Alikiba ameshinda Mtv Ema lakini hakustahili zaidi ya Wizkid!

ally kiba achukue tuzo kwa nyimbo gani ?
Ona sass Umehamisha mada!! Hater ni hater tuu!!,,OK, Kama hana wimbo mzuri kwanini achaguliwe mtvema??? Acheni chuki,, mtvema wanachagua mtu ambaye wanajua ana uwezo,, hatakama haters msipouona uwezo wake,wengine wamerecognize!! Mnamfanyia alikiba character assassination,and that's the truth!!
 
Sio mkuu kura sio kila kitu kwenye hizi tuzo za kimataifa ngoja nikupe mfano hai
Tuzo za mwaka huu za BET kwenye kura diamond aliongoza akiwa na 53% akifuatiwa na yemi alade akiwa na 29% black coffie alikuwa wa mwisho akiwa na 5%
Lakini BET walimtanga black coffie kuwa mshindi.
Kipengele cha kupiga kura wameweka tu ili kuleta msisimko lakini hazina mchango kuamua mshindi.
Mtv ema ni ya europe sasa ukiangalia impact ya wizkid kwa ulaya inajieleza vizuri.

Mkuu umeeleweka kabisa. na ukiona mimi nimekuelewa wewe endelea kufanya shughuli zako zingine hawa team Kiba ndivyo walivyo. Akili zao ni kama za bosi wao Kiba ni wagumu kuelewa ni walalamishi utadhani mayatima.

Mbona Diamond huwa halalamiki akikosa tuzo zaidi ya kuongeza juhudi na maarifa katika yake?

Mkuu acha waendelee kulia wengine tunasubiri Simba Baba Tifah Dangote alete tuzo tukasherekee
 
Ona sass Umehamisha mada!! Hater ni hater tuu!!,,OK, Kama hana wimbo mzuri kwanini achaguliwe mtvema??? Acheni chuki,, mtvema wanachagua mtu ambaye wanajua ana uwezo,, hatakama haters msipouona uwezo wake,wengine wamerecognize!! Mnamfanyia alikiba character assassination,and that's the truth!!
taja nyimbo sio kulia lia hapa halafu uiweke na yoyote ya wizkidayo
 
Hapa ndipo mnapokosea,, jikiteni kwenye Mada,, ni lini diamond aliwahi "indicate'wa Kama mshindi halafu akatangazwa mshindi mwingine tofauti na yeye,, these are two different cases!!! Kwa alikiba ni tofauti na unachokizungumzia,, ishafafanuliwa lakini mnaendelea kumponda alikiba bila hoja za msingi!!!

Niaje wadau.

Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Alikiba kupokonywa ushindi huko MTV EMA.Naomba hapa nitumie nafasi hii kufafanua kilichotokea ili kuweza kuondoa huu utata.

Kwa mujibu wa Mtv Ema Alikiba ameshinda kwa kura nyingi sana alizopigiwa na mashabiki na wamemtangaza kuwa katika kipengele cha kura nyingi Ali ndio mshindi.

Naomba tufahamu kwamba Tuzo kubwa kama MTV EMA na BET kuna vipengele ambavyo maamuzi yake hayategemei kura za mashabiki bali huamuliwa na wadhamini, majaji pamoja na waandaaji wa Tuzo. Kipengele hiki huangaliwa ni kiasi gani msanii anafanya vizuri katika category aliyowekwa cz inawezekana msanii akakosa kura nyingi lakini anastaili kupata tuzo kutokana na mchango wake katika mziki.

Kipengele hicho ndicho kilichomfanya Wizzy ashinde Tuzo hiyo ya MTV EMA.
Kiukweli MTV EMA hawajakosea katika hilo cz watanzania wengi walimpigia kura Kiba bila kujali team zao lakini kwa viwango vya kimataifa kiba hawezi kumfikia hata Robo Wizkid.

Alikiba alitakiwa kuwaambia ukweli mashabiki zake na sio kulalamika kwenye media kuwa haelewi kilichotokea wakati anafahamu ukweli wote. Kulalamika kwa Ali kutamsababishia picha mbaya na sidhani kama MTV EMA watakuja tena kumchagua kuwania Tuzo hizo katika Category yoyote ile.

Natumaini nimeeleweka japo kwa uchache.

Mpeni tuzo yake c kashinda kibakuli. Mnafikilia ni tuzo za kili awards
 
Hapa ndipo mnapokosea,, jikiteni kwenye Mada,, ni lini diamond aliwahi "indicate'wa Kama mshindi halafu akatangazwa mshindi mwingine tofauti na yeye,, these are two different cases!!! Kwa alikiba ni tofauti na unachokizungumzia,, ishafafanuliwa lakini mnaendelea kumponda alikiba bila hoja za msingi!!!

Mkuu hoja za msingi zishaelezwa au wewe unataka hoja zipi? kama unamajibu yako yaweke tu hadharani.
 
taja nyimbo sio kulia lia hapa halafu uiweke na yoyote ya wizkidayo
Jikite kwenye Mada,,sina muda wa kutaja nyimbo zake,, Kama unamjua Ali mpaka umeamua kumponda hata penye ukweli unazijua nyimbo zake,,, mnajitia wajuaji wa kila kitu,, ni nyimbo gani iliyovuma ya blackcofee kiuhalisia iliyompelekea kushinda bet???!!ukweli ni kuwa kwenye hizi tuzo kuna utata!! Ila team diamond mnachofanya mnaoverlook huo utata badala yake mnakimbilia idea ya kuwa alikiba ni mlalamishi,idea ambayo mnayo kichwani,,, mna chuki kiasi kwamba hata ikitokea alikiba kadhulumiwa wazi na ushahidi ukawepo mtasema hakustahili
 
Domo aliposhindwa kuchukua BET timu bichwa walicheka sana mara oooh jamaa hana uwezo mara oooh cjui nn na ukiangalia kwny voting domo ulikuwa anaongoza lakn tunzo ikaenda kwa mtu mwingne kabisa

In short izi tuzo ukifatiria kwa ukaribu utaona mshindi hapatkani kwa kura tu may be kuna vigezo vingne wanaangalia so tusijisumbue tugange yajayo

Na tujifunze kukubaliana na hari na ukiangalia tu wizkid ana deserve coz kwa asa iv hakamatiki ni wakati wake so cha kufanya wasanii wetu wakaze waache kujaa vichwa
 
Hivi tangu lini Kiba aliwahi kukubali kushindwa? Juzi kati Diamond alivyoshindwa huko South africa unakumbuka alisemaje? Alikubali kushindwa akawa anaangalia mbele

Alikiba kila akishindwa ni mtu wa kulalamika,kutafta mchawi na kutaka kuonekana kaonewa.anaangalia sana nyuma.na hiki kipo kwa watu wengi wasio kuwa washindani...
Lazima alalamike sababu huwa anashinda alafu watu wanageuza matokeo
Ushahidi ni hizo kura za mtvema
System zao zimewaumbua ila sema tu kiba akisema kitu watu wanamuona kama mnafiki wakati nikweli.

Kingine cha ziada
Siku zote mtu mnafiki na mwenye chuki ndio huwa anapendwa kabla watu hawajmshtukia so kaeni mkao wa kula maongo yenu yote ipo cku raia watajua mnachofanyaga
 
Jikite kwenye Mada,,sina muda wa kutaja nyimbo zake,, Kama unamjua Ali mpaka umeamua kumponda hata penye ukweli unazijua nyimbo zake,,, mnajitia wajuaji wa kila kitu,, ni nyimbo gani iliyovuma ya blackcofee kiuhalisia iliyompelekea kushinda bet???!!ukweli ni kuwa kwenye hizi tuzo kuna utata!! Ila team diamond mnachofanya mnaoverlook huo utata badala yake mnakimbilia idea ya kuwa alikiba ni mlalamishi,idea ambayo mnayo kichwani,,, mna chuki kiasi kwamba hata ikitokea alikiba kadhulumiwa wazi na ushahidi ukawepo mtasema hakustahili
So ukirejea kwenye mada yako apo ulipomtaja black coffee na ww unathibitisha jamaa hakustahiri kupata tuzo za bet au alistahiri coz hiki kilichotekea n kama kilichotokea kwny bet
 
Ona sass Umehamisha mada!! Hater ni hater tuu!!,,OK, Kama hana wimbo mzuri kwanini achaguliwe mtvema??? Acheni chuki,, mtvema wanachagua mtu ambaye wanajua ana uwezo,, hatakama haters msipouona uwezo wake,wengine wamerecognize!! Mnamfanyia alikiba character assassination,and that's the truth!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwaiyo unaamini kabisa mtv ema wamemnyima alikiba ushindi kwa maksudi na kumpa ambae hakustahili wizkid?
 
Jikite kwenye Mada,,sina muda wa kutaja nyimbo zake,, Kama unamjua Ali mpaka umeamua kumponda hata penye ukweli unazijua nyimbo zake,,, mnajitia wajuaji wa kila kitu,, ni nyimbo gani iliyovuma ya blackcofee kiuhalisia iliyompelekea kushinda bet???!!ukweli ni kuwa kwenye hizi tuzo kuna utata!! Ila team diamond mnachofanya mnaoverlook huo utata badala yake mnakimbilia idea ya kuwa alikiba ni mlalamishi,idea ambayo mnayo kichwani,,, mna chuki kiasi kwamba hata ikitokea alikiba kadhulumiwa wazi na ushahidi ukawepo mtasema hakustahili
Yaani hiyo tuzo angechukua ally dunia nzima ingetuandama kwa dhambi hiyo hamuwezi wizkidayo kwa kila kitu
 
Hakuna jambo linalonikwaza Kama watu kusema Ali anapenda kulalamika,hana uwezo, ,, kwani hamuoni utata uliopo?? Kila aliyeshinda aliwekewa pink mark,, (hapo tayari cjui majaji, wadhamini wameshatoa final say)) haiwezekani eti wamuweke alikiba kwenye list ya washindi halafu baadae hao wadhamini na majaji waje kusema hafaii,
mpaka kufikia kumueka sehemu moja na washindi eg drake, starboy, bieber manake alikuwa mshindi halali!!
Baada ya kumueka list moja na washindi, mtvbaseafrica (siyo mtvema)wakampost wizkid! Hapa fans WA alikiba wakaanza kulalamika, mtvema walipoona malalamiko yamezidi na fans wana ushahidi walichofanya(mtvema) ni kuhamisha ile pink mark ya ushindi na kuipeleka kwa wizzie,,, hapo ndipo fans wakazidisha complains, haikuchukua muda mtvema haohao wakaondoa ile pink mark kwa wizzie, hivyo kwenye hii category ya bestafrican act haioneshi mshindi ni Nani mpaka sasa!!
Swali langu ni je??? Mtvema wanaweza fika mpaka stage ya kumueka alikiba kwenye website yao Kama mshindi KABLA hao mnaowaita majaji na wadhamini hawajaverify ushindi wake!??? Nyie mnachukulia hili swala kiushabiki lakini mnaacha kuangalia utata uliopo.

kaka umemaliza kila kitu watu wanaletea uteam kama kweli anachosema mleta mada kwani kulikuwa na figufigu za kubadilisha ile alama ya pink kwenda kwa wizzy na baadae kuitoa wakati wanajua public vote haiamui shindi.
 
Mkuu hoja za msingi zishaelezwa au wewe unataka hoja zipi? kama unamajibu yako yaweke tu hadharani.
Hoja zipi??? Nikuulize swali,, je ilikuwaje mtvema kwenye web yao kwenye kipengele cha winners ambapo kila mshindi including alikiba alikuwepo halafu mtvbsseafrica wakamtangaza wizzie!? Je hiyo management ya mtvema ilimwekaje mshindi kwenye page yao bila kufanya uhakiki, bila hao majaji na wadhamini kutoa final say???(in fact kila aliye indicatiwa kwenye hiyo category ukiingia kwenye page zao za social network wanapongezwa na fans wao Kama washindi, this means wote walioindicatewa Kama winners walikuwa ndio washindi halali,,Shida imekuja kwa alikiba tuu,, mtvbaseafrica ndiyo wakawa wa Kwanza kumpost wiz wakati hakuwrpo kwenye list)
 
Attachments

  • Screenshot_2016-11-08-10-20-34.png
    Screenshot_2016-11-08-10-20-34.png
    53.2 KB · Views: 31
Shida yenu mnaishi kwa historia,,,Mara nyimbo za wizzie, Mara alikiba kafanya hivii,, hii ni shida kubwa Sana, ilikuwaje mtu ambaye hamkumtegemea Kama black coffee kuchukua tuzo ya bet na kumshinda diamond?????hater ni hater no matter what!

Back
Top Bottom