Bado najiuliza diamond ana sababu gani za kujidanganya? Kwanini sasa alishindwa kununua za KTMA?
Ali Kiba anazeeka vibaya miaka 45 bado anaongea pumba mitandaoni. Wenzie kina Bitchuka na Mwinjuma Muumini alioanza nao mziki mbona atuwasikii kulalamika
I saw this on twitaWasalaam wana jamvi!
Wengi walikuwa wakijiuliza kwanini King Kiba hakwenda kwenye utoaji wa tunzo huko Nigeria na wengine wakidhani amedharau tunzo hizo!
King kiba kupitia kupitia mtandao wa picha amesema kuwa
" Asanteni sana najua mmpega kura sana lakini nilikuja kugundu baada ya kufatilia kuwa kuna mambo yanaendelea watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu,ila nawaomba fans msinielewe vibaya i will always be there for you"
Mtu yeyote mwenye utimamu wa kichwa akimsoma Alikiba vyema atagundua kuwa anajaribu kusema yafuatayo
Diamond hakushinda tunzo kihalali!
Diamond amehonga ili kupata tunzo!
Management ya Diamond inapambana na Kiba kuhakikisha hawiki kimziki?
Tujiulize ni kweli ana hujumiwa?View attachment 306051
Ndio ujuwe bifu linambeba, hajawahi kuongelewa sana kama leo ila kwasababu kagusa pabaya ashakuwa maarufu ghafla
Wapi huko wamemwagiana soda? Jokate yule si alishaga nyooka kitambo? Kwasasa anatusiadia kuwaweka sawa wenzie.
Kiba hana Adabu PERIOD!
Alipumzika (alifulia) kwa kipindi fulani akiuacha mziki ukiwa point A, kuna watu wakausogeza mziki hadi point D, afu ye anajidai kurudi na vikauli vya ajabu eti "kufuta vumbi".
Nafikiri tuwalaumu waliomdanganya kiba kuwa Diamond aling'aa kwasababu yeye hakuwepo, ila Diamond amezidi kuwa prove wrong kuwa yeye ni full package. Hahitaji mtu yeyote kung'aa, alihitaji support ya mashabiki na time tu kuprove yeye ni nani. Time is determinant.
naona ulikuwa unavumilia lakini umeshindwa ukaamua kuniita, mimi mbona nilishaachana na habari za kiba, diamond tangu wakati wa kampeni au ulijua natania
Ahsante my!naona vumbi limegoma kutoka kwenye kiti!jana chamoto alikiona!alimchokoza mwenye Instagram jana mwishowe kaamua kufuta post mwenyewe!kweli Ally kiba hana mashabiki wengi,tulimvamia jana kambini kwake mpaka akatoka ndukiii
Ahahahaaa!!mtani usiache ushabiki wa mziki kisa siasa banaaa
Unajua hiz team zinawaathiri wasanii sana tofauti na washabiki wanavyodhani.Jiulize tu kama mtu mzima analia hadharani ivo unadhani moyoni ana mangapi yanayomnyima raha?
Law of comparison inasema you should compare apple with apple.(Sio apple with Orange)
Kule west,tuzo ya best male west kaichukua Olamide japo wengi walidhani atashinda Davido.Pamoja na hivo Davido akiwa bado na stress za kuibiwa pesa plus kukosa tuzo kabisa lakin bado amepost picha kupromote kaz ya Olamide same day.
Kwa kumaliza niseme tu ni busara yakaisari angepewa kaisari na Bwana apewe Bwana.
Hard work pays ndo msemo usiochuja.
Kwa hiyo Kiba ni janga kuzidi mashambulizi ya Paris....