Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nae Alikiba hatambui ushindi wa Diamond!
Kiba ana shida kubwa sana na leo ndio nimeamini kuwa hufurahishwa sana na sintofahamu baini yake na Diamond!Kiba bana kwa kulia ye mziki wake si mkubwa kuliko tuzo? Yani alitegemea kweli mshindi wa MTV EMMA amshinde kwenye east Africa? Ye aendelee Tu kufuta vumbi kiti chake Kama hakitakati anaweza sugua Na steel wire,game limebadilika ye aungane tu Na kina TID na Q chief.
Ni bora ungekaa kimya ungeonekana una busara. Sema umeshindwa pambano na siyo vita.
Subiri KTMA na tuzo za watu. Huku watakupa kwa sababu wapambe wanadai Diamond wakimpa show ya Mil 8 hataki. Watamkomesha.
Kwa hiyo ameifuta? Hakika amejidhalilisha sana na ameonesha kuwa ana amekurupuka na hili ni tatizo kubwa linalo wakabili wasanii wetu nchini sio yeye tuu...kukimbilia kuandika kwenye mitandao bila kufikiri au kuomba ushauri..!Chezea mashabiki wa King of Afropop, hahahaha amepewa mchambo heavy mpaka kaamua kufuta post hahahaha kukurupuka kubaya sana huwa anasema hata wakimsema yeye hajali ila leo ameonyesha udhaifu yamemuingia vilivyo mambo gani ya kung'ang'ania mbeleko ya bifu?? tena bifu na mtu aliyekuzidi miles za kutosha..!
hiyo nasema nawe ni nyimbo bora ya mwaka kwa AFRICA nzima au ni kwa EAST AFRICA/Tanzania pekee??
Wametumia vigezo gani kuipa Tuzo ya "nyimbo bora ya mwaka kwa bara nzima la AFRICA?"
Hizo Tuzo Coverage yake ipoji hapa AFRICA?
Teh Teh.... Alikiba anatakiwa kusema kinacho msumbua....Hahahahah acha nicheke mana sijaamini macho yangu jamani nahamia kwa Ali kiba sasa ivi diamond atamuua mwenzie kwa presha kila siku hat trick tu khaaaaa acha nikamsapoti kidogo kiba nae apate ahueni NAOMBA KUULIZA KWANI CHIBU ANASTAAFU LINI MZIKI AMWACHIE KIBA AFUKUZANE NA KUVUNJA RECORD ZAKE
ahahahaa tena Harmonize ndio amebeba nyota ya Ally kibaka sasa hivi!!
Aiseee Jokate ina maana kaingilia kati jambo hili?Afu kibaya zaidi, hajamdhihaki diamond tu ila na waandaaji wa Afrima pamoja na wadau wanaosupport Afrima (wasanii wanaoheshimu hizi tuzo kuhudhuria n.k)
Wacha movie iendelee, ila nimependa sana jokate alivyoplay part yake ya kukijibu hiki kijamaa