Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

Ali Kiba anazeeka vibaya miaka 45 bado anaongea pumba mitandaoni. Wenzie kina Bitchuka na Mwinjuma Muumini alioanza nao mziki mbona atuwasikii kulalamika
 
Ali Kiba anazeeka vibaya miaka 45 bado anaongea pumba mitandaoni. Wenzie kina Bitchuka na Mwinjuma Muumini alioanza nao mziki mbona atuwasikii kulalamika

Tehe!tehe! Sahivi anatakiwa atulie awe anakula pension tu hawa kina Diamond watamtengua kiuno.
 
Wasalaam wana jamvi!
Wengi walikuwa wakijiuliza kwanini King Kiba hakwenda kwenye utoaji wa tunzo huko Nigeria na wengine wakidhani amedharau tunzo hizo!

King kiba kupitia kupitia mtandao wa picha amesema kuwa
" Asanteni sana najua mmpega kura sana lakini nilikuja kugundu baada ya kufatilia kuwa kuna mambo yanaendelea watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu,ila nawaomba fans msinielewe vibaya i will always be there for you"

Mtu yeyote mwenye utimamu wa kichwa akimsoma Alikiba vyema atagundua kuwa anajaribu kusema yafuatayo

Diamond hakushinda tunzo kihalali!

Diamond amehonga ili kupata tunzo!

Management ya Diamond inapambana na Kiba kuhakikisha hawiki kimziki?

Tujiulize ni kweli ana hujumiwa?View attachment 306051
I saw this on twita
 
Attachments

  • 1447707679844.jpg
    1447707679844.jpg
    64.2 KB · Views: 321
  • 1447707695065.jpg
    1447707695065.jpg
    128.3 KB · Views: 322
Hahaahah daaaah analeta uswahili sasa. Aache wazimu badala yakupga kaz analialia...
 
kuna kamsemo kadogo tu alisemaga watanyoka sijui ndo kanaendelea kufanya kazi
 
Unajua hiz team zinawaathiri wasanii sana tofauti na washabiki wanavyodhani.Jiulize tu kama mtu mzima analia hadharani ivo unadhani moyoni ana mangapi yanayomnyima raha?

Law of comparison inasema you should compare apple with apple.(Sio apple with Orange)

Kule west,tuzo ya best male west kaichukua Olamide japo wengi walidhani atashinda Davido.Pamoja na hivo Davido akiwa bado na stress za kuibiwa pesa plus kukosa tuzo kabisa lakin bado amepost picha kupromote kaz ya Olamide same day.

Kwa kumaliza niseme tu ni busara yakaisari angepewa kaisari na Bwana apewe Bwana.

Hard work pays ndo msemo usiochuja.
 
Ndio ujuwe bifu linambeba, hajawahi kuongelewa sana kama leo ila kwasababu kagusa pabaya ashakuwa maarufu ghafla

Tabu anatafuta bifu sababu pesa anayoipata kufutia machozi haikai kila siku inashuka anaweweseka. Angekuwa amerizika na life na yupo poa asingebwatwa.

Maisha ya kulelewa jadi leo hajui kujiendeleza anatafita huruma.
 
Wapi huko wamemwagiana soda? Jokate yule si alishaga nyooka kitambo? Kwasasa anatusiadia kuwaweka sawa wenzie.
Kiba hana Adabu PERIOD!
Alipumzika (alifulia) kwa kipindi fulani akiuacha mziki ukiwa point A, kuna watu wakausogeza mziki hadi point D, afu ye anajidai kurudi na vikauli vya ajabu eti "kufuta vumbi".
Nafikiri tuwalaumu waliomdanganya kiba kuwa Diamond aling'aa kwasababu yeye hakuwepo, ila Diamond amezidi kuwa prove wrong kuwa yeye ni full package. Hahitaji mtu yeyote kung'aa, alihitaji support ya mashabiki na time tu kuprove yeye ni nani. Time is determinant.

Ahsante my!naona vumbi limegoma kutoka kwenye kiti!jana chamoto alikiona!alimchokoza mwenye Instagram jana mwishowe kaamua kufuta post mwenyewe!kweli Ally kiba hana mashabiki wengi,tulimvamia jana kambini kwake mpaka akatoka ndukiii
 
naona ulikuwa unavumilia lakini umeshindwa ukaamua kuniita, mimi mbona nilishaachana na habari za kiba, diamond tangu wakati wa kampeni au ulijua natania

Ahahahaaa!!mtani usiache ushabiki wa mziki kisa siasa banaaa
 
Ahsante my!naona vumbi limegoma kutoka kwenye kiti!jana chamoto alikiona!alimchokoza mwenye Instagram jana mwishowe kaamua kufuta post mwenyewe!kweli Ally kiba hana mashabiki wengi,tulimvamia jana kambini kwake mpaka akatoka ndukiii

Ahahahaaa!!mtani usiache ushabiki wa mziki kisa siasa banaaa

Habari yako mama wa team no stress....

Kambi ya upande wa pili wanagharamia mituzo tuu
 
Unajua hiz team zinawaathiri wasanii sana tofauti na washabiki wanavyodhani.Jiulize tu kama mtu mzima analia hadharani ivo unadhani moyoni ana mangapi yanayomnyima raha?

Law of comparison inasema you should compare apple with apple.(Sio apple with Orange)

Kule west,tuzo ya best male west kaichukua Olamide japo wengi walidhani atashinda Davido.Pamoja na hivo Davido akiwa bado na stress za kuibiwa pesa plus kukosa tuzo kabisa lakin bado amepost picha kupromote kaz ya Olamide same day.

Kwa kumaliza niseme tu ni busara yakaisari angepewa kaisari na Bwana apewe Bwana.

Hard work pays ndo msemo usiochuja.

Davido ilimbidi Ku promote ile kazi maana ni yake Davido ft olamide inaitwa money na Davido kapotezwa ktk iyo track kwa mtazamo wng
 
Only in Africa, fedha ni jawabu la mambo yote. Leo hii Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka Africa hahahaha
Kwa mfano ungepewa nafasi ya kuchagua wimbo wa Alikiba upate ushindi ungechagua wimbo upi?
 
Kwa hiyo Kiba ni janga kuzidi mashambulizi ya Paris....

Nimesikia hiki kijamaa kinasema yale maneno ilikuwa kwaajili ya mashabiki zake kwamba wanapoteza pesa kumpigia kura hahahaha hivi inaingia akilini kweli??

Yani alivyopost ujinga ule alikuwa anatafuta huruma ya mashabiki kwamba anahujumiwa kumbe kaingia choo cha kike

+kama anasema amegundua watu wanapoteza pesa kumpigia kura siku zote alikuwa anajuwa bando zinatolewa bure???

+Kukaa kwenye muziki zaidi ya miaka kumi leo ndio anagundua watu wanapoteza pesa kumpigia kura asigundue kwenye tuzo za pombe ambazo kila sms huwa inagharimu pesa taslim na sio kifurushi

LAZIMA WANYOOKE
 
Back
Top Bottom