Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Hii ina hitaji ushahidi usio tia shaka... Haya maneno hayawezi kuwa ukweli pekee...! Bado ni ngumu kuyanunua haya...!Tanzania amini msiamini huko nje Diamond anafanya fitina mbaya sana huyu jamaa, anazuiwa kwa connection zake na pesa uchwara zake anazuia ngoma za kiba zisipigwe huko mtv na soundcity na suala si geni, tuzo nazo ndio usiseme eti Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka ujinga ujinga tu
Pengine Kiba aliandika hayo akiwa katika moja ya hali hizi! Pengine alikuwa na hasira sana au furaha sana....huyu jamaa anaelekea kuchanganyikiwa sasa si bure si alituambia yeye ni mkubwa kuliko tuzo?
Akubali tu kwa sasa mwenzake kamuacha mbali hivi mtu kashinda mpaka mtvema leo akose afrima?
Aache kulalamika afanyekazi zinazoeleweka ajue amokea wapi ili afute makosa kuliko haya mambo anayoamka nayo kilasiku leo kushoto kesho kulia mziki umebadilika ni zaidi ya sura na sauti hivi ndo huwa wanaanzishaga vibifu vya kijinga sasa maneno gani haya?
Nlishasema ajifunze vya kuongea huyu jamaa kusema ni mkubwa zaidi ya tuzo alafu ukikosa unalalamika ni akili za ktoto.
Anawaumiza sana mashabiki ila hajui tu watu wanatumia nguvu kumtetea upuuzi anaolopoka kilasiku alafu anazidisha.
Mwaka unaisha huu collabo na davido bado?na sautisol inatoka lini?nagharamia audio imetoka video mpaka sasa bado mpaka tuichoke chekecha chekecha haikufanya zaidi ya matarajio mwana ilikimbiza vizur sna labda mwaka kesho utakuwa wake kama collabo zote anazoplan zikitoka kweli sio maneno tuu asipobadilika ataendelea kulalamika maana sitegemei mwaka kesho nana itakosa kuwa nominated kama atategemea nacheketua tu ajiangalie nlishasema miezi 6 iliyopita kiba atoe nyimbo kali kabla ya mwezi wa kumi naona tunamaliza mwaka wala nyimbo hatuoni akijichanganya nagharamia nayo video akatoa january itakula kwake.
Bado najiuliza diamond ana sababu gani za kujidanganya? Kwanini sasa alishindwa kununua za KTMA?Hafu watu wengine muwe mnafikiria kwa upana huo ubongo je! @D.Platnumz ana hela ngapi za kununua Tuzo linganisheni uthamani wa pesa ya TZ na NAIJA.Je Wasafi anauwezo wa kununua Tuzo?Ushindi alopata kwaajili ya kuvote kwa sana.Mboni @KTMA tulitulia tuli kama maji kwenye mtungi.Ye c alisema ndo King uko wapi umalkia wake?
Bado najiuliza diamond ana sababu gani za kujidanganya? Kwanini sasa alishindwa kununua za KTMA?
Tanzania amini msiamini huko nje Diamond anafanya fitina mbaya sana huyu jamaa, anazuiwa kwa connection zake na pesa uchwara zake anazuia ngoma za kiba zisipigwe huko mtv na soundcity na suala si geni, tuzo nazo ndio usiseme eti Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka ujinga ujinga tu
Kumbukeni ya KTMA kwanza.Yalikuaje.mfnsssssdssssssssssss

Nilikuwa sielewi kama huyu jamaa boya hivi, ila mashabiki ndio zaidi..
Kimtego chake alitaka kuzungumziwa, na pale bifu lilipoonekana limefifia kutokana na mambo ya uchaguzi basi afufue kiki iongezeke na kwa hilo ashafanikiwa ila tatizo tu uwezo hana, anaishia kuwapa matatizo ya moyo mashabiki zake..!
Ndio maana hakuna wasanii wanaompa support katika kazi zake, zaidi ya familia yake, na ma ex wa diamond..!
Mtu mwenyewe kwa show tu hapa tanzania anapojiona ni mkali hana uthamani hata chembe wa kusema afananishwe na diamond, hata show zake nne (4) bado hafikii malipo ya show moja ya diamond bado ooooh ninasauti nzuri, basi khadija kopa angekuwa msanii bora Afrika akashindane na wakina beyonce huko maana hata rihanna hamuwezi kopa