Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

attachment.php

Eeeh Kidoti cjamuelwa anamsema kibakuli
 
Chezea mashabiki wa King of Afropop, hahahaha amepewa mchambo heavy mpaka kaamua kufuta post hahahaha kukurupuka kubaya sana huwa anasema hata wakimsema yeye hajali ila leo ameonyesha udhaifu yamemuingia vilivyo mambo gani ya kung'ang'ania mbeleko ya bifu?? tena bifu na mtu aliyekuzidi miles za kutosha..!

Au account ilikuwa hacked kama ya dada wema sepetu😂😂
 
Chezea mashabiki wa King of Afropop, hahahaha amepewa mchambo heavy mpaka kaamua kufuta post hahahaha kukurupuka kubaya sana huwa anasema hata wakimsema yeye hajali ila leo ameonyesha udhaifu yamemuingia vilivyo mambo gani ya kung'ang'ania mbeleko ya bifu?? tena bifu na mtu aliyekuzidi miles za kutosha..!

Kwa kichambo kile haki leo anaweza jikuta ICU maaana had nlimuonea huruma kidogo yan leo kaharibu mnooo
 
hiyo nasema nawe ni nyimbo bora ya mwaka kwa AFRICA nzima au ni kwa EAST AFRICA/Tanzania pekee??

Wametumia vigezo gani kuipa Tuzo ya "nyimbo bora ya mwaka kwa bara nzima la AFRICA?"

Hizo Tuzo Coverage yake ipoji hapa AFRICA?

Mkuu sijui unataka vigezo gani? Lakini washindi wa tuzo hizi walipatikana kura zilizopigwa na mashabiki popote walipo duniani kwa njia ya mtandao na simu za mkononi.
 
Afu we mtoto mchokozi sana. Ukipigwa usiniite , king kapanick jamani! Mi sijaamini kama angeweza kuongea yale maneno ya kujitia aibu. Hopeless kabisa.

Eheheheee!!Yaani utafikiri mchawi yule kijana aliyefeli!Jokate amejua kunikomeshea mtu kiaina!Nasikia Kajala na Wema wamemwagiana soda leo
 
Nadhan alikiba anamuwaza sana diamond kuliko kuwaza namna gani ataboresha muziki wake... Ndicho kinachomfelisha
 
Lakini kama kamuumbua vile! Au kamchoka? View attachment 306085

Kuna kitu hakijakaa vizuri

1. Jokate kamfollow Diamond
2. Jokate amepost mara mbili kuupa promo wimbo mpya wa Joh makini lakini hajapost hata maramoja wimbo wa nagharamia

Cha zaidi, yule bidada wa mtoni aliyekuwa anasemekana kuwa ndio anamuwezesha kiba alisema wazi kuwa yupo na kibakuli last week alivyokuwa anashoot video marekani

Mtu ashapewa cha mbavu hapo..!
 
Tehe! tehe! nasoma comments nacheka eti Kiba hatambui matokeo Kama Luwasa watu mna mambo!
 
Nadhan alikiba anamuwaza sana diamond kuliko kuwaza namna gani ataboresha muziki wake... Ndicho kinachomfelisha
hilo ndio tatizo kubwa la Alikiba anapoteza muda kupambana na Diamond!
 
  • Thanks
Reactions: me1
Kuna kitu hakijakaa vizuri

1. Jokate kamfollow Diamond
2. Jokate amepost mara mbili kuupa promo wimbo mpya wa Joh makini lakini hajapost hata maramoja wimbo wa nagharamia

Cha zaidi, yule bidada wa mtoni aliyekuwa anasemekana kuwa ndio anamuwezesha kiba alisema wazi kuwa yupo na kibakuli last week alivyokuwa anashoot video marekani

Mtu ashapewa cha mbavu hapo..!
Jokate na Kiba sasa hivi hawaongei baada ya kugundulika kuwa Kiba alikuwa na yule dada America sasa Jokate kakasirika ndio maana kama anajaribu kuonesha watu hayupo na Kiba kwa sasa...na mashabiki wa Kiba wamemtukana sana...
 
  • Thanks
Reactions: me1
Kuna kitu hakijakaa vizuri

1. Jokate kamfollow Diamond
2. Jokate amepost mara mbili kuupa promo wimbo mpya wa Joh makini lakini hajapost hata maramoja wimbo wa nagharamia

Cha zaidi, yule bidada wa mtoni aliyekuwa anasemekana kuwa ndio anamuwezesha kiba alisema wazi kuwa yupo na kibakuli last week alivyokuwa anashoot video marekani

Mtu ashapewa cha mbavu hapo..!

kwahiyo roho inakuuma au shwaini
 
Eheheheee!!Yaani utafikiri mchawi yule kijana aliyefeli!Jokate amejua kunikomeshea mtu kiaina!Nasikia Kajala na Wema wamemwagiana soda leo

Wapi huko wamemwagiana soda? Jokate yule si alishaga nyooka kitambo? Kwasasa anatusiadia kuwaweka sawa wenzie.
Kiba hana Adabu PERIOD!
Alipumzika (alifulia) kwa kipindi fulani akiuacha mziki ukiwa point A, kuna watu wakausogeza mziki hadi point D, afu ye anajidai kurudi na vikauli vya ajabu eti "kufuta vumbi".
Nafikiri tuwalaumu waliomdanganya kiba kuwa Diamond aling'aa kwasababu yeye hakuwepo, ila Diamond amezidi kuwa prove wrong kuwa yeye ni full package. Hahitaji mtu yeyote kung'aa, alihitaji support ya mashabiki na time tu kuprove yeye ni nani. Time is determinant.
 
Huyo hakielewi kabisa

Kura zake hazijatosha anaona wivu anatafuta mabifu ya kijinga kabisa ili apate kiki baada ya kuona shoo ya jana haijapigiwa debe ma kuiga alivyosema hawezi fanya anafanya jukwaani siku hizi.

Lazima walimtema nahisi alidai viti vingi kama staa mkubwa Afrika sijuo duniani na kwa jina lake lilivuo dogo akapigwa chini.
 
Back
Top Bottom