Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Kasemaje hebu nitagAsharopoka huko.
.....imekuaje tena mara hii?Ali Kiba mshamba. Period.
Mimi kwa sasa sina timuMwambieni Kiba aache ushamba, siwezi kuendelea kumshabikia mtu mpuuzi kama huyo, najielewa na najitambuwa.
si ndo hivyo...Ana majibu ya hovyo sana. Ambayo diamond ikitokea kajibu hivo hukuzwa mara milion ili tu aonekane mbaya.
sijui ndo umejibu nn. Tafta 'wenzako' ujibshane naoMwenye IQ kubwa hebu itafisiri hiyo kauli, au unaropokwa tu na mihemuko ya ushabiki.
Imekuwaje kivipi? Hata wewe mshamba tu, ina Diamond akifanya mambo ya kipumbavu huwezi kumkosoa?Duuh
.....imekuaje tena mara hii?
Haishangazi kufanana na Bush Man, tabia zao zinalingana. Ushamba ushamba.si ndo hivyo...
lakini alikiba hajui kujieleza kwanza,hajui kujibu.. ana shombo mno yani anajikweza kupita maelezo
Huwezi kumfananisha Diamond na Ali Kiba, Diamond yuko mbali sana.Madale mnapenda sana kulia lia ili muonewe huruma....na nyie fanyeni interview kwenye radio yenu
Ndugu, huyo mtoa mada anapotosha watu hapa jukwaani. Nimeangalia mahojiano hayo wala hakumaanisha hivyo, na hiyo Tweet aliyoambatanisha haina maana ya hicho anachosema. Jamaa alikuwa anatoa mifano mbalimbali ya namna watu wanavyosalimiana kwa aina tofauti tofauti. Na kama mtoa mara angalikiwa na mengi auto angaliambatanisha na tweets za nyuma kabla ya hiyo. Kiufupi ndoa mara ni mchonganishi!Huwezi kumfananisha Diamond na Ali Kiba, Diamond yuko mbali sana.
Na kwa ushamba huu wa Kiba hata sisi tuliokuwa na sympathy kwake tunampa mkono wa kwaheri ya kuonana.