Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
- Thread starter
- #101
Labda tumshauri aende ICJ au awe ana jitangazia matokeo mapemaHuyo hakielewi kabisa
Kura zake hazijatosha anaona wivu anatafuta mabifu ya kijinga kabisa ili apate kiki baada ya kuona shoo ya jana haijapigiwa debe ma kuiga alivyosema hawezi fanya anafanya jukwaani siku hizi.
Lazima walimtema nahisi alidai viti vingi kama staa mkubwa Afrika sijuo duniani na kwa jina lake lilivuo dogo akapigwa chini.