Habari Wana Jf
Kweli nimeamini mziki unekuwa mgumu Sana yaani kwa kitendo hivhi Cha kitoto ambacho Amekifanya Alikiba imejidhihirisha wazi kua Diamond platinumz ndio a true definition of mature musician.
Na hii inadhihirisha kwa Sasa hakuna msanii ambae bila kupitia Kiki ya Diamond platinumz anatoboa [emoji23][emoji23][emoji23],Kama Alikiba kaingia kwenye mipasho Kama ya Khadija kopa Sasa amesubiria Nini kusataafu.[emoji24][emoji24][emoji24]
Harmonize na Alikiba wanasafari ndefu ya kujifunza kutoka kwa DIAMOND PLATINUMZ na RAYVANNY jinsi wanavyo behave kwenye jamii.
Alikiba ameona upepo umekata wote ameamua apitie mlango wa diamond platinumz kuongelewa na ili atoe Album Yake ya utopolo.[emoji383][emoji383][emoji383]
WARNER MUSIC GROUP nasikia inampa kiwewe sana na amechanganyikiwa sana.
N.B: DIAMOND PLATINUMZ NAOMBA ASIMJIBU NA KUMPA BOOST YA ALBUM YAKE YA UTOPOLO.
Diamond platinumz anahela[emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]