Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

Yule msanii wa Kariakoo Ali Kiba anayejiita king jana usiku alinusurika kipigo kutoka kwa mashabiki waliopandwa na hasira alipochelewa kupanda stejini mida ya saa nane na nusu za usiku.

Washabiki kiduchu waliomngoja kwa muda mrefu walishikwa na hasira alipopanda stejini usiku huo akaanza kufanya soundcheck ndipo walippoanza kufanya vurugu wakidai pesa zao ama wampe kipigo. Ata hivyo King mzee wa papreeee alifanikiwa kuwachomoka kwa ustadi mkubwa akitumia ujuzi wa kariakoo.

Promota wa show hiyo aliyetishia kumshtaki walifanikiwa kuyamaliza na kurudia show hiyo maana pesa alishapewa yote.

41d269a6034f592bee2d684e9cf20dd2.jpg


a1dff99ea8f89f6ba399dff9ca761388.jpg
Wasanii WA bongo buana
 
dodoma mliacha kukomaa na mambo ya maana ya cc.m mnataka kukomaa na show za king kiba.. pelekeni huko
Nifah sema kitu tafadhari.
ishiii wewe sasa mambo ya ccm na ujinga wa kiba alioufanya vinahusiana vipi??ujue hata kumtetea basi kidogo kama kweli wewe ni shabiki damu,jaribu kutotoa visingizio na kuongea upuuzi kwa mambo ambayo msanii wako ndiyo aliyeyasababisha.......
 
Eeeeeehhh yaishe basi,mi siwezag kabisa kubishana na nyinyi team yooo.Ntafungua redio mbishane nayo
Siyo suala la ubishi...na si kila anayehoji basi yupo kwenye hizo team..
Tuambie lini aliwaponda hao unaodai anawaponda!
 
nyimbo chache jamani ilibidi avute vute ka muda kidogo
 
Naona Salam meneja wa Diamond alikuwa nyuma ya stage.
 
Kiba...that is something seroous...what kills professionals if you dont take it seriously
 
Show lazima angepost Instagram sasa hajafanya hivyo unaleta udaku hapa
Pumbavu
 
Basi ni bora aache mziki awe mwanariadha Kama aliweza kuwakimbia.
 
Siku ya jana tarehe 25 ilikuwa ni sherehe ya krismasi huku viwanja vikifurika karibu kila pande za town, Ajabu ni kwamba jana Perugina Club iliyopo Dodoma kulitokea jambo la kushangaza sana, Masaa yalikuwa yanaenda lakini bado watu waliokia wakimsubiri Ally kiba walikuwa wanazidi kuwa wachache, na ndipo mida ya saa nane ndipo Ali kiba akaja kuzuga anafanya sound check, Kitendo hiki kilichukiza sana mashabiki wachache waliokuwa wakimsubiri maana ni dhahiri kabisa alichukizwa na uchache wa mashabiki pengine akiwa alifikiri atajaza Nyomi la watu kama yule msanii wa kimataifa.

Muziki ni biashara, Hakuna promo aliyopiga na alitegemea nini, hata mashabiki wake waliona hana ushirikiano kabisa wa kuwajulisha upwepo wake Dodoma na matokeo yake yalionekana yaani watu walikuwa wa kuhesabu kabisa.
 
Humu siwaoni kina Nifah na team kko wenzake walimpigia majungu mond hatojaza watu beach matokeo wameyaona, sasa boss wao kashindwa kujaza club tu,tena siku ya sikukuu ambapo watu wapo busy na mtoko
 
Back
Top Bottom