv na soundcity na suala si geni, tuzo nazo ndio usiseme eti Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka ujinga ujinga tu
 
Tanzania amini msiamini huko nje Diamond anafanya fitina mbaya sana huyu jamaa, anazuiwa kwa connection zake na pesa uchwara zake anazuia ngoma za kiba zisipigwe huko mtv na soundcity na suala si geni, tuzo nazo ndio usiseme eti Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka ujinga ujinga tu

hiyo nasema nawe ni nyimbo bora ya mwaka kwa AFRICA nzima au ni kwa EAST AFRICA/Tanzania pekee??

Wametumia vigezo gani kuipa Tuzo ya "nyimbo bora ya mwaka kwa bara nzima la AFRICA?"

Hizo Tuzo Coverage yake ipoji hapa AFRICA?
 
Alafu sitaki kuamini kama Kiba ni hopeless kiasi . Ana video gani au ngoma gani?
Useless.
 
Nilikuwa sielewi kama huyu jamaa boya hivi, ila mashabiki ndio zaidi..

Kimtego chake alitaka kuzungumziwa, na pale bifu lilipoonekana limefifia kutokana na mambo ya uchaguzi basi afufue kiki iongezeke na kwa hilo ashafanikiwa ila tatizo tu uwezo hana, anaishia kuwapa matatizo ya moyo mashabiki zake..!

Ndio maana hakuna wasanii wanaompa support katika kazi zake, zaidi ya familia yake, na ma ex wa diamond..!

Mtu mwenyewe kwa show tu hapa tanzania anapojiona ni mkali hana uthamani hata chembe wa kusema afananishwe na diamond, hata show zake nne (4) bado hafikii malipo ya show moja ya diamond bado ooooh ninasauti nzuri, basi khadija kopa angekuwa msanii bora Afrika akashindane na wakina beyonce huko maana hata rihanna hamuwezi kopa

Diamond, per show analipwa Sh.ngap kwa hapa Bongo ndugu??
 
Tanzania amini msiamini huko nje Diamond anafanya fitina mbaya sana huyu jamaa, anazuiwa kwa connection zake na pesa uchwara zake anazuia ngoma za kiba zisipigwe huko mtv na soundcity na suala si geni, tuzo nazo ndio usiseme eti Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka ujinga ujinga tu

Inaonekana mkuu una habari za jikoni kabsaaaa.....ngoma gani hizo jamaa anazuia zisipigwe Mtv,nagharamia au zipii?
 
  • Thanks
Reactions: me1
Hyo nagharamia imebuma sasa stress zimemultiply...
 
Back
Top Bottom