Alikiba ameshinda Mtv Ema lakini hakustahili zaidi ya Wizkid!

Niaje wadau.

Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Alikiba kupokonywa ushindi huko MTV EMA.Naomba hapa nitumie nafasi hii kufafanua kilichotokea ili kuweza kuondoa huu utata.

Kwa mujibu wa Mtv Ema Alikiba ameshinda kwa kura nyingi sana alizopigiwa na mashabiki na wamemtangaza kuwa katika kipengele cha kura nyingi Ali ndio mshindi.

Naomba tufahamu kwamba Tuzo kubwa kama MTV EMA na BET kuna vipengele ambavyo maamuzi yake hayategemei kura za mashabiki bali huamuliwa na wadhamini, majaji pamoja na waandaaji wa Tuzo. Kipengele hiki huangaliwa ni kiasi gani msanii anafanya vizuri katika category aliyowekwa cz inawezekana msanii akakosa kura nyingi lakini anastaili kupata tuzo kutokana na mchango wake katika mziki.

Kipengele hicho ndicho kilichomfanya Wizzy ashinde Tuzo hiyo ya MTV EMA.
Kiukweli MTV EMA hawajakosea katika hilo cz watanzania wengi walimpigia kura Kiba bila kujali team zao lakini kwa viwango vya kimataifa kiba hawezi kumfikia hata Robo Wizkid.

Alikiba alitakiwa kuwaambia ukweli mashabiki zake na sio kulalamika kwenye media kuwa haelewi kilichotokea wakati anafahamu ukweli wote. Kulalamika kwa Ali kutamsababishia picha mbaya na sidhani kama MTV EMA watakuja tena kumchagua kuwania Tuzo hizo katika Category yoyote ile.

Natumaini nimeeleweka japo kwa uchache.

Jana Asubuhi
Ukiingia ktk website ya MTVEMA ukiclick winners, Alikiba ndiye aliyeonekana Mshindi, Mwenye ICON ya kushinda.
Ishu ikaja mbona alikiba anaonekana kashinda, au yupo ktk list ya winners kwa nini hajapewa??? Wakati wenzie wote walipewa?? Hilo ndilo lililoleta usumbufu kwa Mashabiki, na hata sasa ukiingia website yao MTVEMA ni Kipengele cha BEST AFRICAN ACT tu ndiyo kinaonekana hakina Mshindi, Vyote vilivyobaki vina Mshindi.
Kwa Kumbukumbu nzuri, Alikiba alishinda wale MTVEMA wakashangaa imekuwaje kashinda wakati hata MTVMAMA hakupata hata mmoja??? wakawauliza MTVBASE/MTVMAMA kuhusu ushindi huo, hapo ikabidi MTVMAMA waseme anayestahili kuwa BEST WORLD WIDE ACT NI WIZKID, Lakini tatizo likaja Wiz hawezi kupata hiyo mpaka awe ameshinda BEST AFRICA ACT, Ndiyo hapo unakuja kukutana na WAAFRIKA KUITWA NYANI, MTVBASE wakajifanya kimbelembele kumtangaza wiz kid ili kujua RESPONSE YA WATU IKO VIPI, Wakasahau Mtandao wa MTVEMA upo AUTOMATIC unaonesha nani kashinda, wakampa jamaa TUZO, wakati watu wakitazama aliyeshinda na KIBA, Uswahili ukaanzia hapo!!!
Mpaka sasa MTVEMA hawajaeleweka, na MILLARD AYO wakati anaposti ktk Mtandao wake alijua kabisa, ktk ile list ikabidi asiripoti kipengele cha Best African Act kwa sababu kilikuwa kinamwonesha ALIKIBA Mshindi wakati MTVBASE walishamtangaza wizkid. Hii ni Scandal kwa MTVEMA iliyosababishwa na MTVBASE.
Nimechukia sana namna watu wanavyomzarau Alikiba,
Me nataka niwaambieni kitu washkaji, kama umesoma probability, utaelewa Both artist have equal chance of winning, The issue was VOTING.
Kusoma UDOM, Mzumbe, UDSM, SAUT, HARVAD, MAKERERE au popote, Tunapokutana ktk Interview ina maana UDOM akifanya Vizuri kuliko harvad ndiyo tumwache??? Au Mzumbe kafanya Vizuri kuliko UDSM tumwache?? Tumchukue HARVAD kwa vile ni wa kimataifa??? This is non-sense.

SIKU WAAFRIKA MKIACHA KUJIDHARAU WAZUNGU HAWANA CHA KUWARINGISHIA.
I HATE THAT HATE.
 
Mtv ema wameeliza vizuri lakini mashabiki wa Tanzania hasa wa alikiba sijui kitu gani hapa hamjaelewa au tatizo lugha
1478589904005.jpg
 
kaka umemaliza kila kitu watu wanaletea uteam kama kweli anachosema mleta mada kwani kulikuwa na figufigu za kubadilisha ile alama ya pink kwenda kwa wizzy na baadae kuitoa wakati wanajua public vote haiamui shindi.
Hebu soma hapa walichoeleza mbona mnakuwa wagumu kuelewa?
1478589993327.jpg
 
Shida yenu mnaishi kwa historia,,,Mara nyimbo za wizzie, Mara alikiba kafanya hivii,, hii ni shida kubwa Sana, ilikuwaje mtu ambaye hamkumtegemea Kama black coffee kuchukua tuzo ya bet na kumshinda diamond?????hater ni hater no matter what!
So kwa nn walimpa black coffee wakati ata voting polly ilikuwa inaonyesha domo ndo alikuwa anaongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya kura ukinijibu apo ndo utakuwa umepata jibu la hoja yako
 
Yaani hiyo tuzo angechukua ally dunia nzima ingetuandama kwa dhambi hiyo hamuwezi wizkidayo kwa kila kitu
Agh! Nafikiri niache kushindana na wewe,,Kama hiyo ndio reasoning yako bora nikuache,, mshindi ni mshindi bila kujali background yake,, good example ni blackcofee
 
Jana Asubuhi
Ukiingia ktk website ya MTVEMA ukiclick winners, Alikiba ndiye aliyeonekana Mshindi, Mwenye ICON ya kushinda.
Ishu ikaja mbona alikiba anaonekana kashinda, au yupo ktk list ya winners kwa nini hajapewa??? Wakati wenzie wote walipewa?? Hilo ndilo lililoleta usumbufu kwa Mashabiki, na hata sasa ukiingia website yao MTVEMA ni Kipengele cha BEST AFRICAN ACT tu ndiyo kinaonekana hakina Mshindi, Vyote vilivyobaki vina Mshindi.
Kwa Kumbukumbu nzuri, Alikiba alishinda wale MTVEMA wakashangaa imekuwaje kashinda wakati hata MTVMAMA hakupata hata mmoja??? wakawauliza MTVBASE/MTVMAMA kuhusu ushindi huo, hapo ikabidi MTVMAMA waseme anayestahili kuwa BEST WORLD WIDE ACT NI WIZKID, Lakini tatizo likaja Wiz hawezi kupata hiyo mpaka awe ameshinda BEST AFRICA ACT, Ndiyo hapo unakuja kukutana na WAAFRIKA KUITWA NYANI, MTVBASE wakajifanya kimbelembele kumtangaza wiz kid ili kujua RESPONSE YA WATU IKO VIPI, Wakasahau Mtandao wa MTVEMA upo AUTOMATIC unaonesha nani kashinda, wakampa jamaa TUZO, wakati watu wakitazama aliyeshinda na KIBA, Uswahili ukaanzia hapo!!!
Mpaka sasa MTVEMA hawajaeleweka, na MILLARD AYO wakati anaposti ktk Mtandao wake alijua kabisa, ktk ile list ikabidi asiripoti kipengele cha Best African Act kwa sababu kilikuwa kinamwonesha ALIKIBA Mshindi wakati MTVBASE walishamtangaza wizkid. Hii ni Scandal kwa MTVEMA iliyosababishwa na MTVBASE.
Nimechukia sana namna watu wanavyomzarau Alikiba,
Me nataka niwaambieni kitu washkaji, kama umesoma probability, utaelewa Both artist have equal chance of winning, The issue was VOTING.
Kusoma UDOM, Mzumbe, UDSM, SAUT, HARVAD, MAKERERE au popote, Tunapokutana ktk Interview ina maana UDOM akifanya Vizuri kuliko harvad ndiyo tumwache??? Au Mzumbe kafanya Vizuri kuliko UDSM tumwache?? Tumchukue HARVAD kwa vile ni wa kimataifa??? This is non-sense.

SIKU WAAFRIKA MKIACHA KUJIDHARAU WAZUNGU HAWANA CHA KUWARINGISHIA.
I HATE THAT HATE.
Soma maelezo
1478590108979.jpg
 
Naomba niulize, kwanini kwenye website ya MTVema walimweka Ali Kama mshindi??? Halafu baadae kidogo mtvbaseafrixa wakamtangaza wizzie,, je mtvema walikurupuka au?? Maana kwenye ile list ya washindi alikuwepo kasoro kutangazwa officially!
Na we unaamini hizo hadithi,wabongo wanavyojua kuscreenshot siku hz unafikiri kusingekuwa na hiyo pic!
 
Jana Asubuhi
Ukiingia ktk website ya MTVEMA ukiclick winners, Alikiba ndiye aliyeonekana Mshindi, Mwenye ICON ya kushinda.
Ishu ikaja mbona alikiba anaonekana kashinda, au yupo ktk list ya winners kwa nini hajapewa??? Wakati wenzie wote walipewa?? Hilo ndilo lililoleta usumbufu kwa Mashabiki, na hata sasa ukiingia website yao MTVEMA ni Kipengele cha BEST AFRICAN ACT tu ndiyo kinaonekana hakina Mshindi, Vyote vilivyobaki vina Mshindi.
Kwa Kumbukumbu nzuri, Alikiba alishinda wale MTVEMA wakashangaa imekuwaje kashinda wakati hata MTVMAMA hakupata hata mmoja??? wakawauliza MTVBASE/MTVMAMA kuhusu ushindi huo, hapo ikabidi MTVMAMA waseme anayestahili kuwa BEST WORLD WIDE ACT NI WIZKID, Lakini tatizo likaja Wiz hawezi kupata hiyo mpaka awe ameshinda BEST AFRICA ACT, Ndiyo hapo unakuja kukutana na WAAFRIKA KUITWA NYANI, MTVBASE wakajifanya kimbelembele kumtangaza wiz kid ili kujua RESPONSE YA WATU IKO VIPI, Wakasahau Mtandao wa MTVEMA upo AUTOMATIC unaonesha nani kashinda, wakampa jamaa TUZO, wakati watu wakitazama aliyeshinda na KIBA, Uswahili ukaanzia hapo!!!
Mpaka sasa MTVEMA hawajaeleweka, na MILLARD AYO wakati anaposti ktk Mtandao wake alijua kabisa, ktk ile list ikabidi asiripoti kipengele cha Best African Act kwa sababu kilikuwa kinamwonesha ALIKIBA Mshindi wakati MTVBASE walishamtangaza wizkid. Hii ni Scandal kwa MTVEMA iliyosababishwa na MTVBASE.
Nimechukia sana namna watu wanavyomzarau Alikiba,
Me nataka niwaambieni kitu washkaji, kama umesoma probability, utaelewa Both artist have equal chance of winning, The issue was VOTING.
Kusoma UDOM, Mzumbe, UDSM, SAUT, HARVAD, MAKERERE au popote, Tunapokutana ktk Interview ina maana UDOM akifanya Vizuri kuliko harvad ndiyo tumwache??? Au Mzumbe kafanya Vizuri kuliko UDSM tumwache?? Tumchukue HARVAD kwa vile ni wa kimataifa??? This is non-sense.

SIKU WAAFRIKA MKIACHA KUJIDHARAU WAZUNGU HAWANA CHA KUWARINGISHIA.
I HATE THAT HATE.
Una ushahidi na maelezo yako au umefidiwa kutoka instagram usilete story za kwny gahawa ww
 
Attachments

  • Screenshot_2016-11-08-10-20-34.png
    Screenshot_2016-11-08-10-20-34.png
    53.2 KB · Views: 29
Agh! Nafikiri niache kushindana na wewe,,Kama hiyo ndio reasoning yako bora nikuache,, mshindi ni mshindi bila kujali background yake,, good example ni blackcofee
domo alikua anaongoza kwa kura black cofee alikua wa tatu lakini alipewa jamaa akapongeza wasiwasi wako
 
,unajua kuna kitu hatujaelewana,, je kuna sehemu kwenye hizo tuzo diamond aliwekwa kwenye list ya washindi??? HAKUNA,, huoni hii case ni tofauti na kilichotokea kwa alikiba??? Alikiba mpaka aliwekwa kne list ya washindi lakini mtvbaseafrica wakamtangaza wizzie,, baada ya mtvbase(siyo mtvema ) kumtangaza wizzie ndipo mtvema wakaanza kubadilisha ile mark kutoka kwa Ali kwenda kwa wiz, then kwa Ali tena, baadae wakaitoa Kabisa
So kwa nn walimpa black coffee wakati ata voting polly ilikuwa inaonyesha domo ndo alikuwa anaongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya kura ukinijibu apo ndo utakuwa umepata jibu la hoja yako
 
Agh! Nafikiri niache kushindana na wewe,,Kama hiyo ndio reasoning yako bora nikuache,, mshindi ni mshindi bila kujali background yake,, good example ni blackcofee
Black coffee alishinda kwa kigezo kipi coz ata kura tu domo ndo ulikuwa anaongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya kura so alishinda kwa kigezo kipi ukinipa jibu ndo utajua kwa nn wiz kashinda iyo tuzo
 
Unatoka nje yaMada,, kuna sehemu diamond alioneshwa Kama mshindi halafu akaachwa kutangazwa???
 
,unajua kuna kitu hatujaelewana,, je kuna sehemu kwenye hizo tuzo diamond aliwekwa kwenye list ya washindi??? HAKUNA,, huoni hii case ni tofauti na kilichotokea kwa alikiba??? Alikiba mpaka aliwekwa kne list ya washindi lakini mtvbaseafrica wakamtangaza wizzie,, baada ya mtvbase(siyo mtvema ) kumtangaza wizzie ndipo mtvema wakaanza kubadilisha ile mark kutoka kwa Ali kwenda kwa wiz, then kwa Ali tena, baadae wakaitoa Kabisa
Wapi mtvema walitangaza kuwa ali ndo mshindi na unaushahidi wa icho unachokisema.....na pia narejea kwenye mada yng ww c umesema kiba ndo katangazwa mshindi baadae wakabadilisha je umetumia kigezo kipi kusema Ali ndo alitakiwa kushinda ni kutokana na kura alizopata ama??....na kama ni kura ata black coffee hakustahili kushinda coz domo ndo ulikuwa anaongoza kwa kuwa na kura nying 53% za kura zilizopigwa lkn mshindi akawa mwingne
 
Hakuna jambo linalonikwaza Kama watu kusema Ali anapenda kulalamika,hana uwezo, ,, kwani hamuoni utata uliopo?? Kila aliyeshinda aliwekewa pink mark,, (hapo tayari cjui majaji, wadhamini wameshatoa final say)) haiwezekani eti wamuweke alikiba kwenye list ya washindi halafu baadae hao wadhamini na majaji waje kusema hafaii,
mpaka kufikia kumueka sehemu moja na washindi eg drake, starboy, bieber manake alikuwa mshindi halali!!
Baada ya kumueka list moja na washindi, mtvbaseafrica (siyo mtvema)wakampost wizkid! Hapa fans WA alikiba wakaanza kulalamika, mtvema walipoona malalamiko yamezidi na fans wana ushahidi walichofanya(mtvema) ni kuhamisha ile pink mark ya ushindi na kuipeleka kwa wizzie,,, hapo ndipo fans wakazidisha complains, haikuchukua muda mtvema haohao wakaondoa ile pink mark kwa wizzie, hivyo kwenye hii category ya bestafrican act haioneshi mshindi ni Nani mpaka sasa!!
Swali langu ni je??? Mtvema wanaweza fika mpaka stage ya kumueka alikiba kwenye website yao Kama mshindi KABLA hao mnaowaita majaji na wadhamini hawajaverify ushindi wake!??? Nyie mnachukulia hili swala kiushabiki lakini mnaacha kuangalia utata uliopo.

Weka izo picha tuzione..kwamba aliwekewa pink mark,mara ikaondolewa akawekewa wizzy...mara wakaitoa,mara baada ya fans kulalamika wakamtoa kwenye list ya washindi...naona nawewe unazendelea kulalamika...aya basi ALIKIBA NDO MSHINDI SASAAAAA!!!!!!
 
Hater ni hater tuu,hata mpinzani akiwa na cake mtaiita Mavi,am logging off! Waii
Bor mkuu subiri EATV awards zinatolewa mwezi ujao Alikiba atashinda siunajua wanavyomkubali haya mambo ya mtv yana wenyewe
 
Jana Asubuhi
Ukiingia ktk website ya MTVEMA ukiclick winners, Alikiba ndiye aliyeonekana Mshindi, Mwenye ICON ya kushinda.
Ishu ikaja mbona alikiba anaonekana kashinda, au yupo ktk list ya winners kwa nini hajapewa??? Wakati wenzie wote walipewa?? Hilo ndilo lililoleta usumbufu kwa Mashabiki, na hata sasa ukiingia website yao MTVEMA ni Kipengele cha BEST AFRICAN ACT tu ndiyo kinaonekana hakina Mshindi, Vyote vilivyobaki vina Mshindi.
Kwa Kumbukumbu nzuri, Alikiba alishinda wale MTVEMA wakashangaa imekuwaje kashinda wakati hata MTVMAMA hakupata hata mmoja??? wakawauliza MTVBASE/MTVMAMA kuhusu ushindi huo, hapo ikabidi MTVMAMA waseme anayestahili kuwa BEST WORLD WIDE ACT NI WIZKID, Lakini tatizo likaja Wiz hawezi kupata hiyo mpaka awe ameshinda BEST AFRICA ACT, Ndiyo hapo unakuja kukutana na WAAFRIKA KUITWA NYANI, MTVBASE wakajifanya kimbelembele kumtangaza wiz kid ili kujua RESPONSE YA WATU IKO VIPI, Wakasahau Mtandao wa MTVEMA upo AUTOMATIC unaonesha nani kashinda, wakampa jamaa TUZO, wakati watu wakitazama aliyeshinda na KIBA, Uswahili ukaanzia hapo!!!
Mpaka sasa MTVEMA hawajaeleweka, na MILLARD AYO wakati anaposti ktk Mtandao wake alijua kabisa, ktk ile list ikabidi asiripoti kipengele cha Best African Act kwa sababu kilikuwa kinamwonesha ALIKIBA Mshindi wakati MTVBASE walishamtangaza wizkid. Hii ni Scandal kwa MTVEMA iliyosababishwa na MTVBASE.
Nimechukia sana namna watu wanavyomzarau Alikiba,
Me nataka niwaambieni kitu washkaji, kama umesoma probability, utaelewa Both artist have equal chance of winning, The issue was VOTING.
Kusoma UDOM, Mzumbe, UDSM, SAUT, HARVAD, MAKERERE au popote, Tunapokutana ktk Interview ina maana UDOM akifanya Vizuri kuliko harvad ndiyo tumwache??? Au Mzumbe kafanya Vizuri kuliko UDSM tumwache?? Tumchukue HARVAD kwa vile ni wa kimataifa??? This is non-sense.

SIKU WAAFRIKA MKIACHA KUJIDHARAU WAZUNGU HAWANA CHA KUWARINGISHIA.
I HATE THAT HATE.
That's it
 
Back
Top Bottom