kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Eeeh Kidoti cjamuelwa anamsema kibakuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh Kidoti cjamuelwa anamsema kibakuli
Chezea mashabiki wa King of Afropop, hahahaha amepewa mchambo heavy mpaka kaamua kufuta post hahahaha kukurupuka kubaya sana huwa anasema hata wakimsema yeye hajali ila leo ameonyesha udhaifu yamemuingia vilivyo mambo gani ya kung'ang'ania mbeleko ya bifu?? tena bifu na mtu aliyekuzidi miles za kutosha..!

hiyo nasema nawe ni nyimbo bora ya mwaka kwa AFRICA nzima au ni kwa EAST AFRICA/Tanzania pekee??
Wametumia vigezo gani kuipa Tuzo ya "nyimbo bora ya mwaka kwa bara nzima la AFRICA?"
Hizo Tuzo Coverage yake ipoji hapa AFRICA?
Yap kamsema kibakuli, pengine ndicho kilichomfanya kibakuli afute post yake.
Afu we mtoto mchokozi sana. Ukipigwa usiniite , king kapanick jamani! Mi sijaamini kama angeweza kuongea yale maneno ya kujitia aibu. Hopeless kabisa.
Hahaha unataka kusema kale kakijana kamemfunika Kiba? noma sana..
Lakini kama kamuumbua vile! Au kamchoka? View attachment 306085
Only in Africa, fedha ni jawabu la mambo yote. Leo hii Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka Africa hahahaha
Jokate na Kiba sasa hivi hawaongei baada ya kugundulika kuwa Kiba alikuwa na yule dada America sasa Jokate kakasirika ndio maana kama anajaribu kuonesha watu hayupo na Kiba kwa sasa...na mashabiki wa Kiba wamemtukana sana...Kuna kitu hakijakaa vizuri
1. Jokate kamfollow Diamond
2. Jokate amepost mara mbili kuupa promo wimbo mpya wa Joh makini lakini hajapost hata maramoja wimbo wa nagharamia
Cha zaidi, yule bidada wa mtoni aliyekuwa anasemekana kuwa ndio anamuwezesha kiba alisema wazi kuwa yupo na kibakuli last week alivyokuwa anashoot video marekani
Mtu ashapewa cha mbavu hapo..!
Kuna kitu hakijakaa vizuri

kwahiyo roho inakuuma au shwaini
Eheheheee!!Yaani utafikiri mchawi yule kijana aliyefeli!Jokate amejua kunikomeshea mtu kiaina!Nasikia Kajala na Wema wamemwagiana soda leo