kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
- Thread starter
- #41
Ndi hivo mkuu, akirogwa tu akatia neno patachafuka kisenge.Mimi mwenyewe naomba avumilie hata wiki inatosha.CMG,Ommy na Kiba walihitaji view milion 3 youtube nyimbo ya yanje lkn wamefeli na amini hata hili watafeli tu na ndio maana wameamua kuweka nguvu kubwa.