Yule msanii wa Kariakoo Ali Kiba anayejiita king jana usiku alinusurika kipigo kutoka kwa mashabiki waliopandwa na hasira alipochelewa kupanda stejini mida ya saa nane na nusu za usiku.
Washabiki kiduchu waliomngoja kwa muda mrefu walishikwa na hasira alipopanda stejini usiku huo akaanza kufanya soundcheck ndipo walippoanza kufanya vurugu wakidai pesa zao ama wampe kipigo. Ata hivyo King mzee wa papreeee alifanikiwa kuwachomoka kwa ustadi mkubwa akitumia ujuzi wa kariakoo.
Promota wa show hiyo aliyetishia kumshtaki walifanikiwa kuyamaliza na kurudia show hiyo maana pesa alishapewa yote.