AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

Haki nimecheka hapo pa kujifunza jinsi dai na ray wanavyobehave kwenye jamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] i was like, "seriously"!!!!!!!
Eti Rayvan anavyo behave..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa Ni comedian
 
Mtoa mada anaona nyota nyota tu kila akiunga doti anaona chenga tu
 
Jiffunze kutiririka vzr na uzi.

Ulipaswa utaje kwanza kile alichosema Kiba ndiyo uendelee na hoja yako.

Sasa unashusha uzi kanakwamba wote tunajuwa alichosema huyo kiba kwa mondi.

Anza uzi wako vzr ili tukuelewe mkuu.

Unapenda kuandika lakini aina yako ya uandishi huwa changamoto.

Nimeona nyuzi zako nyingi watu wakikukosoa kwa jinsi unavyoandika cku wa wanakuchukia hapana,,maana hata hawakujuwi.

Tumia ukosoaji huo kama fursa ya kujifunza pia.

Half unachangamoto ya kuchanganya herufi sana.
 
Ni hulka ya wanamuziki laini laini kuwasilisha mitizamo yao kimipasho mipasho.
Wanahip hop kama Nay wa Mitego wanakuchana tu.Shida nini?
 
Kwa Sadala ipo Kilimanjaro ni mahali kuna mteremko kuelekea mto Kikavu.

Wahuni "sadala" kwakuwa ni mteremko wakatengeneza hilo neno kuwa maana ya vya bure/dezo.

Yani mtu anaependa sadala ni mtu anaependa ofa/dezo/vya bure/mteremko. Kitonga.
 
kwa sadala kuna ka manzi kangu...mmenikumbusha kesho lazima nitie maguu
 
Niliwauliza wale wamama pale Lambo machame majani mnachukua wapi, walisema wanayatoa kwa sadala.
 
Kwani kamwambia DOMO au SADALA? kwamba DOMO ndo SADALA au? Teh teh teh TEAM SADALA MNA KAZI SANA..any way SADALA MWENYEWE ANASEMAJE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…