Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

Huyo hakielewi kabisa

Kura zake hazijatosha anaona wivu anatafuta mabifu ya kijinga kabisa ili apate kiki baada ya kuona shoo ya jana haijapigiwa debe ma kuiga alivyosema hawezi fanya anafanya jukwaani siku hizi.

Lazima walimtema nahisi alidai viti vingi kama staa mkubwa Afrika sijuo duniani na kwa jina lake lilivuo dogo akapigwa chini.
Labda tumshauri aende ICJ au awe ana jitangazia matokeo mapema
 
Au account ilikuwa hacked kama ya dada wema sepetu😂😂
Nasikia ana mpango wa kuitisha waandishi wa habari na kutangaza kutokubali ushindi wa Diamond!
 
  • Thanks
Reactions: me1
Eheheheheeeeee pwilo peterchoka njoeni mumsikie jamaa yenu hukuuuu!!!maaaanineeeerrrrr alivyoshinda tuzo sita peke yake alihonga ili wenzie wasipate?!

naona ulikuwa unavumilia lakini umeshindwa ukaamua kuniita, mimi mbona nilishaachana na habari za kiba, diamond tangu wakati wa kampeni au ulijua natania
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: me1
attachment.php

Hiyo kali hadi mwanamke wake amempa maneno hayo duh

Kweli anatia aibu, lazima anajiuliza kwa huyu niliona nini mie kwa aibu hii.

Watu tulisemaga anapenda kutaguta bifu wengi wakasemaga ni mashabiki si mnaona sasa anachokifanya kashindwa kuvumilia halafu kesho ataanza kualalamika, hao wa Naija wakiona hiki watamfikiriaje anastaili kujitia aibu.

Wanamuziki wengi wanamaisha yao na pesa inaendelea kuimba wameacha kushindana na wengine yeye wivuuuuuuuu
 
hahahahaha bloooooo naona kama umepanick hiviii kamu dauni kwanzaa

Raha sana kuwa team ushindi, piga keleleeeeeeeee Afrika nzima imezizima sahv kila kona ni Mondi bin Awards bado kodogo utamuona kwenye Guiness world record
sijapaniki kabisa.
 
Hiyo kali hadi mwanamke wake amempa maneno hayo duh

Kweli anatia aibu, lazima anajiuliza kwa huyu niliona nini mie kwa aibu hii.

Watu tulisemaga anapenda kutaguta bifu wengi wakasemaga ni mashabiki si mnaona sasa anachokifanya kashindwa kuvumilia halafu kesho ataanza kualalamika, hao wa Naija wakiona hiki watamfikiriaje anastaili kujitia aibu.

Wanamuziki wengi wanamaisha yao na pesa inaendelea kuimba wameacha kushindana na wengine yeye wivuuuuuuuu

Afu mpaka wasanii wenzie wanamshusha heshima, kama unakumbuka swali la ben pol kwenye kipindi cha millard ayo aliuliza bifu huwa anatengeneza au vipi? hilo swali ben pol anajuwa tu kijamaa kinatengeneza bifu ila jinsi ya kuliuliza tu akalipa swali pande mbili..
 
Life is not fair kabisa wakati yeye anafuta kiti chake vumbi huku mwenzie anapaka nakshi nakshi za dhahabu hilo vumbi litakua la zege gumu kufutika kwel hadi Leo bado tu linafutwa
 
Alafu sitaki kuamini kama Kiba ni hopeless kiasi . Ana video gani au ngoma gani?
Useless.

Leo ndo nimemshusha kiba aiseh, yani ameshindwa kuvumilia maumivu ya tuzo? Si angekaa kimya tu
 
Tanzania amini msiamini huko nje Diamond anafanya fitina mbaya sana huyu jamaa, anazuiwa kwa connection zake na pesa uchwara zake anazuia ngoma za kiba zisipigwe huko mtv na soundcity na suala si geni, tuzo nazo ndio usiseme eti Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka ujinga ujinga tu

chibu anawatesa sana mwambie kibakuli mziki hauwezi ahamie kwenye mitindo kma kina kadinda n jokate.....hivi ktma c alipata 6 ingekua swala ni chibu anatumia pesa msingepata hata tuzo moja kwenye ktma....chibu anajua kutunga nyimbo plus kipaji pia team yke inafanya kazi sana y kumtafutia show nje na ndani y nchi.
 
Ila baada ya kupost uzuzu wake huo cha moto amekiona, manake kala kichambooooo, cha mbwa mwitu, hapo alipo now anapumua kwa msaada ya diclofenac, BUT HONESTLY THIS GUY NEED A DOKTA, haiwezekani juzi tu hapa akijishauwe kuwa yeye na mziki wake wanathani kuliko tuzo, leo alalamikie kuhujumiwa, NO NO NO! THIS DUDE NEED A CHECKUP, labda lile vumbi lilikokuwa kwenye kiti limemuathiri ubongo on process ya kulifuta kwa namna flani.

kibakuli akili zake ziko kiunoni kma za sharcole wao ni kulalamika 2 kazi hawafanyi.....ingekua pesa inafanya kazi chibu angenunua tuzo zote za ktma na kibakuli asingepata hata moja...aache ujinga w kushikiwa akili n wanawake afanye kazi y kuumiza kichwa n kutunga nyimbo bora.....mtoto w kiume kupewa backup n ma-ex wa chibu ni udhaifu tosha
 
Mbona analalamika sanaa kwani amejipanga panga je, simbilisi weeee
 
Huyo Kiba si alitetea CCMscrow akiwa na mdomo? Amuulize Lowassa alichofanyiwa na Kiwete......

CCMscrow hakuna utu bana. Hela ndo kila kitu
 
Tanzania amini msiamini huko nje Diamond anafanya fitina mbaya sana huyu jamaa, anazuiwa kwa connection zake na pesa uchwara zake anazuia ngoma za kiba zisipigwe huko mtv na soundcity na suala si geni, tuzo nazo ndio usiseme eti Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka ujinga ujinga tu

ila diamond ana pesa nying kama bakharesa maana kila sehemu anazimwaga tu mara anunue tuzo zote anazoshinda mara awahonge watangazaj wa tv station wasipige nyimbo za kiba,duh kwel diamond ni bilionea
 
Back
Top Bottom