Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wana jamvi!
Wengi walikuwa wakijiuliza kwanini King Kiba hakwenda kwenye utoaji wa tunzo huko Nigeria na wengine wakidhani amedharau tunzo hizo!
King kiba kupitia mtandao wa picha amesema kuwa
" Asanteni sana najua mmpega kura sana lakini nilikuja kugundu baada ya kufatilia kuwa kuna mambo yanaendelea watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu,ila nawaomba fans msinielewe vibaya i will always be there for you"
Mtu yeyote mwenye utimamu wa kichwa akimsoma Alikiba vyema atagundua kuwa anajaribu kusema yafuatayo
Diamond hakushinda tunzo kihalali!
Diamond amehonga ili kupata tunzo!
Management ya Diamond inapambana na Kiba kuhakikisha hawiki kimziki.
Tujiulize ni kweli ana hujumiwa?