Hakuna jambo linalonikwaza Kama watu kusema Ali anapenda kulalamika,hana uwezo, ,, kwani hamuoni utata uliopo?? Kila aliyeshinda aliwekewa pink mark,, (hapo tayari cjui majaji, wadhamini wameshatoa final say)) haiwezekani eti wamuweke alikiba kwenye list ya washindi halafu baadae hao wadhamini na majaji waje kusema hafaii,
mpaka kufikia kumueka sehemu moja na washindi eg drake, starboy, bieber manake alikuwa mshindi halali!!
Baada ya kumueka list moja na washindi, mtvbaseafrica (siyo mtvema)wakampost wizkid! Hapa fans WA alikiba wakaanza kulalamika, mtvema walipoona malalamiko yamezidi na fans wana ushahidi walichofanya(mtvema) ni kuhamisha ile pink mark ya ushindi na kuipeleka kwa wizzie,,, hapo ndipo fans wakazidisha complains, haikuchukua muda mtvema haohao wakaondoa ile pink mark kwa wizzie, hivyo kwenye hii category ya bestafrican act haioneshi mshindi ni Nani mpaka sasa!!
Swali langu ni je??? Mtvema wanaweza fika mpaka stage ya kumueka alikiba kwenye website yao Kama mshindi KABLA hao mnaowaita majaji na wadhamini hawajaverify ushindi wake!??? Nyie mnachukulia hili swala kiushabiki lakini mnaacha kuangalia utata uliopo.