Alikiba amfananisha Diamond na "Mwanamke"

Mimi mwenyewe naomba avumilie hata wiki inatosha.CMG,Ommy na Kiba walihitaji view milion 3 youtube nyimbo ya yanje lkn wamefeli na amini hata hili watafeli tu na ndio maana wameamua kuweka nguvu kubwa.
Ndi hivo mkuu, akirogwa tu akatia neno patachafuka kisenge.
 
Watafeli ikiwa wasafi wataipotezea kiki hii,yaan wauchune kama sio wao.
Mimi mwenyewe naomba avumilie hata wiki inatosha.CMG,Ommy na Kiba walihitaji view milion 3 youtube nyimbo ya yanje lkn wamefeli na amini hata hili watafeli tu na ndio maana wameamua kuweka nguvu kubwa.
 
Diamond ni mtoto wa uswazi amezoea kusutana. Hawezi kukaa kimyaa.
Tangu Ommy dimpo amwambie mshkaji ni shoga,Ommy naye akamwambia mpk siku unione nimetoka chumbani kwa bi.Sandra nimevaa taulo kiunoni huku ukitambulishwa.na mamako mi ndo babako.ndo utaniheshimu na akaweka picha akiwa na bi.Sandra(mama domo),hahah

Diamond uswahiili wote uliisha hakujibu tena.
 
ni kwamba IQ za watu humu ni ndgo sana au kuendekeza upuuzu,io kauli ya kiba na kumfananisha dai na mwanamke vnahusiana vp,heri ungemtafta kumuulza sio kumlisha tafsiri mtu..
 
Ni sawa tu, maana Alikiba hata hawajali lakini jamaa wanamshobokea wee, waachane naye!
 
ni kwamba IQ za watu humu ni ndgo sana au kuendekeza upuuzu,io kauli ya kiba na kumfananisha dai na mwanamke vnahusiana vp,heri ungemtafta kumuulza sio kumlisha tafsiri mtu..
Mwenye IQ kubwa hebu itafisiri hiyo kauli, au unaropokwa tu na mihemuko ya ushabiki.
 
Ila clouds wanahaingaika sana si walikua wanambeba aslay hawa saiv wamegeukia kwa kiba na bure bure wanaitangaza biashara ya msauzi kisa kupromote bifu na wasafi aiseee

Achilia mbali Aslay, nani aliamini kuwa Darasa atakuja kupotea??

Hawa CMG mungu anawaonaaa..walimtumia Darasa weeeeee walipommaliza kumnyonya wakamtupa...jamaa saivi naskia kawa teja.....wakaamia kwa Aslay bado wakabuma

Iyo ya Kiba wala hamna mtu aliestuka....labda Da mange akisupport ndo itavuma....ila CMG tumeshawazoea
 
hizo ni trick za biashara ili nyie mang'ombe muendelee kushabikia timu zenu hizo
 
Huyo hawez support maana walimtupa kwenye maandamano labda kama atahaidiwa kitu na kiba anaweza mpa kiki kiaina
 
Domo anapambana na show zake na mababy mama wake hawezi kumjibu[emoji23]
 
mimi nasemaga kuliko uswahili wa kkoo bora wa tandale.
saa zingine domo ana act kama mtu mzima...
ali kiba ni mswahili mara2 ya Mond
Ana majibu ya hovyo sana. Ambayo diamond ikitokea kajibu hivo hukuzwa mara milion ili tu aonekane mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…